Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

Wataishaje wakati linajengwa tabaka la wajinga huko vijijini ??????!!

Wajinga wenye njaa mkuu ni wahatari kuliko moto wa Petroli-wanahitaji mwalimu mzuri wakufahamisha haki yao na jinsi gani wamegeuzwa na kuendelea kutumiwa kwa sababu wao ni Malofa! Vijana wetu wa Shule za Kata wengine wao wamekwisha vuka level hii ya Ulofa na ndiyo wapiga kura wajao.

zitto peke yako ni sawasawa na wabunge wote wa ukawa....na una akili nyingi kuwashinda wabunge wote wa ccm
 
Ni watu wenye akili peke yao wataielewa point ya Zitto, wale Nyumbu wa Lumumba kamwe hawataelewa Zitto anamaanisha nini

Ili bunge liwe huru ni lazima liwe huru kuisimamia serikali, na huyu Magufuli sasa amekuja na gia zilezile za JK za kutaka kuwa na bonge la ndiyo mzee. Kwa dalili hizi nazoziona kazi aliyotudanganya Magufuli itakuwa inafanyikia chumbani tu. Ili ulete maendeleo lazima uwe na bunge huru na imara kukukosoa na kukusimamia

Nenda kaoge acha kutetea ujinga...
Kwani zzk alitumia kifungu gani cha kikatiba/sheria ???
 
Raisi Magufuli akizubaa atapinduliwa na ccm wenzake.
 
Ni watu wenye akili peke yao wataielewa point ya Zitto, wale Nyumbu wa Lumumba kamwe hawataelewa Zitto anamaanisha nini

Ili bunge liwe huru ni lazima liwe huru kuisimamia serikali, na huyu Magufuli sasa amekuja na gia zilezile za JK za kutaka kuwa na bonge la ndiyo mzee. Kwa dalili hizi nazoziona kazi aliyotudanganya Magufuli itakuwa inafanyikia chumbani tu. Ili ulete maendeleo lazima uwe na bunge huru na imara kukukosoa na kukusimamia

Bunge halijawahi kuwa huru. linaendeshwa kwa matakwa ya ccm. sema mvutano uliopo ni ccm inamtaka nani na Raisi anamtaka nani. tukumbuke ccm inaongozwa na mtu tofauti na raisi ni mtu tofauti
 
Back
Top Bottom