DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Nilishasema hapa JF na huwa nasema kila mara, wabunge wa CDM hawajitambui. Wengi wameshinda ubunge kihuruma huruma tu kwasabu tunazozifahamu sisi. Tumeona wengi wakijiongelesha tu bila kupima wanachoongea kina impact gani. Cha muhimu ni viongozi wao wawaweke chini na kwaeleza na kuwafunza nini kinahitajika kusemwa wakati gani na mahali gani.
Acha kufikiria kama uko ndani ya chupa.....kashauriwa kuomba msamaha kwa jamii for the sake of his own reputation.......ujasiri kama wako bila busara ni ujinga pia
hakuna kuomba msamaha hapa!
ccm wao ndo kwanza huwa wanaongea sana ubaguzi kwanza wameomba msamaha kwaa kuua watanzania!??
Kweli wewe huwezi kuwa mwanachadema Mtiifu wakati hata jina la mbunge unaejaribu kumzungumzia huwezi kuliandika.Ni wazi kwa maneno uliyoyatoa pale NMC sasa yanachukua sura mpya na pana zaidi ya ulivyo firiki,Tunafahamu ilikuwa ni hamasa na haukudhamiria kama tunavyo jaribu kuaminishwa kwa sasa,Ni ukweli siopingika sasa kuwa umewàpa CCM maneno ya kuongea,Watanzania tanafahamu kuwa kujisaidia ajisaidie Kuku akijisaidia Bata kaharisha,kwa nia njema tu na kwa ushauri wa bure JITOKEZE HADHARANI NA KATIKA VYOMBO VYA HABARI OMBAMSAMAHA.Hàita kupunguzia kitu bali itakuongezea heshima mbèle ya jamii,maneno uliyo yatamka ni mazito sana haswa kwa jamii ya kitanzania ambayo haina elimu ya kutosha katika kuchambua mambo,na nimepesi sana kwa wanasiasa,kwasasa ni wazi yanakigharimu chama chetu,na nimabaya sana kwako kwani yanagharim katika ulimwengu wa siasa. onyesha dhana ya kuwajibika na urudishe heshima yako na ya chama kwa ujumla.
Nafahamu wewe ni memba hapa JF na utajitokeza
NI MIMI MWANA CHADEMA MTIFU.
Be the change you preach. Kama unashindwa kuomba msamaha kwa kutoa kauli tata ukiwa bado "mtu mdogo sana katika nchi hii", tutegemee nini pale utakapokuwa kigogo katika nchi hii?
Ni wazi kwa maneno uliyoyatoa pale NMC sasa yanachukua sura mpya na pana zaidi ya ulivyo firiki,Tunafahamu ilikuwa ni hamasa na haukudhamiria kama tunavyo jaribu kuaminishwa kwa sasa,Ni ukweli siopingika sasa kuwa umewàpa CCM maneno ya kuongea,Watanzania tanafahamu kuwa kujisaidia ajisaidie Kuku akijisaidia Bata kaharisha,kwa nia njema tu na kwa ushauri wa bure JITOKEZE HADHARANI NA KATIKA VYOMBO VYA HABARI OMBAMSAMAHA.Hàita kupunguzia kitu bali itakuongezea heshima mbèle ya jamii,maneno uliyo yatamka ni mazito sana haswa kwa jamii ya kitanzania ambayo haina elimu ya kutosha katika kuchambua mambo,na nimepesi sana kwa wanasiasa,kwasasa ni wazi yanakigharimu chama chetu,na nimabaya sana kwako kwani yanagharim katika ulimwengu wa siasa. onyesha dhana ya kuwajibika na urudishe heshima yako na ya chama kwa ujumla.
Nafahamu wewe ni memba hapa JF na utajitokeza
NI MIMI MWANA CHADEMA MTIFU.
dogo akomae hakuna kuomba msamahajussa ,lusinde na magufuli mzee wa mbizi waombe radhi kwanza.waachwa fisadi riz na kina maige,nyalandu ngeleja kupelekwa kortini ,maneno mepesi ya nasary yafatiliwe?ajabu.asiye na kosa awe wa kwanza kumnyooshea kidole nassary.
Na huyu una bifu nae....Joshua Nassari acha kutuzuga kubali ulimi uliteleza omba msamaha waTanzania.