Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,095
- 4,059
- Thread starter
- #21
Asili yake ipi?
ukijua asili yake hasa, hutakuwa na sababu ya kumshangaa
ukijua asili yake hasa, hutakuwa na sababu ya kumshangaa
Kinana hii nafasi alienea sana.
Ni pipa na mfunikoUnamshangaa katibu mkuu, hebu mfuatilie boss wake, I promise you utazimia!
Hivi Mwinyi Zahera wa Yanga bado yupo nimemkumbuka maana alikuwa anaongea sana lkn matokeo uwanjani yalikuwa tofauti 'public figures have to keep their words'Huyu Dk. Bashiru ni aina ya watu ambao hawakustahili kupewa dhamana kubwa aliyonayo. Chama kinatakiwa kufocus zaidi kwenye mandeleo ya nchi kwa vitendo
Angekuwa sahihi sana kama angesema huku chama chake kinaleta maendeleo ya ukweli, kinatenda haki , n.k kiasi cha kukonga nyoyo za watanzania. Kauli hii hainishangazi kutoka kwake kwani yeye ni kiongozi asiyejua maana ya kuwa hapo.
Majukumu yake ni kuimarisha demokrasia pia maana ndio iliyomuajiri kupitia chama. Uwepo wa upinzanzani ndio uliomfanya ateuliwe na Rais Magufuli ili kuhakikisha chama kinakuwa imara wakati wote.
UIMARA WA NAMNA GANI?
Kwa anayofanya Huyu katibu kama kweli ingekuwa ni majukumu yake anatimiza basi kila mmoja hiyo nafasi inamfaa, Katibu hayupo kwa maslahi ya Nchi Bali ni yeye na kundi lake.
Anachoweza yeye ni kutoa kauli zinazothibitisha how foolish na ulimbukeni he is. Kuplan kuleta mpinzani Ccm, kumtesa mpinzani n.k.
Mbona sisikii akitenda au kunena lenye faida kwa Taifa? Uwezo wake umeishia hapo hapo aliposimama(ccm). Kila mtu kwa nafasi yake afanye jambo kwa Taifa hili na sio kuropoka utafikili sio msomi.
Nashindwa kumtofautisha na Musiba
Hivi la Sera lina nikera sana kutokuwa na Sera za kudumu ni tatizoKama wanauhakika wa kuitawala nchi milele kwa nn wasiwe wanaijenga nchi kwa Sera na elimu bora badala ya kupanga namna ya kuhadaa wanyonge majukwaani.
Kiki waachie vijana Wenye ulimbukeni sasa mtu mzima kama yy. Angefanya makonda au sabayi tungejua wanakuwa sasa VP yy?
Hivi Mwinyi Zahera wa Yanga bado yupo nimemkumbuka maana alikuwa anaongea sana lkn matokeo uwanjani yalikuwa tofauti 'public figures have to keep their words'
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumbo linatumikishwa zaidi kuliko kichwa
Naamini nao wangependa na kutamani kuwa na sera bora na kutoa elimu bora kwa watoto wa Taifa hili,but kwanza sijui kama hiyo elimu bora yenyewe wanaijua na sijui kama akili za kuweza kufanya na kufikiria namna na kufanya hayo mazuri wanayoKama wanauhakika wa kuitawala nchi milele kwa nn wasiwe wanaijenga nchi kwa Sera na elimu bora badala ya kupanga namna ya kuhadaa wanyonge majukwaani.
Kiki waachie vijana Wenye ulimbukeni sasa mtu mzima kama yy. Angefanya makonda au sabayi tungejua wanakuwa sasa VP yy?