Kwani house girl alishawahi kupewa option ya kuchagua kama alipwe cash hela anayostahili -a decent pay- ili ajiamulie malazi na chakula 🤣 🤣 ? Ifike tu mahali serikali iweke standardPia zingatieni kuwa house girls anakaa kwenye familia anayofanya kazi.
Iwapo angefanya Kwa mhindi au familia zenye uwezo angekuwa anaenda asubuhi na kurudi jioni ,
Hapo angeyakiwa apange chumba lakini anakaa nyumbani anajifanya kazi,
Kwa hiyo mwenye kukaa na yaya iwapo analala chumba chake peke yake inabidi kukithaminisha iwapo angepanga mtaani angelipa shilingi ngapi ?
Akiumwa anatibiwa,
Chakula anachokula asubuhi mchana na jioni, unajua mfanyakazi wa serikali wa kina cha chini huwa anajitegemea chakula ?!
Lakini yaya anakula milo yote anakofanya kazi,
Je tuithaminishe?
Sabuni anayoogea na kufulia nguo zake,
Mafuta ya kupaka,
N.k
Ukithaminisha hivyo vyote utakuta pesa yake ni nyingi.