Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 176,470
- 194,354
Hakika ndivyo mlivyo...Tuombe radhi aiseeš
Hakika ndivyo mlivyo...Tuombe radhi aiseeš
Unakazia Tena [emoji16]Hakika ndivyo mlivyo...
UnawashwaKitulize bas
šššššššššššNilikuwa naitafuta comment yakošššš
Na huo ndio uzaramo sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unawashwa
Umesutwa? Au umesimangwa?Na huo ndio uzaramo sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Si ndo kama hivi wazaramo tunasimangwa wakati kufukuzana wamefukuzana mpemba na mgogo lkn hapa naona tunatajwa sie tuUshawahi kusimangwa?
š¤£š¤£š¤£š¤£Ushawahi kusimangwa?
Ila hao wamejaa ubaguzi ila mchele mchele tuKuliko Mpemba??
Nimerudi zangu Kongwaš¤£š¤£š¤£š¤£
Mkuu pole kwa yaliyo kukuta