Kwa jinsi 'Bwana fulani' alivyonuna Nchimbi kukosa Umakamu wa Rais, yawezekana madai ya Musiba yalikuwa na msingi

Wasaka tonge wale na wauza drugs waliokuwa wamebanwa na mzee baba! Tanzania ni nchi watu wanalisahau hilo hakuna atakae iweka mkononi mwake hata kama mitandaoni anaongoza kutusi na kukebehi watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana akili hiyo ya kuwa Rais hata baba yake aliupata URAIS kwa Bahati mbaya kwa Nchi; marehemu Mkapa alikiuka taratibu za uteuzi kwani kimaadili alikuwa hafai na ilijionesha katika utendaji wake!
Kikwete ni moja kati ya Maraisi Bora kabisa kuwahi kutokea bara la Africa, Aliamini kwenye mijadala na ujenzi wa hoja! Amefanya vitu vingi vizuri nchi hii. Hayati Magufuli nae amepigania nchi yake kwa uzalendo wa hali ya juu. Wote hawa ni binadamu.
 
Ni wewe mkuu ila mie hapa JF nafikisha post 300 kwa siku, hasa ukipata sehemu ya kuzipost ni post chache mno hizo

Hongera Mkuu ,mimi siwezi kufikisha hata 30 kwa siku labda shughuli za kuchoma mkaa zinanibana na hata nikiwa free bado maana natumia muda mwingi kusoma contents tu na nikikutana na comment ya kujibu ndio najibu.
 
Ni kweli ila mimi imani yangu angekuwa ni zaidi ya mtu mmoja wangekuwa washapalaganyika.

Na pia najiuliza kama ni mtu mmoja mbona alali? 24/7 yupo online? Mwaka mzima?

Na amini inawezekana pia akawa Ghost kukidhi vigezo vya juu hivyo viwili.

Jamaa anatoa taarifa kutoka white house moja kwa moja kirahisi tu...

Hiki ni kiashiria tosha white house kuna a lot of moles...

Na ukiniambia huu mtandao umejengwa baada ya the late kuingia pale inaleta ukakasi... Unfavourable environment!

It took time kujenga huu mtandao na ulijengwa katika favourable environment...

Na sidhan, watu wasio kuwa na uzoefu wa kutosha na White House wanaweza unda huu mtandao...

Ila sijui ni kina nani.
 
Aiseee kazi ipo CCM sijui Kama Kuna litakalobadilika mageuzi ni muhimu Sana upinzani jipangeni sana , maccm Ni machumia tumbo tu yanajiangalia yenyewe tu badala ya nchi .
 
Jamaa anatoa taarifa kutoka white house moja kwa moja kirahisi tu...

Hiki ni kiashiria tosha white house kuna a lot of moles...

Na ukiniambia huu mtandao umejengwa baada ya the late kuingia pale inaleta ukakasi... Unfavourable environment!

It took time kujenga huu mtandao na ulijengwa katika favourable environment...

Na sidhan, watu wasio kuwa na uzoefu wa kutosha na White House wanaweza unda huu mtandao...

Ila sijui ni kina nani.
Africa ili ufanikiwe lazima utoe mfumo uliopita...

Magufuli alianzisha hili nadhani Mama atafanikiwa...

Jiulize kwa nini hawataki Bashiru na Majaliwa wawe na Nafasi za juu
 
Nimekuelewa..hao watu ni mashetani..hawana maana kabisa wala uzalendo...walafi wanataka kutafuna hili taifa na wazungu kama vile lakwao
 
Mtu ambaye bado haamini hawa watu ni Upokee Pesa yao au Wadeal na Maisha yako...

Imagine Mtu anawatisha viongozi wakuu hadharani

Screenshot 2021-03-31 at 12.30.10.png
 
kichekesho....yaaani nchimbi awe makamu.
duh!! kweli nchi imefika pabaya.
kwa hiyo baadhi wanadhani sasa kuna vyeo vya kugawana tu sio?!

kwanza ogopa sana mtu anaye tafuta cheo kwa udi na uvumba.....mtu wa aina hiyo ni hatari kuliko ukimwi.
 
Back
Top Bottom