The Cock
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 172
- 287
Ni maombi ya Shukrani, (End of Year Thanksgiving Prayers) yakiongozwa na Rais Museveni pamoja na firstlady yakifanyika Ikulu ya nchi hiyo ambapo viongozi wa dini zote wamealikwa kumshukuru Mungu na kuliombea Taifa
Kwa mtazamo wangu, jambo hili ni zuri kwani katika mwaka mzima Mungu ametuepusha na mengi na tumeendelea kuwa na Upendo, amani, mshikamano na umoja wa Kitaifa.
Kwa mtazamo wangu, jambo hili ni zuri kwani katika mwaka mzima Mungu ametuepusha na mengi na tumeendelea kuwa na Upendo, amani, mshikamano na umoja wa Kitaifa.