Kaunga huwezi amini pita barabara za Singida au tabora au Serengeti uone vyandarua vilivyojaa kwenye vyoo au kwenye mashamba
Wanavitumia kuziba vyoo au ishara ya kuweka mashambani ndege wasivamie mazao yao na havitumiki kwa sababu iliyokusudiwa
na vingine ni vipya kabisa mtu anakabidhiwa anaenda kuzungushia kwenye choo au bafu lake
multi purpose!.....Bush na JeyKei.......
View attachment 79859View attachment 79860
.....Tanzania yenye Malaria na Vipaji inawezekana.....