Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

NAAFIKI NAIBU SPIKA KUCHOMOLEWA MFUKONI NI KUTAKA KULIFANYA BUNGE KUWA MHURI (rubber stamp) kwa ajili ya kupitisha dili za wazito na kuzitetea.
 
hakika style ni ile ile watu walewale, so Mh.Zitto aache kushangaa ndo wa vyama vyetu ndivyo vilivyo. hata kwenye chama chako yanaweza tokea haya kwa maslai ya chama.
 
Watu mnalalamika nini? Kwani spika ameshapatikana? Zitto, waambie act wapitishe mgombea wa act kwa kumpigia kura!
Kwani Zitto yko upande gani? Sisiemu haupo na upunzani haupo, haeleweki!
 
Never Trust that animal from Kigoma . Ukiona anaongea in negative over ccm jua kuna mkwanja anataka piga hapo
 
Kikwete ameshanogewa na ufalme. Anataka atawale milelel kama kijitoto cha yule mwanamke aliyekuwa anakaa naye magogoni kiitwacho Halfani kilivyotangaza.

Kazi kwenu mkishangaa. Na pia amewachaguliwa wabunge na raisi hamjamfanya kitu. Sasa kinabaki nini tena wkati yeye ndiye tanzania? Na familia yake ndiyo dola? Na wametangaza kutawala milele? mnataka wasemeje ili muelewe?
 
Ni mtazamo na mawazo yake.
Tuli ni nguli wa sheria izo desturi atazinyaka kupitia mkuu wake Ndugai na pia in the course of being an MP.
Sidhani kama izo ddesturi ni dose nzito kuliko PHD aliyokamua na kuidefend.
 
sasa yeye analeta mifano ya mwalimu zama hizi
huku wenzie wamemwabia hapa kazi tu.
 
Zitto ameshindwa kueleza kuna madhara gani naibu spika kutokuwa mbunge wa jimbo. Kama spika sio lazima awe mbunge kwa nini anafikiri naibu spika lazima awe mbunge.
 
Ni mtazamo na mawazo yake.
Tuli ni nguli wa sheria izo desturi atazinyaka kupitia mkuu wake Ndugai na pia in the course of being an MP.
Sidhani kama izo ddesturi ni dose nzito kuliko PHD aliyokamua na kuidefend.

Umemwelewa lakini aliposema underline DESTURI? au unaropoka tu?
 
Wananchi wanaelewa basi...yaani wamekaririshwa na kuaminishwa kuwa bila CCM aloiacha Nyerere hakuna Maisha.wanasahau kuwa CCM ya Nyerere ni tofauti na CCM hii iliyojaa matusi na wahuni wanaotaka kuiba rasilimali zetu na kuwapa ngozi nyeupe.ngoja rasilimali zikishaisha ndo wataelewa kuwa wapo na zimwi mla uchumi
Je kuna mbadala wa ccm?
Hivi Hawa chadema wanaweza kuisubstitute ccm ktk angle ipi?
Ktk maadili ni bora ya ccm, uwajibikaji na utawala bora hakuna!
Ni rahisi kuichukia ccm, lkn ni kazi ngumu kukijenga chama mbadala wake!
Cuf haina sifa, CHADEMA ni bora ya ccm Mara 5!
Kuhusu spika nadhani vyama vya siasa vina nafasi na mgombea binafsi pia ananafasi yake, kama utataka ungetaka kugombea ungefanya hivyo wakati ilipotangqzwa leo umeshachelewa!
Hakuna spika huru ktk mfmo huu wa kupigiwa kura na wanasiasa! Halafu tuache kujidanganya, serikali ni muhimili wa juu kuliko muhimili mwingine wowote linapokuja suala la muelekeo na Sera za taifa, bunge na mahakama vitasimama kuishape serikali, lkn hakuna namna chama kilichopo madarakani kitatoa dira ya taifa!
 
Hebu nikumbusheni huyu DR Tulia amefanya nini tena karibuni kustahili hii fadhila anayolipwa?
 
Hebu nikumbusheni huyu DR Tulia amefanya nini tena karibuni kustahili hii fadhila anayolipwa?

Kwanini watu hamtaki kuamini ktk uwezo wake kitaaluma?
Maji marefu MNA mlalamikia hana elimu kaja mtu na PhD yake, mnaanza kuleta malumbano, mi nadhani hapa kazi tu itawahusu wengi!
 
-------- amesema ukweli kabisa.
Yani rais anateua mtu with intention mtu huyo aje kuwa spika /naibu spika ni dhahiri ametumwa kulinda na kutetea muhimili uliomteua(serikali) ktk shuhuli zote atakazoshiriki hapo bungeni.
CCM ni ile ile ohh ni ile ilee!
 
Back
Top Bottom