Kwa kauli na vitendo Katibu Mkuu CCM haendani na wadhifa pamoja na elimu yake. Anaonekana mtu wa kawaida sana

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
719
Points
1,000

Frustration

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
719 1,000
Huyu Dk. Bashiru ni aina ya watu ambao hawakustahili kupewa dhamana kubwa aliyonayo. Chama kinatakiwa kufocus zaidi kwenye mandeleo ya nchi kwa vitendo

Angekuwa sahihi sana kama angesema huku chama chake kinaleta maendeleo ya ukweli, kinatenda haki , n.k kiasi cha kukonga nyoyo za watanzania. Kauli hii hainishangazi kutoka kwake kwani yeye ni kiongozi asiyejua maana ya kuwa hapo.

Majukumu yake ni kuimarisha demokrasia pia maana ndio iliyomuajiri kupitia chama. Uwepo wa upinzanzani ndio uliomfanya ateuliwe na Rais Magufuli ili kuhakikisha chama kinakuwa imara wakati wote.

UIMARA WA NAMNA GANI?

Kwa anayofanya Huyu katibu kama kweli ingekuwa ni majukumu yake anatimiza basi kila mmoja hiyo nafasi inamfaa, Katibu hayupo kwa maslahi ya Nchi Bali ni yeye na kundi lake.

Anachoweza yeye ni kutoa kauli zinazothibitisha how foolish na ulimbukeni he is. Kuplan kuleta mpinzani Ccm, kumtesa mpinzani n.k.

Mbona sisikii akitenda au kunena lenye faida kwa Taifa? Uwezo wake umeishia hapo hapo aliposimama(ccm). Kila mtu kwa nafasi yake afanye jambo kwa Taifa hili na sio kuropoka utafikili sio msomi.

Nashindwa kumtofautisha na Musiba
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
5,980
Points
2,000

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
5,980 2,000

Usimlaumu yeye tu, ukiwa CCM uwezo wa upeo wako hupungua, angalia uwezo wa Polepole kabla ya kujiunga CCM na sasa hawezi kuamini kama ni yule aliyekuwa na upeo wa juu.
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,778
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,778 2,000
Huyu Dk. Bashiru ni aina ya watu ambao hawakustahili kupewa dhamana kubwa aliyonayo. Chama kinatakiwa kufocus zaidi kwenye mandeleo ya nchi kwa vitendo

Angekuwa sahihi sana kama angesema huku chama chake kinaleta maendeleo ya ukweli, kinatenda haki , n.k kiasi cha kukonga nyoyo za watanzania. Kauli hii hainishangazi kutoka kwake kwani yeye ni kiongozi asiyejua maana ya kuwa hapo.

Majukumu yake ni kuimarisha demokrasia pia maana ndio iliyomuajiri kupitia chama. Uwepo wa upinzanzani ndio uliomfanya ateuliwe na Rais Magufuli ili kuhakikisha chama kinakuwa imara wakati wote.

UIMARA WA NAMNA GANI?

Kwa anayofanya Huyu katibu kama kweli ingekuwa ni majukumu yake anatimiza basi kila mmoja hiyo nafasi inamfaa, Katibu hayupo kwa maslahi ya Nchi Bali ni yeye na kundi lake.

Anachoweza yeye ni kutoa kauli zinazothibitisha how foolish na ulimbukeni he is. Kuplan kuleta mpinzani Ccm, kumtesa mpinzani n.k.

Mbona sisikii akitenda au kunena lenye faida kwa Taifa? Uwezo wake umeishia hapo hapo aliposimama(ccm). Kila mtu kwa nafasi yake afanye jambo kwa Taifa hili na sio kuropoka utafikili sio msomi.

Nashindwa kumtofautisha na Musiba
Mkuu umeshasema ni katibu mkuu wa ccm,huku ccm hatutumii hii elimu mnayoijua ninyi,tuna aina ya akili na elimu tunazozitumia hapa.Kituu pekee cha kusikitikia si namna Bashiru au Pole pole walivyobadirika sasa,bali watanzania kuendelea kuiamini ccm kwamba inaweza ikawatoa kwenye lindi la umasikini walionao kwa utaratibu huu wa kuempty vichwa vya watu wetu
 
Kasimba G

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
3,292
Points
2,000

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
3,292 2,000
Huyu Dk. Bashiru ni aina ya watu ambao hawakustahili kupewa dhamana kubwa aliyonayo. Chama kinatakiwa kufocus zaidi kwenye mandeleo ya nchi kwa vitendo

Angekuwa sahihi sana kama angesema huku chama chake kinaleta maendeleo ya ukweli, kinatenda haki , n.k kiasi cha kukonga nyoyo za watanzania. Kauli hii hainishangazi kutoka kwake kwani yeye ni kiongozi asiyejua maana ya kuwa hapo.

Majukumu yake ni kuimarisha demokrasia pia maana ndio iliyomuajiri kupitia chama. Uwepo wa upinzanzani ndio uliomfanya ateuliwe na Rais Magufuli ili kuhakikisha chama kinakuwa imara wakati wote.

UIMARA WA NAMNA GANI?

Kwa anayofanya Huyu katibu kama kweli ingekuwa ni majukumu yake anatimiza basi kila mmoja hiyo nafasi inamfaa, Katibu hayupo kwa maslahi ya Nchi Bali ni yeye na kundi lake.

Anachoweza yeye ni kutoa kauli zinazothibitisha how foolish na ulimbukeni he is. Kuplan kuleta mpinzani Ccm, kumtesa mpinzani n.k.

Mbona sisikii akitenda au kunena lenye faida kwa Taifa? Uwezo wake umeishia hapo hapo aliposimama(ccm). Kila mtu kwa nafasi yake afanye jambo kwa Taifa hili na sio kuropoka utafikili sio msomi.

Nashindwa kumtofautisha na Musiba
Wengi wanasema angekuwa CHADEMA angekuwa na Kesi ya uhamiaji! Sijui kama ni kweli eti baba na mama ni wa kule kwa bosi mwembamba kama msumali!
 
Mansander

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Messages
463
Points
500

Mansander

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2016
463 500
Anajivunia kubebwa ushindi99%; Kasema 2020 mbinu zilezile! Bado tuna wajinga wengi sana TZ wakiwemo na wasomi ambao elimu haijawakomboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusoma ni jambo moja na kuelemika ni jambo jingine. Bashiru kasoma, lakini matamshi na matendo yake tangu ateuliwe ktk nafasi aliyonayo hayaonyeshi hata chembe kwamba kaelemika.
 
Jusimbe

Senior Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
132
Points
250

Jusimbe

Senior Member
Joined Jun 25, 2016
132 250
Uko sahihi kabisa
Huyu Dk. Bashiru ni aina ya watu ambao hawakustahili kupewa dhamana kubwa aliyonayo. Chama kinatakiwa kufocus zaidi kwenye mandeleo ya nchi kwa vitendo

Angekuwa sahihi sana kama angesema huku chama chake kinaleta maendeleo ya ukweli, kinatenda haki , n.k kiasi cha kukonga nyoyo za watanzania. Kauli hii hainishangazi kutoka kwake kwani yeye ni kiongozi asiyejua maana ya kuwa hapo.

Majukumu yake ni kuimarisha demokrasia pia maana ndio iliyomuajiri kupitia chama. Uwepo wa upinzanzani ndio uliomfanya ateuliwe na Rais Magufuli ili kuhakikisha chama kinakuwa imara wakati wote.

UIMARA WA NAMNA GANI?

Kwa anayofanya Huyu katibu kama kweli ingekuwa ni majukumu yake anatimiza basi kila mmoja hiyo nafasi inamfaa, Katibu hayupo kwa maslahi ya Nchi Bali ni yeye na kundi lake.

Anachoweza yeye ni kutoa kauli zinazothibitisha how foolish na ulimbukeni he is. Kuplan kuleta mpinzani Ccm, kumtesa mpinzani n.k.

Mbona sisikii akitenda au kunena lenye faida kwa Taifa? Uwezo wake umeishia hapo hapo aliposimama(ccm). Kila mtu kwa nafasi yake afanye jambo kwa Taifa hili na sio kuropoka utafikili sio msomi.

Nashindwa kumtofautisha na Musiba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
719
Points
1,000

Frustration

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
719 1,000
Nilidhani ujio wake CCM nafasi ingekuwa na uzito wa akina Mangula, Kolimba na Pius Msekwa.
Badala yake najikuta napata wakati mgumu kuamua kati ya Yusuf Makamba na Dr Bashiru Ally ni yupi zaidi.
Ngoja nimpe mpe muda kidogo.
Sijui tatizo limeanzia wapo kati ya maelekezo ya bosi wake au kujipendekeza kwake tu. Kwa umri wake achunge maneno ya kutamka na awe na maana kwa taifa
 
Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
719
Points
1,000

Frustration

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
719 1,000
Anajivunia kubebwa ushindi99%; Kasema 2020 mbinu zilezile! Bado tuna wajinga wengi sana TZ wakiwemo na wasomi ambao elimu haijawakomboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ushindi ni over 90%, kwa nn asiwe anajitoa maana mda wote, yy ni katibu kwa maana ni mtendaji mkuu na sio mropokaji mkuu. Mengine amwachie polepole sasa unakuta wote ni kama wapiga ramli tu hujui katibu yupi na msemaji wa chama yupi. Aje na mikakati kabambe
 
Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
719
Points
1,000

Frustration

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
719 1,000
Kama wanauhakika wa kuitawala nchi milele kwa nn wasiwe wanaijenga nchi kwa Sera na elimu bora badala ya kupanga namna ya kuhadaa wanyonge majukwaani.
Kiki waachie vijana Wenye ulimbukeni sasa mtu mzima kama yy. Angefanya makonda au sabayi tungejua wanakuwa sasa VP yy?
Mkuu umeshasema ni katibu mkuu wa ccm,huku ccm hatutumii hii elimu mnayoijua ninyi,tuna aina ya akili na elimu tunazozitumia hapa.Kituu pekee cha kusikitikia si namna Bashiru au Pole pole walivyobadirika sasa,bali watanzania kuendelea kuiamini ccm kwamba inaweza ikawatoa kwenye lindi la umasikini walionao kwa utaratibu huu wa empty vichwa vya watu wetu
 
Forum statistics

Threads 1,392,075
Members 528,535
Posts 34,097,660
Top