zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
- Thread starter
- #21
Utakaa sana.wewe ni wa udom usilete uongo humu jamvini ebo!
Utakaa sana.wewe ni wa udom usilete uongo humu jamvini ebo!
Utakaa sana.
Matatizo ya kuchangia bila kujua,mi c mwanachuo hapo chuo cha vilaza dodoma,ila jamaa zangu kibao wamesimamishwa,usifkr kila anaezungumzia udom ni wa udom.
Nina katiba ya vyuo vyote vya TZ.USISHANGAE.hivyo vifungu vya malengo ya udoso umeambiwa na rafiki zako?
Wangekuwa udom mpaka sasa jina lingewahusu lakini c wana udom tena mpk watakaporudshwa tena.kwa hiyo jamaa zako unawatukana vilaza!huna adabu,waombe radhi
wewe ni wa udom usilete uongo humu jamvini ebo!
We zubeda au zuber,ni mshenz wa tabia sn wewe.We c rafk wa kwel kwa wenzio,hv wakifaham unaita chuo cha vilaza unadhan wataujaj vp urafk wenu?Kua makin we.Kilaza babako alieshia la saba kama si la nne.
Napenda kuchukua fursa hii kuwataka UDOSO,kutoa Tamko kabla ya j5,hatima ya Wanafunzi 511,waliosimamishwa Masomo Udom.
Nakutambua Rais wa UDOSO hata kama ni Wewe ni msichana Onyesha unaweza.
Huyo rais wa UDOSO ni nani kwa jina?
Kama cjakosea DEBORA
Sijui nyie Udom soko lenu la ajira lijatakuwa je huko baadae
Matatizo ya kuchangia bila kujua,mi c mwanachuo hapo chuo cha vilaza dodoma,ila jamaa zangu kibao wamesimamishwa,usifkr kila anaezungumzia udom ni wa udom.
Kama cjakosea DEBORA