Kwa jinsi ujuavyo mabinti wa kibongo!

kiukweli ni ngumu tena kwa hawa wanaume wa kibongo duh ni kazi!
Kwahiyo wewe unapenda kwa sababu ya mbunye basi mapenzi kando!

kwakweli kabisa roho nyeupe................SIWEZI TOA(am sorry uliyepaona hapa)
Umenichekesha hadi basi!!Bora umekuwa muwazi!

Umeamua kufunguka best vipi umepitiwa au yamekusibu nini tena jamani?
Jamani mbona ni uzi wa kawaida hausiani na na kukutwa maswahibu??

Mhm! Wewe una hamu ya kusaidia msaidie bhana si ni rafikiyo wa moyoni kila heri ila kuwa makini maana huwaga hawatabiriki
Mimi kama ni mpenzi wangu natoa hasa roho figo naweza pata mahali popote!

Hayo mapenzi hamna siku hizi..yalikuwepo enzi ya gazeti la sani
Duh kazi kweli kweli hata ndoa nimeamini ni za mihuri na vyeti mapenzi hakuna!
 
Movie ya kanumba LOVE n POWER ilinifundisha kitu.....mtu akiwa na shida utamuonea huruma sana sasa subiri tatizo lake liishe ndo utaipata fresh.
Figo yangu ni kwa mama yangu na watoto wangu
 
naweza nikatoa tena kiroho safi, ni suala la kiubinadamu tu..... tenda wema nenda zako.. DON'T do if you expect something in return..because if you do so surely your going to get hurt.
 
goma tu kutoa mwekundu..lakini usilinganishe ubora wa maisha ya binadamu na mbwa..naona kwako wewe mapenzi ni pale mnapokuwa wazima tu,kwenye ugonjwa baaas..
bora hiyo figo kama inawezekana ukampe mbwa wako
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh hii figo yng ni bi mkubwa ndo atapewa wengine waniwie radhi....!

jaribu uone we una uhakika gani kama atakuwa wako bado unajua ukitoa figo inabidi na kazi usifanye labda zile nyepesi utalia machozi ya damu hawatabiriki hao

Hapo umenena chief,mapenzi yenyewe haya ya tamthilia na kichina,,,!!!!!?? Huyo mwnamke anisahau...teh teh teh teh

mpeleke bangladesh ni pm kuna hospal wana figo kabisa.sio lazima utolewe figo

kwakweli kabisa roho nyeupe................SIWEZI TOA(am sorry uliyepaona hapa)

Kwani hawapo ndugu zake mpaka utoe wewe,???
Mim kwa mtu nilienae kwa mambo aliyonifanyia kanitoa mbali mpaka leo nipo nae ni kama baba yangu aisee maana kamzidi baba yangu kwa kunijali
Naweza kumtoleaa kabisa hata kama akinisaliti maana nakua kama nimelipa fadhila
Lakin hawa wa kukutana kimjini mjini siwez kama ndugu zake hawana figo afe tu bwanaa

Mabinti wa sasa.....subutuuu
afp_organdonations.jpg

kidney_reuters.jpg
 
Hapo labda nikamtafutie figo ya mbuzi buchani mkuu..Mabinti wa siku hizi hawaeleweki ka choo cha magereza,kutoka familia duni haimaanishi hao kinashangazi zake hawana hadi figo.
 
mm wananishangaza sana binadamu hasa wanadamu wanaoijiita WANAUME yaani wao
wanapenda kuwa na mtu wakati wa raha lakini wakati wa shida hawana habari nao
tena wengine wanawaterekeza kabisa eti kwa kuwa yu mgonjwa yaani
sijui hawa binadamu WANAUME wakoje wana tabia mbaya isiyoneneka kabisa
 
wanakera kama nini....kama mtu umeshiriki nae kipindi cha furaha na uzima iweje wakat wa ugonjwa umtenge?...ni ushetani tu
mm wananishangaza sana binadamu hasa wanadamu wanaoijiita WANAUME yaani wao
wanapenda kuwa na mtu wakati wa raha lakini wakati wa shida hawana habari nao
tena wengine wanawaterekeza kabisa eti kwa kuwa yu mgonjwa yaani
sijui hawa binadamu WANAUME wakoje wana tabia mbaya isiyoneneka kabisa
 
Hivi kwann mnahisi kwamba ma binti ndo hua hawatabiriki? Wanaume wanatabirika toka lini?? Niambieni nyie wanaume lini mmewahi kutabirika??? Si ndo nyie mna tu save mafundi garage kwenye simu zenu? Si ndo nyie mnatongoza ili tu mjue mtajibiwa jibu gani au ili muone ni jinsi gani mtaweza kucheza na hisia zetu? Acheni haya mambo jmn, wanaume nyie mnaudhi mnaboa mnakera lakini mbona tuna wavumilia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom