Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

Mtazamo Chanya...

1. Bandari itaboreshwa
2. Ufanisi Kuongezeka
3. Biashara Kuimarika
4. Maslahi juu kwa Wafanyakazi
5. Huduma yao itavutia nchi nyingi Jirani
6. Mapato Kuongezeka
7. Urasimu Kupungua

Mtazamo Hasi

1. Mkataba kutokuwa na Ukomo ni Hatari kwa wenye Bandari
2. Vipengele vinachojichanganya Kimaelezo vinaleta Wasiwasi
3. Kwanini hakukuwa na Mchakato mrefu unaohusisha hata Wananchi ili Kuuelewa?
4. Msemaji wa Serikali badala ya Kuelezea Kiundani muda mwingi anautumia Kufoka. Kukosoa na kutuonyesha Watanzania kuwa hana Akili
5. Tunatulizwa kuwa DP World wako hadi Uingereza ila hatuambiwi kwanini katika Mataifa mengine Wameshindwa
6. Wanasiasa kuingilia Kutetea Mpango huu kunaongeza Shaka kuwa huenda tatizo halipo tu katika Mkataba na DP World bali hata Akili za Wanasiasa Wetu ( hasa Wabunge wa CCM ) nazo zina tatizo
7. Spika wa Bunge kutumia muda mwingi Kuvitishia Vyombo vya Habari vya Tanzania juu ya Kuandika kuhusu huu Mkataba wa DP World na Bandari yetu kunaonyesha kuwa huenda Mihimili Mikubwa miwili imeshalainishwa Kifedha na Waarabu ili Kuuza Rasilimali za Watanzania na Watanzania wenyewe

Nini Kifanyike?

1. Mchakato juu ya huu Mkataba uanze upya na uhusishe Watanzania Wote
2. Lugha ya huu Mkataba iwe ya Kiswahili ili hata tusiojua Kiingereza akina GENTAMYCINE tuuelewe
3. Watanzania tuwe Wavumilivu juu ya Ufadanuzi utakaolewa
4. Wanasiasa na Wabunge wasiwe Wasemaji Wakuu wa hili bali Wataalam wasio na upande ndiyo Wasikilizwe
5. Rais, Waziri na Msemaji wa Serikali wasione Aibu kuwaomba Radhi Watanzania juu ya hii Sintofahamu inayoelekea kuzaa Chuki na Hasira kwa Wadau na Wananchi
6. Tubakie na Utanzania Wetu na kamwe tusianze Kubaguana Kimakabila na Kijiografia kwani Sisi sote ni Watanzania
7. Wale Wanaotetea huu Mkataba wa DP World wasionekane ni Maadui kwani nao wana Hoja mahala lakini pia na wale ambao Wanaukosoa huu Mkataba wasipuuzwe, wasidharauliwe bali Hoja zao nazo zipimwe kisha kwa upamoja Wao kupatikane muafaka thabiti ya huu Uwekezaji wa hawa DP World kama Wawekeze au Wasiwekeze.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ubariki Mtandao huu wa JamiiForums
Mungu Mbariki mno GENTAMYCINE

AMINA.
ww una maakiri nimekuerewa sana. umeandika madini hata mm ra saba nimekuerewa.hongera sana bosi
 
Watu wenye akili washashtukia Jambo
Kuna kampeni ya kumchafua Rais na kuweka vipengele vya uongo..
Duniani hakunaga mkataba usio na kikomo......akili ya kawaida Tu inakwambia Dpworld wasingeweza kusaini mkataba wa utata waanze kuwekeza huku wanajua Tanzania hakuna Rais wa milele....kila mara kuna uchaguzi
Una nafasi ya kumsafisha weka wewe huo mkataba wenye ukomo

Maana ushaona wengine wote hawana maana isipokua wewe pekee.
 
Nimejaribu kumsikiliza na kumsoma alichoongea Mkurugenzi wa Bandari. Kwa maelezo yale Mnunuzi wa Bandari yetu ni Paul Kagame. Angalia huu mtiririko.
1. 2013 anasema angekuwa mmiliki wa Bandari, Tz au nchi yoyote inaweza kujiendesha
2. 2016 anampa ushauri Mzilankende Kuboresha Bandari
3. 2017 Rwanda inakomaza ushirikiano na UAE kwenye sekta ya usafiri.
4. Kati ya 2015 na 2019 Rwanda inaipigia Chapuo Congo kuingia EAC
5. 2017 Tanzania inavunja mahusiano ya kibandari na CONGO DRC
6. 2016/17 Rais wa Tanzania inaamua ghafla kuanza ujenzi wa SGR Kuelekea Isaka. Na kipande Cha Isaka kwenda boda ya Tz na Rwanda
7. 2017 Rais wa Tz anazuia Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
8. 2018 DP World wanaanza kujenda Dry port kubwa Rwanda.
9. 2021 Panga pangua Zinashika kasi Dar port baada ya Ziara ya Mama Kigali.
10. 2022 Samia anatangaza kubinafsisha Dar Port. Bila kumtaja atakae pewa.
11. 2022/23 Ziara lukuki za wafanya maamuzi kwenda Dubai Zikaongezeka.
12. Ziara ya Ghafla ya PK 2023.
13. 2023 Bunge lachomekewa agenda ya Azimio ambayo haikuwa kwe ye ratiba.

Yajayo.
1. Mizigo itakuwa cleared Rwanda. Magari ya Congo, Uganda, Si lazima tena kuja Dsm
2. Ajira za vijana wa kusafirisha mizigo na magari kuhamia Rwanda.
3. Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kusitishwa Rasmi.
4. Tanzania kuishi kama haina Bandari na Rwanda kuishi kama inapakana na Bahari. PK kuwa na nguvu kubwa ya kuingiza lolote atakalo kupitia Dar Port.

Poleni Wanajeshi wetu mnaopambana kuilinda nchi Congo Na Mozambique. Mmepigwa ndani
 
Hakuna chochote hapa Tanzania kilichowahi kutolewa kwa mwekezaji watanzania wakafaidi, kuanzia migodi na vingine vyote, tumeachiwa mashimo tu, hivyo kuamini hizo porojo za merits ni ujinga mtupu.

Na pale ambapo mkataba husika unakuwa hauna kikomo, kusema upo neutral kwenye hali kama hiyo, neutral ukijua fika kizazi chetu hakitakaa kije kuiendesha sehemu ya hiyo bandari, ni ujuha kabisa.

Ujuha huo kama ulivyoonekana kuungwa mkono na wengi waliochangia hapa, ndio faida kwa CCM inayoendelea kututawala, kwani lengo lao kuu la kuwadumaza watanzania kiakili linafanikiwa.
 
Ni kwanini ni Waarabu ?

Hivi hawa watu huwa wana nini?

Hawa si wale wa kununua watu, utumwa au sielewi
 
Nimejaribu kumsikiliza na kumsoma alichoongea Mkurugenzi wa Bandari. Kwa maelezo yale Mnunuzi wa Bandari yetu ni Paul Kagame. Angalia huu mtiririko.
1. 2013 anasema angekuwa mmiliki wa Bandari, Tz au nchi yoyote inaweza kujiendesha
2. 2016 anampa ushauri Mzilankende Kuboresha Bandari
3. 2017 Rwanda inakomaza ushirikiano na UAE kwenye sekta ya usafiri.
4. Kati ya 2015 na 2019 Rwanda inaipigia Chapuo Congo kuingia EAC
5. 2017 Tanzania inavunja mahusiano ya kibandari na CONGO DRC
6. 2016/17 Rais wa Tanzania inaamua ghafla kuanza ujenzi wa SGR Kuelekea Isaka. Na kipande Cha Isaka kwenda boda ya Tz na Rwanda
7. 2017 Rais wa Tz anazuia Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
8. 2018 DP World wanaanza kujenda Dry port kubwa Rwanda.
9. 2021 Panga pangua Zinashika kasi Dar port baada ya Ziara ya Mama Kigali.
10. 2022 Samia anatangaza kubinafsisha Dar Port. Bila kumtaja atakae pewa.
11. 2022/23 Ziara lukuki za wafanya maamuzi kwenda Dubai Zikaongezeka.
12. Ziara ya Ghafla ya PK 2023.
13. 2023 Bunge lachomekewa agenda ya Azimio ambayo haikuwa kwe ye ratiba.

Yajayo.
1. Mizigo itakuwa cleared Rwanda. Magari ya Congo, Uganda, Si lazima tena kuja Dsm
2. Ajira za vijana wa kusafirisha mizigo na magari kuhamia Rwanda.
3. Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kusitishwa Rasmi.
4. Tanzania kuishi kama haina Bandari na Rwanda kuishi kama inapakana na Bahari. PK kuwa na nguvu kubwa ya kuingiza lolote atakalo kupitia Dar Port.

Poleni Wanajeshi wetu mnaopambana kuilinda nchi Congo Na Mozambique. Mmepigwa ndani
Pk katumaliza Aisee.
 
Mtazamo Chanya...

1. Bandari itaboreshwa
2. Ufanisi Kuongezeka
3. Biashara Kuimarika
4. Maslahi juu kwa Wafanyakazi
5. Huduma yao itavutia nchi nyingi Jirani
6. Mapato Kuongezeka
7. Urasimu Kupungua

Mtazamo Hasi

1. Mkataba kutokuwa na Ukomo ni Hatari kwa wenye Bandari
2. Vipengele vinachojichanganya Kimaelezo vinaleta Wasiwasi
3. Kwanini hakukuwa na Mchakato mrefu unaohusisha hata Wananchi ili Kuuelewa?
4. Msemaji wa Serikali badala ya Kuelezea Kiundani muda mwingi anautumia Kufoka. Kukosoa na kutuonyesha Watanzania kuwa hana Akili
5. Tunatulizwa kuwa DP World wako hadi Uingereza ila hatuambiwi kwanini katika Mataifa mengine Wameshindwa
6. Wanasiasa kuingilia Kutetea Mpango huu kunaongeza Shaka kuwa huenda tatizo halipo tu katika Mkataba na DP World bali hata Akili za Wanasiasa Wetu ( hasa Wabunge wa CCM ) nazo zina tatizo
7. Spika wa Bunge kutumia muda mwingi Kuvitishia Vyombo vya Habari vya Tanzania juu ya Kuandika kuhusu huu Mkataba wa DP World na Bandari yetu kunaonyesha kuwa huenda Mihimili Mikubwa miwili imeshalainishwa Kifedha na Waarabu ili Kuuza Rasilimali za Watanzania na Watanzania wenyewe

Nini Kifanyike?

1. Mchakato juu ya huu Mkataba uanze upya na uhusishe Watanzania Wote
2. Lugha ya huu Mkataba iwe ya Kiswahili ili hata tusiojua Kiingereza akina GENTAMYCINE tuuelewe
3. Watanzania tuwe Wavumilivu juu ya Ufadanuzi utakaolewa
4. Wanasiasa na Wabunge wasiwe Wasemaji Wakuu wa hili bali Wataalam wasio na upande ndiyo Wasikilizwe
5. Rais, Waziri na Msemaji wa Serikali wasione Aibu kuwaomba Radhi Watanzania juu ya hii Sintofahamu inayoelekea kuzaa Chuki na Hasira kwa Wadau na Wananchi
6. Tubakie na Utanzania Wetu na kamwe tusianze Kubaguana Kimakabila na Kijiografia kwani Sisi sote ni Watanzania
7. Wale Wanaotetea huu Mkataba wa DP World wasionekane ni Maadui kwani nao wana Hoja mahala lakini pia na wale ambao Wanaukosoa huu Mkataba wasipuuzwe, wasidharauliwe bali Hoja zao nazo zipimwe kisha kwa upamoja Wao kupatikane muafaka thabiti ya huu Uwekezaji wa hawa DP World kama Wawekeze au Wasiwekeze.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ubariki Mtandao huu wa JamiiForums
Mungu Mbariki mno GENTAMYCINE

AMINA.
Well summed. Asante
 
Akhsante Mkuu na Sifa Kwake Mungu.
Watu wengi wanamwaga povu bila hata kujua uwepo wa vipengele. Na wengine wanaunga mkono bila hata kuelewa wanakubali nini.

Bora tuelimishwe nini kilichopo ili tujue tunazika hapahapa au tunasafirisha?
 
Mtazamo Chanya...

1. Bandari itaboreshwa
2. Ufanisi Kuongezeka
3. Biashara Kuimarika
4. Maslahi juu kwa Wafanyakazi
5. Huduma yao itavutia nchi nyingi Jirani
6. Mapato Kuongezeka
7. Urasimu Kupungua

Mtazamo Hasi

1. Mkataba kutokuwa na Ukomo ni Hatari kwa wenye Bandari
2. Vipengele vinachojichanganya Kimaelezo vinaleta Wasiwasi
3. Kwanini hakukuwa na Mchakato mrefu unaohusisha hata Wananchi ili Kuuelewa?
4. Msemaji wa Serikali badala ya Kuelezea Kiundani muda mwingi anautumia Kufoka. Kukosoa na kutuonyesha Watanzania kuwa hana Akili
5. Tunatulizwa kuwa DP World wako hadi Uingereza ila hatuambiwi kwanini katika Mataifa mengine Wameshindwa
6. Wanasiasa kuingilia Kutetea Mpango huu kunaongeza Shaka kuwa huenda tatizo halipo tu katika Mkataba na DP World bali hata Akili za Wanasiasa Wetu ( hasa Wabunge wa CCM ) nazo zina tatizo
7. Spika wa Bunge kutumia muda mwingi Kuvitishia Vyombo vya Habari vya Tanzania juu ya Kuandika kuhusu huu Mkataba wa DP World na Bandari yetu kunaonyesha kuwa huenda Mihimili Mikubwa miwili imeshalainishwa Kifedha na Waarabu ili Kuuza Rasilimali za Watanzania na Watanzania wenyewe

Nini Kifanyike?

1. Mchakato juu ya huu Mkataba uanze upya na uhusishe Watanzania Wote
2. Lugha ya huu Mkataba iwe ya Kiswahili ili hata tusiojua Kiingereza akina GENTAMYCINE tuuelewe
3. Watanzania tuwe Wavumilivu juu ya Ufadanuzi utakaolewa
4. Wanasiasa na Wabunge wasiwe Wasemaji Wakuu wa hili bali Wataalam wasio na upande ndiyo Wasikilizwe
5. Rais, Waziri na Msemaji wa Serikali wasione Aibu kuwaomba Radhi Watanzania juu ya hii Sintofahamu inayoelekea kuzaa Chuki na Hasira kwa Wadau na Wananchi
6. Tubakie na Utanzania Wetu na kamwe tusianze Kubaguana Kimakabila na Kijiografia kwani Sisi sote ni Watanzania
7. Wale Wanaotetea huu Mkataba wa DP World wasionekane ni Maadui kwani nao wana Hoja mahala lakini pia na wale ambao Wanaukosoa huu Mkataba wasipuuzwe, wasidharauliwe bali Hoja zao nazo zipimwe kisha kwa upamoja Wao kupatikane muafaka thabiti ya huu Uwekezaji wa hawa DP World kama Wawekeze au Wasiwekeze.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ubariki Mtandao huu wa JamiiForums
Mungu Mbariki mno GENTAMYCINE

AMINA.
Natamani sana haya uliyoandika hapa yazingatiwe ili nchi yetu iendelee kuishi kwa upendo.
 
6. Tubakie na Utanzania Wetu na kamwe tusianze Kubaguana Kimakabila na Kijiografia kwani Sisi sote ni Watanzania

Mwarabu ana teknolojia ambayo sisi hatuna. Kumbuka bandari sita za China zimemkodisha.

Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao​

Siasa nyingi za kijinga ndio sifa ya utanzania wa leo hii, hakuna mantiki zaidi ya kudharau ambacho mtu hana uelewa nacho.
 
Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao​

Watanzania ukimaanisha hawa mafisadi wachache kina Tibaijuka na Nshala lakini ukimaanisha wafanyabiashara wa mikoa kama Mtwara hata kesho wanamtaka mwekezaji.

Hizi habari za nchi eti inauzwa ni kupapalika tu kwa hawa mafisadi na mawakala wao wanaoneemeka kwa pesa za mzunguko haramu wa TPA.
 
Kosa kubwa kwa wa -TZ ni uelewa wa mambo na uwezo wa kujadili mantiki..
Inawezekana labda mfumo wa elimu ulivyo...

Chanzo pekee kinachotumika kupokea taarifa ni na kupitia wanaharakati au wanasiasa bila kujali interest walizo nazo ..

Kuna uvivu mkubwa sana wa kusoma documents, kuchambua na kuelewa ( Individual).

Tatizo hili lipo kwa raia, hata viongozi wawakilishi.
Ukiweza kuwakusanya raia ( iwe kwa mikutano, au mitandao) unaweza ukawajaza na wakajaa upepo, kwa kuwa hawana alternative ya kufahamu.

Hebu kumbuka issue ya KIGAMBONI CITY, lilikuja wazo zuri la mji wa kisasa ( potential), ramani nzuri .. tungeweza kuwa Kawa mji mzuri sana uliopamgika kwa biashara na offices....ilibaki kuingia ktk utekelezaji lakini wakaibuka wanaharakati wakadai KIGAMBONI imeuzwa kwa BUSH wa Marekani..!..

Wakiongozwa na mtaka ubunge kipindi hicho Mh...NDUGULILE , aliziniamisha akili za raia hasa wenyeji wa KIGAMBONI kuwa jambo hilo halifai.G
Wakati huo kila ukiongea na Raia wa kigamboni, hawakutaka kabisa mpango huo hadi jambo hilo likaleta ugumu na utata, mwishowe serikali ikaachana na mpango wa kisasa wa CITY...Hii plan ilikuwa nzuri sana kwa future ya DSM na nchi kwa kuwa naamini ingeweka fursa za muda mrefu.

Leo Hii kigamboni ina grow kama SQUATTERS tu kama ilivyo Manzese, Tandika nk ..makosa yaleyale ya siku za nyuma.. Wachache wenye Individual interest wamefanikiwa kufikia ngazi zao kwa ku- foolish majority.

Nawaza sana kwamba huenda wa- TZ tuna shida fulani ya upokeaji wa habari na namna ya kufikiri kipekee ..Hasa ktk mambo magumu...

Kila mw ardhi yao imeuzwa kwa MAREKANI
 
Mtazamo Chanya...

1. Bandari itaboreshwa
2. Ufanisi Kuongezeka
3. Biashara Kuimarika
4. Maslahi juu kwa Wafanyakazi
5. Huduma yao itavutia nchi nyingi Jirani
6. Mapato Kuongezeka
7. Urasimu Kupungua

Mtazamo Hasi
1. Mkataba kutokuwa na Ukomo ni Hatari kwa wenye Bandari

2. Vipengele vinachojichanganya Kimaelezo vinaleta Wasiwasi

3. Kwanini hakukuwa na Mchakato mrefu unaohusisha hata Wananchi ili Kuuelewa?

4. Msemaji wa Serikali badala ya Kuelezea Kiundani muda mwingi anautumia Kufoka. Kukosoa na kutuonyesha Watanzania kuwa hana Akili

5. Tunatulizwa kuwa DP World wako hadi Uingereza ila hatuambiwi kwanini katika Mataifa mengine Wameshindwa

6. Wanasiasa kuingilia Kutetea Mpango huu kunaongeza Shaka kuwa huenda tatizo halipo tu katika Mkataba na DP World bali hata Akili za Wanasiasa Wetu ( hasa Wabunge wa CCM ) nazo zina tatizo

7. Spika wa Bunge kutumia muda mwingi Kuvitishia Vyombo vya Habari vya Tanzania juu ya Kuandika kuhusu huu Mkataba wa DP World na Bandari yetu kunaonyesha kuwa huenda Mihimili Mikubwa miwili imeshalainishwa Kifedha na Waarabu ili Kuuza Rasilimali za Watanzania na Watanzania wenyewe

Nini Kifanyike?
1. Mchakato juu ya huu Mkataba uanze upya na uhusishe Watanzania Wote

2. Lugha ya huu Mkataba iwe ya Kiswahili ili hata tusiojua Kiingereza akina GENTAMYCINE tuuelewe

3. Watanzania tuwe Wavumilivu juu ya Ufadanuzi utakaolewa

4. Wanasiasa na Wabunge wasiwe Wasemaji Wakuu wa hili bali Wataalam wasio na upande ndiyo Wasikilizwe

5. Rais, Waziri na Msemaji wa Serikali wasione Aibu kuwaomba Radhi Watanzania juu ya hii Sintofahamu inayoelekea kuzaa Chuki na Hasira kwa Wadau na Wananchi

6. Tubakie na Utanzania Wetu na kamwe tusianze Kubaguana Kimakabila na Kijiografia kwani Sisi sote ni Watanzania

7. Wale Wanaotetea huu Mkataba wa DP World wasionekane ni Maadui kwani nao wana Hoja mahala lakini pia na wale ambao Wanaukosoa huu Mkataba wasipuuzwe, wasidharauliwe bali Hoja zao nazo zipimwe kisha kwa upamoja Wao kupatikane muafaka thabiti ya huu Uwekezaji wa hawa DP World kama Wawekeze au Wasiwekeze.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ubariki Mtandao huu wa JamiiForums
Mungu Mbariki mno GENTAMYCINE

AMINA.
Braza popoma huu uzi umeandika ukiwa umepoa sana lile vaib lako silion kabisaaaaa lkn tupo pamoja na nadhan kwenye katiba mpya kuwe na kipengere cha wanasiasa ngazi ya ubunge na watendaj wa serikal wawe wanapimwa akili kila mwaka
 
Watanzania ukimaanisha hawa mafisadi wachache kina Tibaijuka na Nshala lakini ukimaanisha wafanyabiashara wa mikoa kama Mtwara hata kesho wanamtaka mwekezaji.

Hizi habari za nchi eti inauzwa ni kupapalika tu kwa hawa mafisadi na mawakala wao wanaoneemeka kwa pesa za mzunguko haramu wa TPA.
Kuna tofauti kati ya Uwekezaji na Mwekezaji. Tofauti ni kubwa sana kwa tafsiri yako.

Hakuna mfanyabisahra au wafanyabiashara wa mikoani amabo wanataka waje kuwa replaced katika biashara zao na Mwekezaji Uchwara. Mzungu, Mwarabu au Beberu wa aina yeyote ile.

Serikali inapaswa kuwatambua, kuwawezesha na kuwapatia motisha Wafanyabiashara wa ndani hususani wenyeji na wazawa wa Afrika katika mapambano yao ya kiuchumi badala ya kuwawezesha mabeberu kwa migongo yetu.
 
Naongelea wafanya biashara wa kweli ambao ndio wafaidikaji wa bandari yetu, siongelei hawa wanaharakati walio nyuma ya Profesa Tibaijuka na kundi lake la waliozoea kutajirikia bandarini.

Kuna wafanyabiashara wa korosho huko Mtwara wenye kuwataka hata kesho hawa DP World waende kule kwao wakitegemea kupata connections za mazao yao.

Kuna wakulima wengi tu wanaopotezewa muda na hizi siasa za wachache wa mijini wenye kujiona wanajua kila kitu kwa sababu wanaishi Dar!.

Tanzania ina watu milioni 62 na wengi wao hata hawana muda na hizi siasa za mikataba kati ya serikali na mwekezaji DP World.
 
Back
Top Bottom