Dirishani ndio mpango mzima, ili baada ya nusu saa nikae mkao wa kukuegemea, lolest!
Mnapenda kukaa seat za
dirishani kwenye mabus na mkikaa mnafanya vioo kama mali yenu,hamna tena
hewa ni full kufunga,y?
Mnapenda kukaa seat za dirishani kwenye mabus na mkikaa mnafanya vioo kama mali yenu,hamna tena hewa ni full kufunga,y?
Du kwa nini asiegemee kioo maana unakuta Dada mwenyewe uliyekaa naye amesuka Yeboyebo mkichwa umekuwa kaa umebeba kikapu chenye harufu ya dagaaDirishani ndio mpango mzima, ili baada ya nusu saa nikae mkao wa kukuegemea, lolest!
Juzi nilikuwa naenda mkoa kwenye seat demu kakaa dirishani mimi kushoto, tumefika kimara tu akajipindua kunielekezea masaburi yake na mguu kanyanyua kukanyaga kiti cha mbele na kujifanya anasinzia. Ilibidi nimsalimie kikwetu aiseee. Ile namalizia kusema mamb... nikaskia ....am cool...si nami nikamalizia so cute....