Kwa hisani ya Mfukunyuzi: Hii picha dah! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hisani ya Mfukunyuzi: Hii picha dah!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Raia Fulani, Jul 21, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  white poverty. sio kama tunapenda, bali na wao wawe na adabu kutufaya tuonekane kama vikaragosi wa sayari hii. Sembene Ousmane katika kitabu chake cha God's bits of wood kaonyesha ni jinsi gani wazungu wanavyotufananisha ma vipande vipande baada ya kuni inayohitajika kutolewa. nadhani mnavifahamu
   

  Attached Files:

 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Wameboka bora mbongo ukipinda inaeleweka je hao wapodo??
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Duh wamechoka kinoma hivi unajua wazungu wengi hasa wa SA, Namibia, Zimbabwe wamechoka kinoma na ngozi zao zinadhihirisha hilo pindi tu ukikutana nao
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Duh wamechoka kinoma hivi unajua wazungu wengi hasa wa SA, Namibia, Zimbabwe wamechoka kinoma na ngozi zao zinadhihirisha hilo pindi tu ukikutana nao
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Duh wamechoka kinoma hivi unajua wazungu wengi hasa wa SA, Namibia, Zimbabwe wamechoka kinoma na ngozi zao zinadhihirisha hilo pindi tu ukikutana nao
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  mzungu akichoka unamuonea huruma
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Nitatafuta mmoja tena wa kike nimpe kazi ya kuwa house girl wangu. Kama huyo mdada wa mbele hapo alivyojichokea akipata kazi ana uhakika wa kula na kulala sidhani kama atatoa nje!!!
   
 8. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyo wa mbele mbona kama mjomba wangu:blabla:
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kumbe mazaako mtasha?
   
Loading...