Sera ya Majimbo ya CHADEMA ingefanya kila Jimbo liamue kwa hiyari kuingia Mkataba na DP World ama la

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Hii sera ya Majimbo tunaiponda tu lakini ina faida sana kwenye Ulimwengu wa leo.

Naipitia sera ya Majimbo ya CHADEMA kwa sintofahamu kama hii ya DP World Dubai, kwa mfano sisi Kanda ya Nyasa tungeamua kivyetu juu ya Ziwa Nyasa.

Ujue kwenye Muungano Zanzibar ni kama Jimbo " fulani" hivi linalojiamulia mambo yake lenyewe kule SMZ na BLW.

Ahsanteni sana!
 
KWA RUHUSA YA FEDERAL GOVERNEMNT INGEWEZEKANA ILA IMPLIMENTATION YA SERIKALI YA MAJIBO BADO MDA KWA SASA UCHUMI HAURUHUSU
 
Hii Sera ya Majimbo tunaiponda tu lakini ina faida sana kwenye Ulimwengu wa leo

Naipitia Sera ya Majimbo ya Chadema kwa sintofahamu kama hii ya DP World Dubai kwa mfano Sisi Kanda ya Nyasa tungeamua kivyetu juu ya Ziwa Nyasa

Ujue kwenye Muungano Zanzibar ni kama Jimbo " fulani" hivi linalojiamulia mambo yake lenyewe kule SMZ na BLW

Ahsanteni sana!
CHADEMA waliona mbali sn tofauti na huu utumwa wa mikoa
 
Hii sera ya Majimbo tunaiponda tu lakini ina faida sana kwenye Ulimwengu wa leo.

Naipitia sera ya Majimbo ya CHADEMA kwa sintofahamu kama hii ya DP World Dubai, kwa mfano sisi Kanda ya Nyasa tungeamua kivyetu juu ya Ziwa Nyasa.

Ujue kwenye Muungano Zanzibar ni kama Jimbo " fulani" hivi linalojiamulia mambo yake lenyewe kule SMZ na BLW.

Ahsanteni sana!
sera ya majimbo ianze na kila mtu kurudi kwenye jimbo lake- yaani wachaga wote warudi Moshi nk
 
Back
Top Bottom