Kwa hili Rev.Gamanywa hapana

Kwa hili Rev.Gamanywa hapana

Hii ni Kweli tupu isiyo na shaka yoyote ndani yake!
Lakini pia pia mtafute Mungu wake Kweli maadamu anapatikana, nimeona nimeshuhudia. Ukitaka msaada au utumishi wa kweli tuwasiliane
Atakupa kiasi gani? Sikiliza dini ipo ndani ya roho ya mtu wala haina shule na mafundisho. Mtu kama alisoma mafundisho akamaliza process zote za kuwa mkristu anahitaji nini kwenda kusikiliza wanaopiga kelele mabarabarani?
Pesa zitawamaliza sababu wanaonyang'anywa ni wajane na wasionacho wanaodanganywa kuwa wataongezewa kumbe hollaaa.
 
Asubuhi leo nmesoma waraka wa mtume Paulo kwa Wafilipi nmelinganisha na hii mada nmeelewa. Usipojua biblia hakika utakua mtumwa
 
Manabii, watumishi, mitume, woooote wamejazana mijini, huko vijijini hakuna wanaohitaji huduma?
 
mimi ni mkatoliki, hayo mambo mengine sijui miujiza sijui nn mimi sielewi kwani miujiza alishafanya Yesu......hebu lete balimi 5 hapa nizipige ili niweze kupata miujiza ya kutafuta hela.....
 
Kama unaamini Mungu yupo endelea kuamini hivyo, dini ni mpango wa binadamu tu kujipatia riziki yake, pamoja na kudanganya wenzake.

Haiwezekani mkristo kwa mkristo lakini kila mtu anaona chake ni chema kuliko cha mwenzake, anaona anaabudu kwa weledi kuliko mwenzake, anakandia cha mwenzake huku akinadi cha kwake.

Ukristo umeingia mchanga, ni kudanganyana tu saivi.

Hata hivyo, God's existence is highly doubtful...
 
Hakuna hela... Halafu hakuna wazambi wenye mapepo
Ujanja mkubwa hutumika siku hizi kuwadanganya watu kwenda kwenye upotevu. Jiulize kwanini wachungaji/manabii/mitume hawa wanajilimbikizia mali kiasi hicho? Aafu hata siku moja hutaona mchungaji fulani akishirikiana na mwingine kwenye jambo la kiroho eg. Kakobe ashirikiane na Mwingira au Mzee wa Upako...never. Kila mmoja anajua anachokifanya ni nini, hakuna ukweli wowote, pesa ndio lengo lao!
 
Laiti yesu angefufuka leo ghafla hakika angezitia kiberiti hizi redio na makanisa yanayojiendesha kibiashara
 
ULITAKA AWEKE MATANGAZO YA KUSAFISHA NYOTA KWA MGANGA KUTOKA SUMBAWANGA? ACHA WATU WAENDE WASIKILIZE NENO, MIUJUZA AMBAO HAUJAWAHI KUUONA NI WEWE KUMKUBALI YESU NA KUBADILISHA MWENENDO WA MAISHA YAKO KUTOKA MBAYA KUWA MZURI
 
ULITAKA AWEKE MATANGAZO YA KUSAFISHA NYOTA KWA MGANGA KUTOKA SUMBAWANGA? ACHA WATU WAENDE WASIKILIZE NENO, MIUJUZA AMBAO HAUJAWAHI KUUONA NI WEWE KUMKUBALI YESU NA KUBADILISHA MWENENDO WA MAISHA YAKO KUTOKA MBAYA KUWA MZURI
Aaamen barikiwa kwa wosia.... Buriani ndugu
 
Back
Top Bottom