Kwa kauli ya nassari inabidi chadema wasitishe kwanza sera yao ya majimbo otherwise itatucost.

Kwamba CHADEMA imempitisha mtu aliyeweza kutoa kauli hizi za kukitia aibu mapema hivi baada ya kuchaguliwa, inaonyesha CHADEMA kisivyo makini katika kuchuja wagombea ili kupata wagombea walioiva kisiasa.

Huyu mbunge si kaapishwa kiapo cha uaminifu kwa Jamhuri? Ina maana alivyoapa pale alikuwa anafanya mzaha au?

Na CHADEMA wanaposema "ni kauli za kitoto tu" wana maana siku hizi wanapitisha watoto au watu wenye kauli za kitoto kugombea ubunge?
 
Hakika huu ni upepo,nao utapita na maisha yataendelea.

kweli lusinde awa kioo cha ccm! hebu jaribuni kuwa na fikra endelevu,kwani kuungwanishwa kwa kaskazini maana yake ni kufukuza wasio wazawa?yeyote ataijenga kaskazini,hapo si pakuchukulia kura jengeni hoja,mbona hata kusini nasi twajipanga kuimarisha kusini je tunaleta utengano?kila mtu afanye juhudi ya kuimarisha mahali alipo kisha tupate taifa imara.wawapi nyie?
 
Ni wazi kwa maneno uliyoyatoa pale NMC sasa yanachukua sura mpya na pana zaidi ya ulivyo firiki,Tunafahamu ilikuwa ni hamasa na haukudhamiria kama tunavyo jaribu kuaminishwa kwa sasa,Ni ukweli siopingika sasa kuwa umewàpa CCM maneno ya kuongea,Watanzania tanafahamu kuwa kujisaidia ajisaidie Kuku akijisaidia Bata kaharisha,kwa nia njema tu na kwa ushauri wa bure JITOKEZE HADHARANI NA KATIKA VYOMBO VYA HABARI OMBAMSAMAHA.Hàita kupunguzia kitu bali itakuongezea heshima mbèle ya jamii,maneno uliyo yatamka ni mazito sana haswa kwa jamii ya kitanzania ambayo haina elimu ya kutosha katika kuchambua mambo,na nimepesi sana kwa wanasiasa,kwasasa ni wazi yanakigharimu chama chetu,na nimabaya sana kwako kwani yanagharim katika ulimwengu wa siasa. onyesha dhana ya kuwajibika na urudishe heshima yako na ya chama kwa ujumla.

Nafahamu wewe ni memba hapa JF na utajitokeza

NI MIMI MWANA CHADEMA MTIFU.
 
Sikuungi mkono, we mwenyewe umesema kunya anye kuku sasa unataka aombe msamaa wa nini? Kwani wakati kuku anakunya mbona hukujitokeza na kumlazimisha huyo kuku kuomba msamaha? Kwa taarifa yako hata akiomba msamaha leo wakusema watasema tu kwani wamesema mangapi? Na hayo huko nyuma yaliosemwa yaliombewa msamaha? Kwani Cdm kuanza kusemwa vibaya imeanza wakati wa Nassary? Halafu nyie ndio mnaokuza habari kuifanya ni ya ajabu sana. Hizo hekima mlizonazo si mtafute namna ya k
zitoa?
 
Acha ubishi mkuu................hiyo busara ya mtoa mada imekaa vizuri.....soma alama za nyakati mkuu
 
Kwa mtazamo wangu naona ile sera ya majimbo itabebewa bango sana na ccm na kuihusisha na kauli ya nassari kwa kusema ni mpango wa kaskaz kujitenga.

Hatuwezi acha sera ya maana kwa kauli ya Nassari, hiyo haikuwa kauli ya chadema! Kwani jimbo litakuwa moja la kaskazini tu? Tuache kuendeleza huu uzushi mbona kauli za kujitenga zimekuwa zikitolewa na watu wengi hasa mikoa ya pembezoni mbona hawajawahi kuwashika na kuwahoji!
 
Ni wazi kwa maneno uliyoyatoa pale NMC sasa yanachukua sura mpya na pana zaidi ya ulivyo firiki,Tunafahamu ilikuwa ni hamasa na haukudhamiria kama tunavyo jaribu kuaminishwa kwa sasa,Ni ukweli siopingika sasa kuwa umewàpa CCM maneno ya kuongea,Watanzania tanafahamu kuwa kujisaidia ajisaidie Kuku akijisaidia Bata kaharisha,kwa nia njema tu na kwa ushauri wa bure JITOKEZE HADHARANI NA KATIKA VYOMBO VYA HABARI OMBAMSAMAHA.Hàita kupunguzia kitu bali itakuongezea heshima mbèle ya jamii,maneno uliyo yatamka ni mazito sana haswa kwa jamii ya kitanzania ambayo haina elimu ya kutosha katika kuchambua mambo,na nimepesi sana kwa wanasiasa,kwasasa ni wazi yanakigharimu chama chetu,na nimabaya sana kwako kwani yanagharim katika ulimwengu wa siasa. onyesha dhana ya kuwajibika na urudishe heshima yako na ya chama kwa ujumla.

Nafahamu wewe ni memba hapa JF na utajitokeza

NI MIMI MWANA CHADEMA MTIFU.

Mkuu ulianza mada yako vizuri na nakubaliana na wewe kuwa huyu ze totoz,kama anataka kuendelea katika siasa ni lazima aombe msamaha kwa umma wa kitanzania.
Ama sivyo maneno aliyoyatamka, na ni mazito, yatamfuata popote atakapokwenda na kila anachoongea kitapimwa kwa maneno hayo. Ni mameno mazito mno kisiasa.
Turudi pale ninapotofautiana na wewe.
Umma wa kitanzania si wajinga kama unavyofikiri, na ndio maana wengi wana timkia CHADEMA, hasa vijana, na si kwa sababu hawajui kuwa CCM ni chama tawala na kina maguvu mengi.
Underestimate Tanzanians at your own risk
 
Ni wazi kwa maneno uliyoyatoa pale NMC sasa yanachukua sura mpya na pana zaidi ya ulivyo firiki,Tunafahamu ilikuwa ni hamasa na haukudhamiria kama tunavyo jaribu kuaminishwa kwa sasa,Ni ukweli siopingika sasa kuwa umewàpa CCM maneno ya kuongea,Watanzania tanafahamu kuwa kujisaidia ajisaidie Kuku akijisaidia Bata kaharisha,kwa nia njema tu na kwa ushauri wa bure JITOKEZE HADHARANI NA KATIKA VYOMBO VYA HABARI OMBAMSAMAHA.Hàita kupunguzia kitu bali itakuongezea heshima mbèle ya jamii,maneno uliyo yatamka ni mazito sana haswa kwa jamii ya kitanzania ambayo haina elimu ya kutosha katika kuchambua mambo,na nimepesi sana kwa wanasiasa,kwasasa ni wazi yanakigharimu chama chetu,na nimabaya sana kwako kwani yanagharim katika ulimwengu wa siasa. onyesha dhana ya kuwajibika na urudishe heshima yako na ya chama kwa ujumla.

Nafahamu wewe ni memba hapa JF na utajitokeza

NI MIMI MWANA CHADEMA MTIFU.

Hii mentality ya kujikomba kwa chama tawala na kutaka 'kuomba msamaha' kwa kila jambo unalolifanya imeenea sana hapa JF.
Kwa mwendo huu, mimi naona itafika wakati Chadema wataambiwa waombe 'msamaha' kwa kuongea maneno, au kufanya mambo ambayo si mazuri masikioni mwa CCM. Mathalani, Nasari itabidi aombe 'msamaha' kwa kushinda kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, maana ushindi huo si mzuri machoni mwa CCM na polisi !!!!!
Mimi sijaona jambo lolote la kuombea msamaha katika hotuba ua Nasari.
Watu wengi wanasema tu 'aombe msamaha'. Ila hawasemi aombe msamaha kwa lipi ???
Watu wasichangie hapa kama watoto wadogo. Ukisema 'aombe msamaha', toa nukuu ya kipande cha hutoba husika ambacho anatakiwa 'akiombee msamaha'.
Yaani watu wengi sana hapa JF wamenasa kwenye mtego wa CCM wa kutumia vyombo vya dola kutishia watu ili waombe msamaha.
 
Acha ubishi mkuu................hiyo busara ya mtoa mada imekaa vizuri.....soma alama za nyakati mkuu

hakuna kuomba msamaha hapa!
ccm wao ndo kwanza huwa wanaongea sana ubaguzi kwanza wameomba msamaha kwaa kuua watanzania!??
 
Hii mentality ya kujikomba kwa chama tawala na kutaka 'kuomba msamaha' kwa kila jambo unalolifanya imeenea sana hapa JF.
Kwa mwendo huu, mimi naona itafika wakati Chadema wataambiwa waombe 'msamaha' kwa kuongea maneno, au kufanya mambo ambayo si mazuri masikioni mwa CCM. Mathalani, Nasari itabidi aombe 'msamaha' kwa kushinda kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, maana ushindi huo si mzuri machoni mwa CCM na polisi !!!!!
Mimi sijaona jambo lolote la kuombea msamaha katika hotuba ua Nasari.
Watu wengi wanasema tu 'aombe msamaha'. Ila hawasemi aombe msamaha kwa lipi ???
Watu wasichangie hapa kama watoto wadogo. Ukisema 'aombe msamaha', toa nukuu ya kipande cha hutoba husika ambacho anatakiwa 'akiombee msamaha'.
Yaani watu wengi sana hapa JF wamenasa kwenye mtego wa CCM wa kutumia vyombo vya dola kutishia watu ili waombe msamaha.
Ni mtu mjinga tu(siyeelimika) anayefikiri waTanzania wote ni wana CCM!
 
Nilishasema hapa JF na huwa nasema kila mara, wabunge wa CDM hawajitambui. Wengi wameshinda ubunge kihuruma huruma tu kwasabu tunazozifahamu sisi. Tumeona wengi wakijiongelesha tu bila kupima wanachoongea kina impact gani. Cha muhimu ni viongozi wao wawaweke chini na kwaeleza na kuwafunza nini kinahitajika kusemwa wakati gani na mahali gani.
 
kesha sema hakuitend hicho unachokiwaza wewe na akasema ilikuwa ni katika kuwapa hamasa watu kutokana na haya mauaji yanayoendelea,aseme nini sasa zaidi yahilo.Naomba nikueleze kuwa hata kama atajishusha jinsi unavyotakak bado watu wenye nia ya kulikuza hili wataendelea tu na maneno yao.So let's turn to other issues na kama kuna anayetakak kulikuza hili aendelee.Period
 
Nassari angejitokeza na kuomba msamaha na aeleze kuwa hakuna na nia ya ku-advocate kujitenga bali kuhamasisha mageuzi nadhani itamaliza hii mashauri na itaonesha maturity ya aina fulani kwenye siasa zetu. CCM hawatakuwa tena na hoja.

Tukumbuke busara ya marehemu Regia Mtema pale alipoomba msamaha bungeni kwa maneno yake juu ya watu ambao asili yao si Morogoro waondoke. Ilimpa heshma zaidi. Hakuna binadamu mkamilifu na Nassari anaweza kumaliza huu mjadala once for all kwa withdraw maneno yake.
 
Sikuungi mkono, we mwenyewe umesema kunya anye kuku sasa unataka aombe msamaa wa nini? Kwani wakati kuku anakunya mbona hukujitokeza na kumlazimisha huyo kuku kuomba msamaha? Kwa taarifa yako hata akiomba msamaha leo wakusema watasema tu kwani wamesema mangapi? Na hayo huko nyuma yaliosemwa yaliombewa msamaha? Kwani Cdm kuanza kusemwa vibaya imeanza wakati wa Nassary? Halafu nyie ndio mnaokuza habari kuifanya ni ya ajabu sana. Hizo hekima mlizonazo si mtafute namna ya k
zitoa?[/Q

ndugu hu ubishi na kuwashangilia viongozi wanapokosea si mzuri tukubali kuwa Nassairi amaeteleza na anatakiwa ushari kwani adhari si kwake tu na chama pia tuache kuwavimbisha vichwa ni wajibu wetu kama wanachama kuwakemea na kutoa ushauri.
 
Hii mentality ya kujikomba kwa chama tawala na kutaka 'kuomba msamaha' kwa kila jambo unalolifanya imeenea sana hapa JF.
Kwa mwendo huu, mimi naona itafika wakati Chadema wataambiwa waombe 'msamaha' kwa kuongea maneno, au kufanya mambo ambayo si mazuri masikioni mwa CCM. Mathalani, Nasari itabidi aombe 'msamaha' kwa kushinda kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, maana ushindi huo si mzuri machoni mwa CCM na polisi !!!!!
Mimi sijaona jambo lolote la kuombea msamaha katika hotuba ua Nasari.
Watu wengi wanasema tu 'aombe msamaha'. Ila hawasemi aombe msamaha kwa lipi ???
Watu wasichangie hapa kama watoto wadogo. Ukisema 'aombe msamaha', toa nukuu ya kipande cha hutoba husika ambacho anatakiwa 'akiombee msamaha'.
Yaani watu wengi sana hapa JF wamenasa kwenye mtego wa CCM wa kutumia vyombo vya dola kutishia watu ili waombe msamaha.

Acha kufikiria kama uko ndani ya chupa.....kashauriwa kuomba msamaha kwa jamii for the sake of his own reputation.......ujasiri kama wako bila busara ni ujinga pia
 
Nilishasema hapa JF na huwa nasema kila mara, wabunge wa CDM hawajitambui. Wengi wameshinda ubunge kihuruma huruma tu kwasabu tunazozifahamu sisi. Tumeona wengi wakijiongelesha tu bila kupima wanachoongea kina impact gani. Cha muhimu ni viongozi wao wawaweke chini na kwaeleza na kuwafunza nini kinahitajika kusemwa wakati gani na mahali gani.

kama mlivyomweka chini lusinde na ile mitusi yake,au jussa na ile kauli yake kuwa cuf imeshindwa kisa uzini kuna wakristu wengi na watu kutoka bara.
 
Kwanini tuna-dwell kwenye mambo ambayo yamepita? Let's move on, tuache uoga cdm siyo chama dhaifu kiasi cha kuanguka kwa kauli moja. Msingi wa Nassari na cdm ni imara, na tume waamini, hatuwezi kupoteza imani kwa hili. Kama wewe ni mwana cdm mwaminifu, drop it, achia magamba waangaike nayo.
 
Be the change you preach. Kama unashindwa kuomba msamaha kwa kutoa kauli tata ukiwa bado "mtu mdogo sana katika nchi hii", tutegemee nini pale utakapokuwa kigogo katika nchi hii?
 
Back
Top Bottom