Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Huyu aliejiuzuru ni made in wapi wazehe?
Nawaogopa sana wazaramoMzaramo alimsuta kunguru hadi akakitema kipande cha samaki.
Kuliko Mpemba??Nawaogopa sana wazaramo
Pole mkuu waifu kakuchambua nini???Kuna taarifa kuwa eti Wanawake wa kizaramo wanajua "kusuta" na "kusimanga" ila kwa hili naomba nikiri kuwa, Wazaramo watasubiri sana!
Kuna Wanawake wanajua kusimanga aiseee, wanajua kusuta, unaweza kujikuta unaikimbia familia Yako.
Hongera sana
Duuh!! 😅😅Mzaramo alimsuta kunguru hadi akakitema kipande cha samaki.
Ndio wale wale sawa na kusema mi so mchaga mi ni mmachameivi wazaramo ndo wakwere?
Kwahyo kumbe kubebwa kinguvu ilikuwa shurti awe anawakula mmoja mmoja sio?Alafu kumbe jamaa alikuwa anakula mmoja baada ya mwingine. Nusra alithibitisha hili juzi kwneye twit yake.
Dugu moyaivi wazaramo ndo wakwere?
Ila wazuri sana aiseeeeKwahyo kumbe kubebwa kinguvu ilikuwa shurti awe anawakula mmoja mmoja sio?
Wanawake tutafika mbinguni tumechoka sana
Ushawahi kusimangwa?Coment nyingi naona tunasimangwa sie tu wakali wa donta, utafikri labda tunahusika kwenye hiyo kadhia,,
Tuombe radhi aisee😀Wanawake ndivyo walivyo...
Nilikuwa naitafuta comment yako😂😂😂😂Coment nyingi naona tunasimangwa sie tu wakali wa donta, utafikri labda tunahusika kwenye hiyo kadhia,,
Hahahaahaha basi sawa!Ila huu uzi umenifanya nicheke sana, sijui hata watu mnawaza nini
UmeitwaDuh! Post zingine bana hazina kichwa wala mkia
Kitulize basUmeitwa