Kwa kauli na vitendo Katibu Mkuu CCM haendani na wadhifa pamoja na elimu yake. Anaonekana mtu wa kawaida sana

Huyu Dk. Bashiru ni aina ya watu ambao hawakustahili kupewa dhamana kubwa aliyonayo. Chama kinatakiwa kufocus zaidi kwenye mandeleo ya nchi kwa vitendo

Angekuwa sahihi sana kama angesema huku chama chake kinaleta maendeleo ya ukweli, kinatenda haki , n.k kiasi cha kukonga nyoyo za watanzania. Kauli hii hainishangazi kutoka kwake kwani yeye ni kiongozi asiyejua maana ya kuwa hapo.

Majukumu yake ni kuimarisha demokrasia pia maana ndio iliyomuajiri kupitia chama. Uwepo wa upinzanzani ndio uliomfanya ateuliwe na Rais Magufuli ili kuhakikisha chama kinakuwa imara wakati wote.

UIMARA WA NAMNA GANI?

Kwa anayofanya Huyu katibu kama kweli ingekuwa ni majukumu yake anatimiza basi kila mmoja hiyo nafasi inamfaa, Katibu hayupo kwa maslahi ya Nchi Bali ni yeye na kundi lake.

Anachoweza yeye ni kutoa kauli zinazothibitisha how foolish na ulimbukeni he is. Kuplan kuleta mpinzani Ccm, kumtesa mpinzani n.k.

Mbona sisikii akitenda au kunena lenye faida kwa Taifa? Uwezo wake umeishia hapo hapo aliposimama(ccm). Kila mtu kwa nafasi yake afanye jambo kwa Taifa hili na sio kuropoka utafikili sio msomi.

Nashindwa kumtofautisha na Musiba
Hivi Mwinyi Zahera wa Yanga bado yupo nimemkumbuka maana alikuwa anaongea sana lkn matokeo uwanjani yalikuwa tofauti 'public figures have to keep their words'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanauhakika wa kuitawala nchi milele kwa nn wasiwe wanaijenga nchi kwa Sera na elimu bora badala ya kupanga namna ya kuhadaa wanyonge majukwaani.
Kiki waachie vijana Wenye ulimbukeni sasa mtu mzima kama yy. Angefanya makonda au sabayi tungejua wanakuwa sasa VP yy?
Hivi la Sera lina nikera sana kutokuwa na Sera za kudumu ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno mengi yasio na faida kwa demokrasia, Nyani anafurahia msitu kuwaka moto. Upinzani anaouchukia ndio daraja lao bila ya upinzani no democracy no peaceful transfer of power na hata Magufuli tusingemjua.
Hivi Mwinyi Zahera wa Yanga bado yupo nimemkumbuka maana alikuwa anaongea sana lkn matokeo uwanjani yalikuwa tofauti 'public figures have to keep their words'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanauhakika wa kuitawala nchi milele kwa nn wasiwe wanaijenga nchi kwa Sera na elimu bora badala ya kupanga namna ya kuhadaa wanyonge majukwaani.
Kiki waachie vijana Wenye ulimbukeni sasa mtu mzima kama yy. Angefanya makonda au sabayi tungejua wanakuwa sasa VP yy?
Naamini nao wangependa na kutamani kuwa na sera bora na kutoa elimu bora kwa watoto wa Taifa hili,but kwanza sijui kama hiyo elimu bora yenyewe wanaijua na sijui kama akili za kuweza kufanya na kufikiria namna na kufanya hayo mazuri wanayo
 
Back
Top Bottom