illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Nimesema lawama wabwagiwe wanaume kwasababu, wao wamekuwa kama ndio chanzo cha kuchochea wadada wengi kufanya hivi. Laiti wao wangeanza kuonyesha kukerwa na haya sidhani kama wadada wangehangaika hivi sababu wangekuwa wanamfanyia nani? wangekuwa wanategemea nani awaone awapende?
Dada zetu wa sasa utakuta kuanzia chini hadi juu ukimuangalia ni FAKE kisa ni kupendeza ili mwanaume ampende:
1. Makalio FEKI.....dawa za kichina anataka akipita wakaka wageuke wamtizame na wengine wamtokee
2. Maziwa FEKI ... Dawa za kichina anataka aonekane ziwa saa sita na limejaa
3. Kope FEKI....Kope za kichina...Mwingine anakuwa kama mdoli
4. Lenses za macho FEKI ...Anataka aonekana na macho ya kizungu au ya brown.
5. Nywele FEKI ....Anataka aonekane nywele za kizungu au zakichina
6. Kucha FEKI...Anataka aonekane na kucha ndefu nzuri
7. Nyusi FEKI....Anataka aonekane ananyusi zilizonyooka anabandika
8. Rangi ya ngozi FEKI....anataka awe mweupe kama MZUNGU
Halafu kina kaka wakimuona hivi ndio wanaona kapata kweli.....Jifikirieni je mwanamke huyu hata ukimuoa si unakaribisha majanga nyumbani kwako....Je baada ya miaka kadhaa mfano kwa aliyetumia madawa ya maziwa na makalio CANCER itamuacha?
Kina kaka anzeni mikakati ya kupiga vita hii, kila mwenye GF au mke amkataze wake kufanya hivi naimani jamii itabadilika..
JIULIZENI: Mbona wachina wao hawaangaiki kutumia vitu hivi wanawaletea nyie.? Wao wapo bapa, maziwa hawana...hawatumii...Lenses wao mbona hawana macho ya kizungu? Wanawaletea Waafrica ?
UTUMWA UMETUTAWALA SAANA