Inawezekana vipi? Tena tuache hilo suala la mkataba alilosema mwanza. Assume wewe ni contractor na umepewa tenda ya kujenga nyumba kwenye kiwanja cha 15 m x 15 m. Je unaweza kujenga ghorofa sawa na Ubungo Plaza? Unachosema wewe kingewezekana endapo tu, pamoja na mkataba kutaka more than one lane, lakini ama bara bara za kawaida ziondolewe kabisa au nyumba zote zinazotazama barabarani angalau upande mmoja zibomolewe! Sasa unadhani hao Starbag wana huo wajibu?Inawezekana
Kwa mfumo mkubwa kama huo, lazima uwe na breakdown service. Pia vyombo vinavyotumika ubora wake ni lazima uangaliwe kwa ukaribu na kila siku. Kuna mji mmoja naufahamu wana mfumo Kama huo.
Kwanza ni nadra sana kukuta breakdown maana wako makini na service za vyombo vyao, pia breakdown service ina response ya 5 to minutes. Jiulize jiji Kama London linatumia tube train Na breakdown zinatokea na njia ni moja Kama hiyo hiyo ya DART !!
Unadhani hakuna kusubiria hizo response unity kuondoa tube train iliyo haribika? Kwa taarifa tu, hiyo hutokea kila siku. He sisi ni kina nani kuishi perfect world ? Yaani gharama za ujenzi zilivyo juu mnataka njia pana? Kwa eneno lipi? Na Kwa hela gani? Huo mradi ungekuwa Wa trillions tungeukubali?
Engineer bora atafikiria jinsi breakdown response unity zitasetiwa maana kwenye vituo kuna nafasi Kubwa hivyo magari ya recovery yanaweza park kila baada ya kilometre 15 or 20 kusubiria la kutokea ... lukelo sakafu
Tanroad hawana taratibu za kuweka tahadhari kama hizo....
Ndio maana unaona roli/gari likiharibika barabarani litatengenezwa hapo hapo hata kama ni kwa masaa sita
Ndugu, acha kuchanganya habari. Mjerumani kwani katolewa akili wapi? Mchangiaji kadadavua kuwa kampuni ya Uhandisi Ushauri na mwakilishi wa Client/ Mshitiri( kwa hapo ni Tanroads) walitakiwa walione tatizo hilo na kushauri promptly!
Kosa kama hilo wamelirudia katika mizani ya pale Vigwaza, barabara zake za kwenda mizani nyembamba sana, gari ikiharibika ni ishu kupishana.
Toa magari yenu mabovu barabarani bana, yaani watu watengeneze barabara ili kukidhi haja ya magari mabovu? Nchi ya ajabu hii.
Yani wewe umejiona una akili nyingi sana kuliko mjerumani?
Kuna service station zimetengenenzwa kama hapo motoko hotel ipo na hapo studio ipo. Na kutakuwa na breakdown ya kuzisukuma . Haya magari sio ya kuharibika hivi hivi labda mpigwe changa la macho mletewe mikweche kama kawaida yenu.
Wabongo oyeeeee.
Kwahiyo hata kama eneo linatosheleza kujenga single lane na mkataba waliopewa unataka single lane, bado wewe ulitaka wajenge more than one lanes?