Kwa hili Rev.Gamanywa hapana

Kwa hili Rev.Gamanywa hapana

mimi ni mkatoliki, hayo mambo mengine sijui miujiza sijui nn mimi sielewi kwani miujiza alishafanya Yesu......hebu lete balimi 5 hapa nizipige ili niweze kupata miujiza ya kutafuta hela.....
Wakatoric ndivyo mlivyo ,kunywa tu mkuu maana hujaokoka
 
Kuna Mchungaji uchwara mmoja mm kanidhulumu pesa yangu nimemfanyia kazi. Watu wanatumia neno la Mungu kujipatia fedha tu.
Yaani kanali unababaishwa na hao? Mimi mtu anayejidai kaokoka, mtu wa Mungu mara mwimbaji wa injiri, kwangu hapiti. Nyimbo nitasikiliza kanisani siyo barabarani au Stadium!!! Mungu yupo rohoni mwetu siyo kwenye vikapu vya sadaka jamani.
 
Wenye mapepo ni akina Rose Muhando waliotikisa dunia na nyimbo kumbe wanabwia na Bashite yawezekana analijua hilo maana huyo Rose hakosi kwenye sherehe za Chatel.
 
Back
Top Bottom