johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,000
- 142,027
Hapa hawaji, wataipita hii comment Kama hawaioni.Kwamba aliiba kura sio leseni ya kukwapua fedha za miradi ya wananchi.
Sasa kwani Jafo kayapeleka TakukuruTabasamu hana elimu,kwani kashindwa kuelewa kuwa maamuzi yote yaliyochuliwa na mkurugenzi yalipitishwa na vikao halali vya madiwani,mkuu wa wilaya ya sengerema katoa ufafanuzi wa hali ya juu,kuwa kika kitu kiliamuliwa kwa kuzingatia sheria
Swali zuri sana!Sasa kwani Jafo kayapeleka Takukuru
Una ushaidi?Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili.
Jafo amelikabidhi swala hilo Takukuru.
Source Clouds tv
My take; Kama wabunge wa CCM walipendelewa na wakurugenzi wakati wa uchaguzi kwanini Tabasamu amgeuke Magessa!
Maendeleo hayana vyama.
Ushahidi wa nini bwashee?Una ushaidi?
Nch hii imechafuka mkuu, angalia wasije kukuchomoa humu ukatoe maelezoUna ushaidi?