Kwa hili UDOSO MTOE TAMKO MARA MOJA NINI HATIMA YA hawa 511.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili UDOSO MTOE TAMKO MARA MOJA NINI HATIMA YA hawa 511....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Nov 13, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Napenda kuchukua fursa hii kuwataka UDOSO,kutoa Tamko kabla ya j5,hatima ya Wanafunzi 511,waliosimamishwa Masomo Udom.
  Nakutambua Rais wa UDOSO hata kama ni Wewe ni msichana Onyesha unaweza.
   
 2. k

  kipindipindu Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona kama wewe ndiye rais wa UDOSO?kweli jf haishi vituko.
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Unakatwa
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,325
  Likes Received: 2,321
  Trophy Points: 280
  Tamko litoke jf au chuoni kwenu.Mna shida na manyanyaso kibao ila mpo kimya ngoja yawazidie ndo mtajua umuhimu kudai haki zenu. UDOSO WENYEWE NDO WASALITI WA WENZAO WE UNAFIKILI WATAWAPIGANIA KWA MTINDO GANI.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Mnalalamika nini? Si mlitoa hela kumchangia jeikei? Muiteni atatue matatizo yenu ya hapo!
   
 6. k

  kipindipindu Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi ndio athari za elimu ya kata.
   
 7. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Shukuru kawambwa keshapiga mkwara atakayeanzisha mgomo inakula kwake...vijana wa UDOM hawajakomaa ku handle issues nzito kama hizo...na masuala ya kisiasa yanakiharibu sana chuo hicho.
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Viongozi wao wanauwezo mkubwa,kulifkisha hlo,who z kawambwa?
   
 9. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wewe ni she au he? Mana hilo jina na kwa jinsi unavyojibu hata hufanani!
   
 10. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni he or she.basi kama ndo delete s kwenye she.utapata jibu
   
 11. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  udoso ndio nini......na raisi wa udoso ndio nini be open
   
 12. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Zubeda bibie tutake radhi wana Udom kwani nakuheshim sana unaposema Vilaza unataka kusema nn zaidi juu ya wana wa Udom?
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Udoso@univesity of dodoma students organization.
  Rais wa Udoso
  Ndo raisi wa hyo jumuiya.
   
 14. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Acha utoto wewe,unathbitisha vp kaul yako.Ni habar ilioandaliwa tu vzr il iyonekane UDOM na CCM wawaa.Usirudie tena mtamsh yako.
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jibu zuri kwao acha mvune mlichopanda
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Utawatambua kwa matendo yao
   
 17. k

  kipindipindu Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni wa udom usilete uongo humu jamvini ebo!
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  JK ndo tunataka tumlete UDOSO aanzie urais huko ili akija ngazi ya kitaifa waweze kuihandle nchi kwa ni imemshinda
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sijui nyie Udom soko lenu la ajira lijatakuwa je huko baadae
   
 20. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Aisee kijana ndo majina hayo yapaswa 2waite nao kwani kitendo cha wenzenu 511 kusimamishwa na UDOSO
  Kukaa kimya ni uwoga na udhaifu.

  There shall be general objectives of UDOSO as here under

  The general objectiues provided,
  The law of 2007 act No.6

  .a).to protect and promote student interest in all aspects of their lives during their tenure at The Universit of Dodoma

  g) UDOSO may act as the intermediary between the students and the University administration,the government of the United republic of Tanzania and all other students sponsors.

  Kama cjavielewa hv vifungu vzr.
   
Loading...