KWA HILI LA LEO, Mh Pinda nakuunga mkono!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KWA HILI LA LEO, Mh Pinda nakuunga mkono!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CR wa PROB, Sep 23, 2011.

 1. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo ni mara yangu ya pili kukusikia mh Pinda ukizungumzia maswala yanayoigusa jamii,

  Kwa kifupi leo nimefarijika sana kumwona waziri mkuu wetu akiwa anawaonya na kuwakemea viongozi ambao wanatumia pesa za walipa kodi kuingia kwenye misafara mingi pale wanapoona kuna kiongozi mkubwa serikalini amekuja kwenye maeneo yanayowazunguka, kwa nchi kama Tanzania imekuwa kama desturi ya viongozi waandamizi wa wilaya na mikioa kuingia kwenye misafara isiyowahusu huku wakiwa wanatumia vibaya pesa za walipa kodi kwenye kujipangia marupurupu ya per day pamoja na mafuta siku akija kiongozi mkubwa serikalini.

  Kiukweli Mh Pinda kwa nafsi yangu umenifurahisha ulipowaambia wawatembelee watu kwa muda wao bali sio kusubiri upite wewe kama waziri mkuu ndio wakufuate nyuma kwenye msafara wako, kwa hili Pinda nakupa big up sana!!!

  MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  A cat that bites worth more than a toothless lion.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Tatizo si mawaziri na waandamizi, ila kiongozi wa juu akiwa ovyoooo na wachini yake watakuwa viyo hivyo. Mkuu wa nchi ukijilegeza kihivyo utamsahihishaje Mwigulu Mchema kule Igunga?
   
 4. M

  Mwera JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Candidate scope mbona kila jambo tunataka kumwagia lawama mkuu wa nchi?? MNYONGE MYONGENI HAKI YAKE MPENI,kunya anye bata akinya kuku kaharisha,hebu punguzeni chuki kwa mkulu wa nchitu, MFUMILE KUTALI NJILE KUTALI. Safari yakuikomboa tz bado ndefu.
   
 5. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #5
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Huyu ni kawaida yake
   
 6. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Pinda kishaongea mengi sana hadi kulia but hakuna yanayotekelezwa.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kumbe simba ana jino moja
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Lawama lazima abebe yeye coz anakumbatia wazembe na yeye pia ni mzembe ndani ya serikali legelege
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pinda hana lolote anaongea maneno matamu na mazuri ila vitendo kamwe hatekelezi. Kama hili la sukari ndo limebamba moto kwelikweli utafikiri ndo aliwakumburasha. Police wa boda ya tarakea wanapaki magari yao barabarani kusubiria malori ya sukari na mahindi kwa kila lori kuna sehemu wanaacha laki moja na sehem nyingine elfu 30. Madereva wa magari hayo wamesema mpaka kuingia kenya wanatumia takribani laki saba na elfu ishirini (720,000) kuhonga police njiani mpaka kuingia kenya.
  Source macho yangu
   
 10. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  mkuu nimeipenda hii. Thanx lakini kwa taarifa. Yaelekea polisi ni kitu kingine na serikali ni kitu kingine vile vile.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mchezaji ukishaingia uwanjani fanya tunachotazamia, lakini kinyume chake tutakuzomea tu kwa vile sisi tupo kwa ajili ya kukuangalia unavyosukuma gozi. Kama husukumi gozi tunavyotazamia basi kaa bench waachie wanaoweza.

  Haya yanayofanyika yanachefua, kuendekeza kuembea wakati home matatizo chungu mzima. Tulimchagua kwa ajili ya kutumikia Taifa la tanzania si kwa ajili ya kufanya show huko ng'ambo.

  Angefanya hivyo wakati matatzo ameyaondoa hakuna wakumshangaa, na tungekuwa mstari wa mbele kumshabikia aendelee kulitangaza taifa letu kwa mataifa.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Anafaa kuwa rais 2015?
   
 13. e

  ebrah JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimeipenda hii mesy,
  CCM wametudanganya kwa lugha kauli, misemo, sera nk. watanzania wa leo tunataka macho yaone kitu kikifanyika. mfano: yeye kama waziri mkuu anakauli gani kuhusu misikiti kuingilia siasa na kuwaambia waumini kwa kutangaza hdharani kuwa wasichague chama fulani? na wakati wa uchaguzi mkuu na hata baada ya uchaguzi walikuwa wakiimba sana suala la udini?
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siyo bure anaumwa huyu! Hawa ndiyo ambao walikuwa na ndoto za kuinua maisha binafsi kama wagombea wao wangepita sasa hasira zao ndo wanazionyesha humu. Kaka jitahidi mwenyewe, hakuna popote duniani unakopewa vya bure.
   
 15. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sikupata kuwa na mashaka na mtoto wa Mkulima. Hakurupuki wala hataki misifa ya kijinga na kudhalilisha watu kwenye mikutano ya hadhara.
   
 16. k

  kiche JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyo hana jipya,ni lini aliwai kusema jambo likatekelezwa?kumbuka muhimu ni utekelezaji siyo kuongea hata sera nyingi (japo si zote) za ccm ukizisoma utaona tunakaribia paradiso lakini hakuna utekelezaji!yapo mengi tu ambayo aliwai kutamka lakini mpaka leo hakuna lililofanyika.
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Eeh anafaa sana kuwa raisi wa fifa 2015.
   
 18. M

  Mwera JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka wapi umeona mimi nimetoa maoni ktk mchango wangu kutaraji kufanyiwa au kusaidiwa kitu?soma mchango wangu kwa makini,acha kukurupuka.
   
 19. M

  Mwera JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo kidogo la mtoto wa mkulima ni kuwa kuwa hafuatilii maagizo yake anatoa maagizo hamna utekelezaji.awe mkali afatlie maagizo yake.
   
 20. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Endelea kujisahihisha taratibu,utaelewa tu.
   
Loading...