Kwa hili UDOSO MTOE TAMKO MARA MOJA NINI HATIMA YA hawa 511....

wewe ni wa udom usilete uongo humu jamvini ebo!

We zubeda au zuber,ni mshenz wa tabia sn wewe.We c rafk wa kwel kwa wenzio,hv wakifaham unaita chuo cha vilaza unadhan wataujaj vp urafk wenu?Kua makin we.Kilaza babako alieshia la saba kama si la nne.
 
udoso cjui vp, hadi leo hawana tamko lolote juu ya sisi tuliosimamishwa chuo, bt wako fasta kutoa matangazo kuhusu kulipa student union fee, wengine ha2kuepo kwenye mgomo lakini jumba bovu 2 lime2angukia. 2po hm ha2jui next move
 
tatizo lenu nyinyi ni uwoga wa kufanya maamuzi, lakini mkiamua inawezekana, acheni uwoga na mfanye maamuzi
 
We zubeda au zuber,ni mshenz wa tabia sn wewe.We c rafk wa kwel kwa wenzio,hv wakifaham unaita chuo cha vilaza unadhan wataujaj vp urafk wenu?Kua makin we.Kilaza babako alieshia la saba kama si la nne.

Kama we si kilaza ingilien kati swala la wenzenu hao 511,YESU ALISALITIWA NA MWANAFUNZ4 WAKE.
 
Chuo kikuu cha dodoma ni janga la Taifa,patakuja kunuka udom na Tanzania itajua muda si mrefu..
 
Napenda kuchukua fursa hii kuwataka UDOSO,kutoa Tamko kabla ya j5,hatima ya Wanafunzi 511,waliosimamishwa Masomo Udom.
Nakutambua Rais wa UDOSO hata kama ni Wewe ni msichana Onyesha unaweza.

Huyo rais wa UDOSO ni nani kwa jina?
 
Sijui nyie Udom soko lenu la ajira lijatakuwa je huko baadae

Kwani vyuo vingine soko la ajira likoje,.! Ka vyuo mlivyosoma ni bora sana kwa nini hamchukuliwi wote direct from University..Usi conclude kwa ujinga au upuuzi wa mtu 1 au wachache kwa jumuia nzima ya UDOM..af uliyeta THREAD Kwa nini Msimfate Hy Rais mmueleze wenyewe? Hm JF hamtaelezwa lolote la maana zaidi ya Kukashifiwa kwa chuo.E
 
Matatizo ya kuchangia bila kujua,mi c mwanachuo hapo chuo cha vilaza dodoma,ila jamaa zangu kibao wamesimamishwa,usifkr kila anaezungumzia udom ni wa udom.

Ok, umeshajua ni chuo cha VILAZA, na kwa nini unawalilia hao RAFIKI zako waliofukuzwa warudishwe!? Ningekuona wa maana ka ungewashauri watafute chuo kingine wanaosoma ni wenye AKILI tu..
NB:- Nahisi na wewe ni mmoja ya WAHANGA mliofukuzwa manake unajua issue zote kuhusu UDOM
 
Kama cjakosea DEBORA

Hatambuliwi na akina nani na ni kwa nini? Halafu hao wanafunzi 511 walifanya nini mpaka kusimamishwa masomo? Sorry inawezekana ulishaeleza somewhere else but you do mind kueleza in brief?
 
Back
Top Bottom