Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

tity

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
44
Reaction score
15
1447673948822.jpg
 
Huyu mchawi naye hana jipya mtu ambaye kila kitu lazima aende kwanza kwa waganga wa jadi pole yake.
 
Huyu mchawi naye hana jipya mtu ambaye kila kitu lazima aende kwanza kwa waganga wa jadi pole yake.

Huwa unamsaidia kubeba vikapu anavyopewa huko kwa waganga wa jadi?
 
Kwa hizi games zinazochezwa ni dhahiri kabisa kuwa Dk Tulia atakuwa Naibu spika ...
 
Huyo ndiyo --------- Zittollah Kwabweneh aka Mwami katika ubora wake.
 
Zito blabla zimemzid hakuna anayezaliwa anajua sifa itakuja baada ya uzoefu
 
Ayoutollah kasemaje maana mengine tunatumia mchina bhanaaa.
 
Ndugu zangu ndiyo maana nchii hii tunahitaji katiba mpya tokea juzi!! Hata hii dhana ya kuwa na wabunge 10 wakuteuliwa na Rais ni mufilisi sababu inapingana moja kwa moja na concept ya uhuru wa mihimili mitatu ya dora. Ni Tanzania tu bado tunaendekeza mambo haya ya Imperial Presidency.
 
kiujumla kuna hatari ya bunge hili kung'olewa meno yake na serikali...

Kwanza hata Dr.Tulia azipogombea hayo Meno hiyo Bunge liyatoe wapi?.

Acheni wafu wazikane wenyewe!
UKAWA tulieneni waacheni na Bunge lao la Lumumba-yale mliyoyaanzisha 2010 bado hayajapata ufumbuzi komaeni na mikakati ya kuonyesha madudu tu-pale pakupitisha mambo waachieni wapitishe kama walivyofanya KATIBA MPYA!

Wabunge wengi wa UKAWA kwa Uwingi wenu msisahau kuwafanyia mirejesho kwa UMMA kila baada ya Vikao vya Bunge-rudini majimbo kwenu itisheni Mikutano ya hadhara.
 
bila katiba mpya bunge litaendelea kuwa chini ya mhimili wa serikali rais anateua wabunge wake kuingia bungeni....
 
Zitto anamtetea Zungu kwasababu ........................
 
Kwanza hata Dr.Tulia azipogombea hayo Meno hiyo Bunge liyatoe wapi?.

Acheni wafu wazikane wenyewe!
UKAWA tulieneni waacheni na Bunge lao la Lumumba-yale mliyoyaanzisha 2010 bado hayajapata ufumbuzi komaeni na mikakati ya kuonyesha madudu tu-pale pakupitisha mambo waachieni wapitishe kama walivyofanya KATIBA MPYA!

Wabunge wengi wa UKAWA kwa Uwingi wenu msisahau kuwafanyia mirejesho kwa UMMA kila baada ya Vikao vya Bunge-rudini majimbo kwenu itisheni Mikutano ya hadhara.

Wananchi wanaelewa basi...yaani wamekaririshwa na kuaminishwa kuwa bila CCM aloiacha Nyerere hakuna Maisha.wanasahau kuwa CCM ya Nyerere ni tofauti na CCM hii iliyojaa matusi na wahuni wanaotaka kuiba rasilimali zetu na kuwapa ngozi nyeupe.ngoja rasilimali zikishaisha ndo wataelewa kuwa wapo na zimwi mla uchumi
 
Taratibu wataelewa!
Ngoja wale walikulia ndani ya CCM waishe taratibu kitaeleweka tu!
 
Taratibu wataelewa!
Ngoja wale walikulia ndani ya CCM waishe taratibu kitaeleweka tu!

Labda kwa namna hiyo...maana naona watu hawaelewi hiki chama kimejaa watu gani...Mheshimiwa ana kazi ya ziada maana nyumba yake ni chafu na sijui ataanzia wapi kusafisha kama kweli ana nia ya kutuvusha.Nikiwaza Maisha ya watanzania wengi yalivyo ya shida huwa naona huruma sana,halafu anakuja mtu JF hapa analeta kebehi kisa tu yeye anafaidika na huu mfumo.wabongo ni wabinafsi sana ndo maana hali imekuwa hivi na kila mtu anawaza kujilimbikizia Mali za kutosha mpaka kizazi chake cha tatu .
 
Back
Top Bottom