Kwa hili, kweli chadema ni wasanii!!!

Kwa hili, kweli chadema ni wasanii!!!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?
 
uploadfromtaptalk1371974683669.jpg
Hapo jee!??
 
HAMY D umegonga msumar wa kichwa washaanza kulalamika.wew huon hata mimacho ya (mzee wa casino)mbowe imekaa kisanii tu

Ajabu moja ni huu uandishi wenu wa kutokamilisha herufi za maneno.........haraka ya kulipwa!
 
Mkuu Dr Slaa hayupo Ulaya.
Dr yupo Botswana!!!!!

Hata angekuwa Kenya, hoja ya msingi ni kwanini hajasitisha ziara yake na kuja kwenye msiba wa wahanga wa tukio?

Jambo ambalo hata wabunge wa CHADEMA wamelivalia njuga kwani waliacha shughuli zao bungeni (kujadili bajeti kuu) kwa muda wa wiki nzima, kuacha jambo la kitaifa na kwenda msibani, iweje Dr Slaa ashindwe kusitisha ziara yake?
 
Shasema we ni mpango maalumu wa kutufukuzisha kwa ban hapa jf, matatizo yako ni makubwa sana sema utakuja jishtulia badae
 
Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?

......vipi huko tibisi hakuna watazamaji?
 
Ungeandika kitabu cha hizi story zako sasa hivi kama usingekuwa milionea, basi ungekuwa unapambana na usanii wa wasambaza kazi za wasanii kama wewe.
 
Hivi wewe unajua Dr Slaa anafanya nini huko Ujerumani? Suppose yuko katika matibabu? Mbona mnakuwa na akili fupi sana just for around 7,000 a day!

Mwenye akili fupi hapa nani mkuu?

Dr Slaa ni kiongozi wa kitaifa wa CHADEMA, kama anafanyiwa matibabu ilipaswa taarifa itolewe kuwa kutakuwa na jambo hilo la matibabu kwa kiongozi huyo nje ya nchi, kukaa kwao kimya kunafanya watu wapate viulizo vingi juu ya nini hasa kinamuweka huko mpaka ameacha kujumuika na wenzake kwenye mazishi?
 
Sasa hapo usanii uko wapi? Hivi we unadhani Dr. Slaa ni Kikwete anayeishi airport?
Dr. Slaa alishawakilisha salamu.zake na yupo njiani anakuja.
Dr. Slaa akitamka neno moja wote mnatamani kuficha nyuso zenu, mara wengine mnatishia kwenda mahakamani!

Kwa taarifa yenu Dr. Slaa sasa anakuja na taarifa za kiintelijensia aliyopewa kutoka jikoni na baadhi yenu. Subirini zimwagwe humu nawaambia mtakosa pakujificha!

Baada ya kukosa umaarufu jukwaani mkaamua kuwa magaidi!!!!

Pumbavu zenu wauaji wakubwa nyie!
 
HAMY D umegonga msumar wa kichwa washaanza kulalamika.wew huon hata mimacho ya (mzee wa casino)mbowe imekaa kisanii tu
Magamba rukeni sarakasi zote mkimaliza sisi ndiyo tunaanza na hatuna maneno mengi ya porojo zaidi ya ushahidi na ndiyo hata huyo mume wenu Uncle Sam atakapowatoa thamani.
 
Mbona mimi sikwenda na niliomboleza na nipo Tanga?

Wazazi wa Ngwea walienda Sauz? Mbona Millard Ayo alienda au kwasababu yeye alikua nauchungu zaidi ya wazazi wa Ngwea?

Mlitegemea Dr angeonyesha unafiki mliouzoea sio?
 
Kwa uandishi wako inaonyesha wewe si mwana-cdm, hivyo nakushauri kabla ya kukosoa na kunyoosha kidole kwa jirani hebu jiulize kwako ni salama? Kiongozi wako wa nchi mtalii, alishaahirisha mara ngapi kwa sababu kama hizo? Kosa halihalalishi kosa ila usiwe mvivu wa kufikiri.
 
Hivi mkuu wa nchi alisitisha ziara yake katika club ya sunderland uko ?
 
Kaenda nunua Sanda na Jeneza la kuja kukizika chama chao baada ya mpango wao bomu kubumbuluka.
 
Back
Top Bottom