Kwa hisani ya watu wa Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hisani ya watu wa Marekani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Jul 27, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kumbe wamarekani wanayajua mapenzi kuliko sisi. Kumbe tena wako wazi kuliko sisi. Wako wazi kiasi cha kuwa na ndoa za mikataba. Wako wazi kiasi cha kuruhusu mahusiano ya jinsia moja! Kumbe wanaona mapenzi yetu yamejaa ububu. Kwamba mke/mume nizungumze nae na ikishindikana tuvunje mkataba. Kumbe watanzania wanaogopana kupashana ukweli kuhusu uwazi katika mahusiano, na ndio maana ukimwi hauishi. Kumbe wamarekani wanatupenda hivi? Wito wangu kwenu. Utakapoanza kutaka kuvunja ukimya na mwenza wako uanze na KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI...
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  asante
   
 3. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jinsi unavyojibu posts; kwa mnato na hiyo avatar yako, naona kama nakuona ona ona hivi. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba huo mgongo kwa muda... nimalize njozi zangu za mchana mchana
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mmh hapa tutapishana....mimi nipo usiku saa hii
   
 5. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hujalala tu?baba hapendi ujue!
   
 6. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Avatar hizi jamani! zinafanya watu waote na wawe na ma-imagination ya kuua........ haya, keep on imagining kwa Hisani ya watu wa marekani!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  teh teh...upo?....kuna mtu anataka kunidanganya....sidanganyiki
   
 8. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tena angalia sana Preta, na sijui huko kwenye PM kunaendeleaje!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  What is this 'kwa hisani ya watu wa Marekani' all about?
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  huku nimeshadhibiti.....zinatoka tu haziingii...usiwe na shaka my dear
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha mwambie wewe sio wa kike bali wewe ni mwanamke!
   
 12. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #12
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hata zikiingia hazina neno. kusoma siyo shida, take them as refreshments my dear. ni good kwa afya. lakini kama unaona majaribu ni mengi ni vizuri kudhibiti baadhi ya watu...........
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nimemwambia hasikii we mwache
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  "kwa hisani ya watu wa marekani!" (?) :coffee:...:A S 100:...:A S 41:
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hii kwa hisani ya watu wa Marekani ndio ****** gani huu?
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  mkuu redio, tv na magazeti una mzio navyo? Wamarekani wanahisani hadi mapenzi yetu ndugu.
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kuna mgongo wa preta, sura ya F1 na midomo ile ya pink sikumbuki ya nani. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba kusema nawatamani
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kiongozi kuna tangazo moja linalohusu jinsi ya kutatua migogoro kwenye ndoa sasa limedhaminiwa na watu wa marekani!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kivipi? Please expound....
   
 20. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #20
  Jul 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ha haaaaaaaaaaa, taratibu Kingi!dhambi inaanza kwa kutamani......................
   
Loading...