Kwa hoja ya Rais Mama Samia, ninadhani hoja ya Dkt. Kigwangalla tulitumia rungu kumdhibiti

Tatizo la kingwangala sio Yale maneno! Tatizo ni ule unafki wa kumuunga mkono jiwe kuhusu Nyungu! Jiwe kameza moto anajifanya hataki tena Nyungu! Angekua na msimamo mmoja! Kama ni Nyungu Nyungu au kama Science basi Science! Ila yeye anaangalia Jiwe anapiga mziki gani ndo anacheza!

"Acheni Unafki!! Nasema Acheni unafki"(Kwa Sauti ya Bashe)

Huu ndio ukweli ulio wazi.
 
Ndugulile, mpaka alipoteza unaibu waziri
wakati watu mmeshupaza shingo kumlaumu kigwangala kwa kuuunga mkono mitazamo hasi ya jiwe kuhusu corona, mtuonyeshe mtendaji yoyote wa serikali aliyesimama peke yake kumpinga.

mkituonyesha, najitoa JF na sirudi tena.
 
wakati watu mmeshupaza shingo kumlaumu kigwangala kwa kuuunga mkono mitazamo hasi ya jiwe kuhusu corona, mtuonyeshe mtendaji yoyote wa serikali aliyesimama peke yake kumpinga.

mkituonyesha, najitoa JF na sirudi tena.
Dr. Faustine Ndungulile akiwa Naibu Waziri wa Afya chini ya Ummy Mwalimu alitoa tamko kwamba kujifukiza hakutibu korona ila kutaunguza njia ya hewa.

Alitoa hili tamko mara baada ya Rais aliyepita kusema watu tujifukize kama tiba kuu na tuache kuvaa barakoa.

Alichosema kikamgharimu cheo cha unaibu waziri.

Unaaga lini JF?
 
KIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umuhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili.

Wakati wa uchangiaji wa hoja ya Mhe Kigwangala wengi walimshambulia personal na kusema kuwa kwa nini hakushauri kwenye baraza? Lakini ukweli kuwa mabaraza yetu hoja zinaenda kwa majorities, ukishauri jambo lisipoungwa na wengi linakuwa limejifia na utalazimika kuwaunga wengi.

Sasa tukija kwenye hoja ya Mhe Rais ya leo juu ya Covid 19, kwanza amesema Tanzania siyo kisiwa. Amesema Kama duniani kote ripoti zinatolewa na kila siku Tanzania ni deshi haipendezi, lazima tujulikane tuko wapi. Akasisitiza kwa kusema ataunda timu ya Wataalamu ambao watafanya utafiti juu ya Covid 19 ili Kama Taifa tuangalie njia ya kwenda nayo.

Kwa statement hii ya Mhe Rais inaonyesha sasa ni wakati wa Tanzania kuungana rasimi na mapambano haya Kama ilivyo duniani kote au kuamua rasimi Kama Taifa kutumia njia zetu kukabiliana na janga hili. Matokeo ya tume ndiyo yatatoa dira ya taifa.

Lakini hata hivyo statement inaonyesha sasa rasimi corona ipo.

Kigwangala angesikilizwa badala ya kumshambulia. Kigwangala alitoa mawazo huru ambayo pengine kwenye baraza hayakusikilizwa akaona ayaseme sasa kwa kuwa habanwi na Uwaziri.
Kigwangwala aliingwa kwa UNAFIKI wake.
 
Dr. Faustine Ndungulile akiwa Naibu Waziri wa Afya chini ya Ummy Mwalimu alitoa tamko kwamba kujifukiza hakutibu korona ila kutaunguza njia ya hewa.

Alitoa hili tamko mara baada ya Rais aliyepita kusema watu tujifukize kama tiba kuu na tuache kuvaa barakoa.

Alichosema kikamgharimu cheo cha unaibu waziri.

Unaaga lini JF?
Leta ushahidi hapa wa makala au picha za video sio porojo.
 
Si mseme ukweli tu, kuwa wengine waliomshambulia Kigwangwala ni wana Msimbazi kwa ugomvi wake na MO.😀
Mhindi wetu haguswi ...
 
Unapomtazama Kingwangala usimsahau Lipumba, wana element za unafiki uliokubuhu
Wanyamwezi hao!!umewasahau mara hii!!!hakuna kabila linalowazidi wanyamwezi na warangi kwa fitna na unafiki!! sorry kwa nitakao wakwaza ila ndio ukweli!!
 
Tatizo la kingwangala sio Yale maneno! Tatizo ni ule unafki wa kumuunga mkono jiwe kuhusu Nyungu! Jiwe kameza moto anajifanya hataki tena Nyungu! Angekua na msimamo mmoja! Kama ni Nyungu Nyungu au kama Science basi Science! Ila yeye anaangalia Jiwe anapiga mziki gani ndo anacheza!

"Acheni Unafki!! Nasema Acheni unafki"(Kwa Sauti ya Bashe)
Kigwangala hana lolote anatakiwa awe kana Ndugulile.yeye hakupepesa macho lkn shida ya kigwangala ni unafiki.yuko ki maslahi zaidi ndo maana wenzake wamemshambulia.
 
Ukichunguza kilichofanya JPM akubalike kwenye mioyo ya watanzania pamoja na kuwepo kwa sintofahamu kuhusu msimamo wake kuhusu corona, utaelewa kabisa kwamba Kigwangala ni opportunist fulani tu kwenye siasa za Tanzania, wakati mama anafanya kama ilivyotakiwa kufanywa kama kiongozi mpya wa Tanzania kwa wakati huu baada ya JPM.

Uongozi wa JPM ulijengwa kwenye msingi wa Tanzania kwanza, na kila kitu alikipima kwa mizania ya iwapo kitaharibu malengo yake ya miradi yake ya kiuchumi au la. Alifanya hivyo kwa nia ya kwamba tumechelewa sana kama nchi, na hatuhitaji kuchelewa tena, iwe kwa sababu ya mtu yeyote yule, au jambo lolote lile. Corona ilivyoingia akaona hicho ni kikwazo kama vikwazo vingine akaamua kuipuuza. Sisi tuliuona moyo wake huo wa kizalendo na kishujaa, na ameacha alama isiyofutika katika mioyo ya watanzania.

Mama anaingia kwenye zama mpya baada ya JPM. Amesema ukweli kwamba hatuishi kama kisiwa na kama kuna migongano na jumuiya ya kimataifa isiyo ya lazima kuhusu corona, na kama tunaweza kuiepuka kidiplomasia bila kufanywa kupelekeshwa kama marobot, sioni shida iwapo ataamua kuchukua route ya kidiplomasia. Sometimes katika dunia hii kuna wakati utafanya uamuzi binafsi, na kuna wakati utashirikiana, lakini kwa akili. Hakuna anayemtaka mama awe kama JPM kwa kila kitu, na approach zake zinaweza kuwa tofauti na za JPM katika kufikia lengo lile lile, la muhimu ni kuzingatia maslahi mapana ya nchi yetu.

Kigwangala wala hastahili kupewa airtime. Anataka mashine ya kujifukiza iondolewe pale Muhimbili, kwamba kujifukiza hakuna therapeutic value yoyote katika afya ya binadamu?
 
Umesema ukweli, aache unafiki na undumilakuwili, awe mkweli na mwenye msimamo
Mnamlaumu bure tu, huu ndio muda wake muafaka wa kuonyesha msimamo wake binafsi kuhusu Corona maana mazingira ya kisiasa yanaruhusu

Isitoshe hakuna mtendaji yeyote au mbunge aliyekuwa na uwezo wa kumpinga Magufuli au kumkosoa waziwazi.
 
porojo za nini?.
nyinyi si mmesema ndungulile aliwahi kumpinga jiwe hadharani kuhusu corona, leteni ushahidi hapa.

Screenshot_2021-04-06-14-50-21-57.jpg
 
Huyo Said Bagaile anaweza akawa na hoja lakini kwanini kipindi hiki baada ya Jiwe kufa? alitakiwa kama yeye mwanaume kweli na ile kitu inasimama sawasawa angeleta hizo fyokofyoko wakati ule hapo angeonekana shujaa kuliko kinjekitile
 
Back
Top Bottom