Siyo bure anaumwa huyu! Hawa ndiyo ambao walikuwa na ndoto za kuinua maisha binafsi kama wagombea wao wangepita sasa hasira zao ndo wanazionyesha humu. Kaka jitahidi mwenyewe, hakuna popote duniani unakopewa vya bure.
Pole sana, laiti ungejua. Sina muda wa kupotezea nafasi za kuteuliza au kisiasa, aliyonipa Mungu namshukuru na ndiyo ninayoendeshea maisha. Hapa natetea kwa nguvu zote tabaka la walalahoi wenzangu, wasiendelee kutaabika. Siko tayari kujisahau kwa vile siko nao au siishi kama hao, ila najisikia ni mmojawapo hata kama ningekula kuku kwa mrija.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.