Kwa hili, kweli chadema ni wasanii!!!

Kwa hili, kweli chadema ni wasanii!!!

nakumbuka kulikua na shinikizo kwa mkulu wakati wa Bomu la Awali
 
Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?

Endapo Taifa limebaki na Usalama wa taifa wapumbuvu namna hii, tumekwiha na mnatutia aibu.
 
Mkuu wala NJEMU wa humu hawataki kuambiwa ukweli,lazima watukane tu,wanapenda kuelezwa ujinga na hasa ujinga wanaotaka kuusikia tu!
 
honey d kwanza rekebisha hiyo id ili unitendee haki na la pili kumbe mnakiri dr ndiye rais halali?mbona aliyemwibia kura hajakatisha ziara wakati yeye ndiye baba mbakaji wa mama?
 
jamani wana jf tuachane na kujibu maada za hamy d hapa jukwani huyu bwana ana wachukulia wana jf kama wajinga ndio maana kila qakati anakuja na upuuzi anaona jf wanauchangia cha msingi hapa tuachane na huyu jamaa akileta hapa topic yake tusiichangie tuisome alafu tumpuuze
 
Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?

Tatizo lenu mnajishtaki wenyewe!! Fastjet alikuwa Ireland, tokea aliporudi mbona hajafika Arusha?
Kama Dr. Slaa ndiyo rais wa Tanzania tujue maana waliopata madhara yale ni watanzania
 
Sasa hapo usanii uko wapi? Hivi we unadhani Dr. Slaa ni Kikwete anayeishi airport?
Dr. Slaa alishawakilisha salamu.zake na yupo njiani anakuja.
Dr. Slaa akitamka neno moja wote mnatamani kuficha nyuso zenu, mara wengine mnatishia kwenda mahakamani!

Kwa taarifa yenu Dr. Slaa sasa anakuja na taarifa za kiintelijensia aliyopewa kutoka jikoni na baadhi yenu. Subirini zimwagwe humu nawaambia mtakosa pakujificha!

Baada ya kukosa umaarufu jukwaani mkaamua kuwa magaidi!!!!

Pumbavu zenu wauaji wakubwa nyie!

Mungi,

Wewe hujaona usanii hapo?, usijitoe ufahamu mambo yanavyo kufika maji shingo!

Kama wabunge wa chadema wameacha kujadili bajeti kuu ya serikali, ambalo ni jambo la kitaifa na wameenda kujumuika na wengine katika mazishi, iweje iwe ngumu kwa Dr Slaa anaesema ameguswa na tukio la mlipuko wa bomu kushindwa kushiriki kwenye mazishi?
 
Last edited by a moderator:
HAMY D umegonga msumar wa kichwa washaanza kulalamika.wew huon hata mimacho ya (mzee wa casino)mbowe imekaa kisanii tu

Kama alivyo mwenyekiti wa magamba anachekacheka kama anagombea umiss vile huo ndo usanii, anafaa kuigiza ze comedy orijino na futuhi.
 
Magaidi masisiem na majangili kila siku naona vibaraka kama HAMY-D mnapigana vikumbo kugombea buku saba....njaa mbaya sana!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe hujaona usanii hapo?, usijitoe ufahamu mambo yanavyo kufika maji shingo!

Kama wabunge wa chadema wameacha kujadili bajeti kuu ya serikali, ambalo ni jambo la kitaifa na wameenda kujumuika na wengine katika mazishi, iweje iwe ngumu kwa Dr Slaa anaesema ameguswa na tukio la mlipuko wa bomu kushindwa kushiriki kwenye mazishi?

Wewe kijana acha upumbavu wa kuposti ujinga kutwa nzima, hebu ona wewe na wajinga wenzako mnavotesa raia

Police-brutality-in-Tanzania-375x248.jpg

police_brutality_1.jpg

benson-kigaiya-akiwa-chini-ya-ulinzi-wa-polisi-wa-ffu-5-huku-wengine-wakinyatia-kwa-pembeni-akiambulia-makofi-ya-mgongo-na-makalio.jpg
 
Inasikitisha sana Jitu linaamka asubuhi linakuja kuhara kwenye forum, Hujaguswa wewe na vifo hivi au unadhani hao ndugu zetu waliokufa hapo damu zao ni juisi!!!!!!!!!..watu wameuwawa kinyama soweto, Iringa na kwingineko kwingi who know who is next...... its might be you or me...angalieni nyie mafisadi wanacreate njia i mean maku method za kubaki madarakani watumbue Nchi hii we unakuja ku query Dr Slaa, Bila Chadema wewe ungekuwa unakula dampo saa hii...
 
Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?
Jeshi letu la polisi lingekuwa na Weredi mkubwa wa kufanya kazi wewe ilitakiwa wakutafute na wakutie nguvuni ili usaidie upelelezi wa Tukio la Bomu kwani tangu siku ya kwanza ya mlipuko kila siku hazipungui Thread 2 za kwako humu na zote zinaonyesha kuna kitu unachokifahamu juu ya ulipuaji ule lakini unajitahidi sana kutaka kuwapindisha watu wajikite kwenye upuuzi wako waache kujadili ukubwa wa tatizo.
 
Kwa uandishi wako inaonyesha wewe si mwana-cdm, hivyo nakushauri kabla ya kukosoa na kunyoosha kidole kwa jirani hebu jiulize kwako ni salama? Kiongozi wako wa nchi mtalii, alishaahirisha mara ngapi kwa sababu kama hizo? Kosa halihalalishi kosa ila usiwe mvivu wa kufikiri.

Angekufa msanii hapo ndo ungemwona JK.
 
Mwache ale bata akirudi ataitisha maandamano
 
mwenyeti yupo, makamu yupo, naibu katbu yupo, mnadhimu yupo sasa hapo kuna ulazima gani wa kuwepo DKt? Tuache siasa za kipuuzi watu wanataka walipuaji wachukuliwe hatua sio nan alihudhulia au hakuhudhuria..
 
Umbeya ndo mlichobaki nacho kazi kupiga domo hata kwa mambo yasiyokuhusu. Umetumwa na Chadema au umeamua kimbelembele
 
mwenyeti yupo, makamu yupo, naibu katbu yupo, mnadhimu yupo sasa hapo kuna ulazima gani wa kuwepo DKt? Tuache siasa za kipuuzi watu wanataka walipuaji wachukuliwe hatua sio nan alihudhulia au hakuhudhuria..

Wewe ndio bomuuu, kama ishu ni uwakilishi, iweje Mbowe awaagize wabunge wote wa CHADEMA waende Arusha? kwanini asinge teua wabunge kadhaa wakawakilishe?

Uwe unafikiria angalau hata kidogo tu.
 
mkuu HAMY ulikuwa hujui kama ni wasanii. mbowe anapokaa kweli hakujenga disco? si unajua tena chama cha wasanii kile, ndo wanataka wachukue nchi ili waifanye km las vegas, casino madisco malaya na kila aina ya uhuni.... viongozi wake wahuni wat do u expect
 
Wewe ndio bomuuu, kama ishu ni uwakilishi, iweje Mbowe awaagize wabunge wote wa CHADEMA waende Arusha? kwanini asinge teua wabunge kadhaa wakawakilishe?

Uwe unafikiria angalau hata kidogo tu.

Mjinga wewe walikufa wangapi mtwara, bunge likaahiliswa huna adabu kabisa kwa walokufa Arusha.
 
Back
Top Bottom