Kwa jinsi RC Makonda anavyotukanwa sasa na Wakenya huko Mitandaoni Kwao nashauri Siasa isiingizwe Michezoni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
Ndani ya Dakika 55 tokea Filimbi ya mwisho ipulizwe na Kumalizika kwa Mtanange kati ya Harambee Stars ya Kenya na Taifa Stars ya Tanzania ambapo Tanzania ( Taifa Stars ) tumefungwa kama kuna Kiongozi wa Tanzania ambaye sasa anatukanwa, kudhihakiwa na kukashifiwa katika Mitandao ya Wakenya hadi anatia huruma basi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda.

Nashauri naomba kuanzia sasa Viongozi hawa wa Siasa nchini Tanzania wasiwe wanahusishwa au wanajiingiza katika Siasa huku wakiwa bado wanazitumikia hizo Nyadhifa zao kwani pale wakiwa wanatukanwa sidhani kama hayo Matusi huwa yanaishia tu Kwao bali huja hadi na kwa Sisi Wananchi wa kawaida tu ambao hatuna hatia yoyote ile.

Makonda Siku zingine uwe unaacha kuwa na Kiherehere, Dharau na Sifa kwa unazidi tu Kuumbuka.
 
Harambeeee stars wamenufurahisha Sana leo aiseeee,

Wamepigwa tena bwanaaaaaa uuuuuuuuuuuuh

Huko katika Mitandao mbalimbali ya Wakenya hii Meseji ( Kauli ) imesambaa na inazidi tu Kusambaa. Inasema kwamba....

" Watanzania bana...yaani Wao walidhani kutuletea Yule Kiongozi wao wa Mkoa mwenye Kiherehere, Matege ya Ubanio na Matako ( Makalio ) makubwa kuliko hata Dada zetu wa Kikenya ndiyo angetutisha Wakenya na Harambee Stars yetu ili tushindwe Kuwafunga? "

Kazi ipo
 
Katika mambo yanayoudhi ni pale siasa inapopelekwa michezoni...
Inaudhi zaidi pale wanasiasa wanapodhani michezo ni mahali pao pa kujijengea sifa na matokeo wanaharibu na kutengeneza utengano!!!
Hata nilipomuona chakubanga kwenye mkutano wa uchaguzi yanga nilijisemea mbio za ubingwa kwishnei!!!
Kwanini wanasiasa uchwara wetu hawajifunzi?
 
Ningeomba uamini wako huu usiuhusishe na michezo peke yake. Siasa za CCM zimeharibu kila sehemu za shughuli zetu kama taifa. CCM inataka watu wajue wao ndio chimbuko la kila kitu Tanzania. Inaharibu kila sehemu inayoingilia. Jiulize ni wapi tunapoweza kusema Tanzania sasa ina nafu nako. Si michezo, sio elimu; sio kilimo...
Ni sehemu gani tunayoweza kusema sasa hivi, tukishindanishwa na nchi majirani zetu, tunaweza kutoka namba moja...Kiswahili, sawa, hii ni lugha yetu ya siku zote, lakini lugha ya kufanyia shughuli za kimataifa, Kiingereza, hata Rwanda wanatuzidi!
Vyuo vyetu vya elimu ya Juu, kuna nafuu huko? Wanafanya tafiti zipi ambazo hata majirani wanaweza wakaziona na kuamini kuwa kweli sisi ni mahiri katika eneo hilo?

CCM ni lazima ijirudi; haya inayofanya sasa hivi ya kufanya wao ndio wako juu zaidi ya Taifa letu inatudidimiza katika majanga.
 
Hata kiswahili South Africa wamechukua walimu toka Kenya maajabu kabisa haya... nchi yenye sera zisizo rafiki na watu wake... sera dumazi na zisizojali ustawi wa watu...
Tunafeli na hawajui kwanini tunafeli!!!
 
......... furahini kiasi tu maana hajafungwa Makonda peke yake hata Tz pia imefungwa.
 
Mitazamo yetu iko wazi kwamba hiyo timu haina support ya watanzania wengi, zaidi ya wanasiasa wa ccm wanaomtetemekea jiwe na genge lake. Ni bahati nzuri huko ushindi unapatikana kwa uwezo na haki, kinyume na hapo amri toka juu kwa jiwe ingeamua ccm stars washinde. Hapa nilipo nina raha ya ajabu. Naomba Algeria nao wasijali kuwa wamepita bali watufunge kwa kishindo. Siasa za majitaka mwisho chattle.
 
Back
Top Bottom