Kwa hili STRABAG mmechemsha vibaya sana

Kwa hili STRABAG mmechemsha vibaya sana

Hayo yalishafikiriwa yote. Subirini muone itakavyokua
 
Mabasi yatafanyiwa uangalizi kila baada na kabla ya safari kama ndege vile!!!!!!!!!!!
 
Mjerumani si Binadamu kama Mtanzania au?Mbona kuna Lecturers kutoka Tanzania wanafundisha vyuo vikuu vya Ujerumani.Thinking haiendi namna hiyo kama unavyodhani.Jiamini wewe mwafrika mwenzangu achana na kasumba za Uzungu (Ila jamaa(wazungu) huwa wako vizuri siyo siri)
 
Yani wewe umejiona una akili nyingi sana kuliko mjerumani?

Great Thinker- unataka kusema nini? Kwamba wajerumani wana akili kutushinda sisi? wale wale, mnaoabudu ngozi nyeupe hadi kujishusha kutoka ukuu uliopewa na Muumba wako! Usahihi ni Strabag ni mkandarasi tu hahusiki na ukubwa, kina na hata materials inayotumika, yeye anaagizwa afanye na afanya- na katika hali ya kimkataba hata angekuwa na hizo akili asingeweza kuzitumia
 
haiwezekani, unless kuna mabadiliko kwenye design..

una ubishi wa kuzaliwa km ckosei.Kama Jambo hulijui omba ueleweshwe.Kwa akili zako kubwa tuambie hayo Mabas yatanyanyuliwa na crene kuwekwa kwenye njia zake.Acha uhayawani kwa mambo usioyajua.
 
Tukiachana na hoja ya mleta mada, anayepaswa kulaumiwa ni serikali na sio iTANROADS! TANROADS inawezekana nae ana nafasi yake lakini katika suala la kuwa na only single lane huwezi kuwalaumu wao wakati wao sio wanao-finance hiyo project! Ikiwa serikali na inaweza kutumia utetezi wa kawaida kabisa kwamba haikuwa na uwezo wa ku-finance multiple lanes ambayo ingehusisha na ubomoaji wa majengo na nyumba nyingine zaidi kote inakopita barabara, sasa TANROADS wangefanya nini? Unataka kusema wangeiambia serikali if you can't finance multiple lanes basi achananeni na mradi wenyewe? Hata ukiwaambia, jibu kwao ni simple tu coz' atakayetoa ushauri kama huo is just a person na ataambiwa leave everything on the desk na wapo watakaokuja kutekeleza mradi; simple as that!

Mkuu heshima kwako...endelea kutoa shule kwa watu kama t blj maana wabalipeleka jambo wapendavyo. Mimi pia namshauri ajaribu kufuatilia miradi mikubwa ya miundombinu na hasa ile tunayopata ufadhili. Ina masharti mbalimbali na mojawapo mfadhili anaweza kusema kuwa pamoja na kwamba kutakuwa na kufidia watu wenu, mimi nitafadhili hadi kiasi kadhaa. Na wakati mwingine niseme wanajua "waswahili" ni wasumbufu sana linapokuja swala la fidia. Mifano iko wazi ukihitaji ufafanuzi zaidi bana t blj tutaiweka hapa.
 
Last edited by a moderator:
Tukiachana na hoja ya mleta mada, anayepaswa kulaumiwa ni serikali na sio TANROADS! TANROADS inawezekana nae ana nafasi yake lakini katika suala la kuwa na only single lane huwezi kuwalaumu wao wakati wao sio wanao-finance hiyo project! Ikiwa serikali na inaweza kutumia utetezi wa kawaida kabisa kwamba haikuwa na uwezo wa ku-finance multiple lanes ambayo ingehusisha na ubomoaji wa majengo na nyumba nyingine zaidi kote inakopita barabara, sasa TANROADS wangefanya nini? Unataka kusema wangeiambia serikali if you can't finance multiple lanes basi achananeni na mradi wenyewe? Hata ukiwaambia, jibu kwao ni simple tu coz' atakayetoa ushauri kama huo is just a person na ataambiwa leave everything on the desk na wapo watakaokuja kutekeleza mradi; simple as that!

Kama Hivi ndivyo serikali na wakala wake wanavyo operate basi ni uhusiano wa kisiasa zaidi kuliko kiufanisi!! Nilitegemea Tanroad wangekuwa wana meno au mamlaka ya kuikosoa au kuielekeza serikali kuu pale inapobidi,


Lakini ebu tuwe realistic kuliko kuwa na kitu sub standard , si bora kutokuwa nacho kabisa ?? Maana naamini hata hizo construction companies kuna nyingine huwa hazijengi kitu kibovu kwa kuigopa kuharibu jina.
 
sawa great thinker...unajua sana kuliko strabag yenye miaka zaidi ya 100 Kazini

Mkuu kama unafikili kila mwenye uzoefu zaidi ya miaka 100 basi anaweza kila kitu 100% uko wrong kaka,, "kuna ndege moja walikoseaga design ya engine locks kwenye bawa za ndege na matokeo yake ikawa maafa baada ya engine moja ya upande wa kulia kuanza kufail lock zake mbili na kudondoka angani na kuitwanga engine nyingine, walizuia zile ndege za namna ile zote zisimame na redesign ifanyike" makosa kwenye engineering yanasababishwa na vitu vingi sana kaka na ndio maana suala la bahati mbaya halikubaliki,,, mara ngapi umesikia toyota wanaagiza gari zirudi viwandani??? waulize wataalamu wa makatapila kuna kitu kinaitwa PIP, SERVICE LETTER, SERVICE MAGAZINE NK.. watakuambia ni nini.. Tumeona ile barabara ya mbagara imerudiwa na kajima je nao hawana uzoefu wa 100 year??? pale mbeya meta wachina wamerudia barabara zaidi ya mara mbili, hapo napo ni vipi???

Makampuni kama haya ni kweli yanauzoefu uliotukuka na watalaamu waukweli,, wanafanya kazi zenye weledi kwao Ulaya na sio Africa, ulaya usimamizi ni wa kueleweka na kila kitu kiko under standard bila siasa... Africa usimamizi hakuna na hawa watu huingiliwa na wanasiasa sana mwisho wa siku kazi huharibika kwa maslahi ya waafrica wenyewe... Unawajua GREEN ACRE LTA wako wapi sasa?? walipomaliza kipande chao cha barabara kutoka Tinde-shinyanga to somewhere mpakani na mwanza hawakupewa project nyingine tena na walifanya kazi nzuri, sasa angalia kuanzia walipoishia kwenda mwanza kilichotokea....

Lazima ujuwe STRABAG wanatafuta faida na wao ni binadamu,, msipowasimamia kiweledi na mkaruhusu watu wenu kuwashawishi 20% ipatikane na wanajua hao hao watu wenu watawalinda wafanyeje sasa,, ulishajiuliza kwanini walishindwa KENYA?? 20% toa tukupe kazi lakini standard lazima iwepo, tukizingatia hili tutafanikiwa..
 
Umeshaandikiwa humu ndani tena vizuri tu kuwa kuna provisions za diversions and the like ili ku serve vitu kama hivyo. Tatizo tunang'ana tuwe na miundo mbinu inayoendana na mapungufu yetu kama "waswahili".


Mdau aliyezungumzia provisioned diversions amesema ziko kila baada ya 3km ,sina uhakika sana na kipimo alichotumia ila Kama ni kweli basi Barbara hiyo ya km 10 itakuwa na exit tatu tu!!! Je zitatosha?
 
Umekagua michoro iliyotakiwa kutumika ukakuta wamejenga tofauti na ilivyotakiwa?
 
kama wangekuwa sahihi wasinge anza kuondoa zile hump trucks za katikati tukubali hata wao wanakoseaga!! nimeshuhudia mwenyewe wakizing'oa katka baadhi ya sehemu
 
Great Thinker- unataka kusema nini? Kwamba wajerumani wana akili kutushinda sisi? wale wale, mnaoabudu ngozi nyeupe hadi kujishusha kutoka ukuu uliopewa na Muumba wako! Usahihi ni Strabag ni mkandarasi tu hahusiki na ukubwa, kina na hata materials inayotumika, yeye anaagizwa afanye na afanya- na katika hali ya kimkataba hata angekuwa na hizo akili asingeweza kuzitumia

Weeee naye vipi!? akili za mwafrika unazilinganisha na za mzungu??? Ukweli utasemwa tu japo ni mchungu.ukisikia mzungu ni mtaalam wa kitu fulani ni mtaalam kweli kweli, c hawa wa kwetu, mfano mzuri juzi kuna ofisi moja mfumo wao wa computer ulipata shida, bwana weee, makampuni karibu yote makubwa ya wataalam wa IT, yaliitwa, bila mafanikio, ndio wakaagiza mtaalam mzungu toka south Africa, hata masaa 3,hayakuisha!!!!wazawa wanabaki wanabung'aa macho tu!! akachukua chake huyooo, uwezo wa prof. mmoja wa kizungu ni sawa na maprof. 1000. wa kiafrika! Sana sana ni kuzidi kutunyonya tu, wapewe pesa kwa ajiri ya kupika data tu, mala furani ndio anauzika kwenye uchaguzi huu!! mara mia kidogo baadhi ya maprof, wa Kenya na Nigeria ndio unaweza kuuona hata mchango wao ki dunia. lakini wa Tz hamna kabisa. MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO
 
Mdau aliyezungumzia provisioned diversions amesema ziko kila baada ya 3km ,sina uhakika sana na kipimo alichotumia ila Kama ni kweli basi Barbara hiyo ya km 10 itakuwa na exit tatu tu!!! Je zitatosha?


Logic ndogo tu, endapo tutakuwa provisions za below 3km kuna haja gani ya mabasi yaendayo kasi?
 
Logic ndogo tu, endapo tutakuwa provisions za below 3km kuna haja gani ya mabasi yaendayo kasi?

Unadhani kwanini ile Barabara ya Morocco ambayo ni fupi Ina exits nyingi na tuta halipo tena ?? Au ule sio mradi wa mwendokasi?
 
Ni kweli mtoa hoja sababu ni wa..... K....... bw nafikiri umenielewa Ilitakiwa ziwe hvyo kk
 
Unadhani kwanini ile Barabara ya Morocco ambayo ni fupi Ina exits nyingi na tuta halipo tena ?? Au ule sio mradi wa mwendokasi?

Katika hizo ni barabara gani yenye AADT zaidi, kwa maana ya Capacity na Volume kuliko nyingine?
 
kama wangekuwa sahihi wasinge anza kuondoa zile hump trucks za katikati tukubali hata wao wanakoseaga!! nimeshuhudia mwenyewe wakizing'oa katka baadhi ya sehemu

Mshauri wa mradi ndo aliyekosea na sio mkandarasi
 
Back
Top Bottom