Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 Jun 14, 2017 #1 Embu tujifunze majina Ya Ndizi Kisukari kwa makabila tofauti tofauti Kikwenu Unaiitaje ??
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 43,394 81,239 Jun 14, 2017 #2 Chibudee said: Embu tujifunze majina Ya Ndizi Kisukari kwa makabila tofauti tofauti Kikwenu Unaiitaje ?? Click to expand... Nikeogola!
Chibudee said: Embu tujifunze majina Ya Ndizi Kisukari kwa makabila tofauti tofauti Kikwenu Unaiitaje ?? Click to expand... Nikeogola!
Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 Jun 14, 2017 Thread starter #4 Alkelokas said: Kambani! Click to expand... Simchezo natafuta wakabila langu ataje nipate darasa hapa
Alkelokas said: Kambani! Click to expand... Simchezo natafuta wakabila langu ataje nipate darasa hapa
Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 Jun 14, 2017 Thread starter #9 Kirokonya said: Kisuukare Click to expand... Baba hii yako sio ya tanzania
Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 Jun 14, 2017 Thread starter #11 Kyodowe said: Embukyukyu Click to expand... Doh
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 Jun 14, 2017 #12 Kuna mtu mwenye id humu yenye jina la hiyo kitu kwa trible yangu!
Castr JF-Expert Member Apr 5, 2014 33,773 67,759 Jun 14, 2017 #14 Kijiji chetu hakina ndizi sukari na zilizopo huitwa... Ndisi
Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 Jun 14, 2017 Thread starter #15 Freyzem said: Kuna mtu mwenye id humu yenye jina la hiyo kitu kwa trible yangu! Click to expand... Nani uyo ??
Freyzem said: Kuna mtu mwenye id humu yenye jina la hiyo kitu kwa trible yangu! Click to expand... Nani uyo ??