Kwa hili, kweli chadema ni wasanii!!!

Kwa hili, kweli chadema ni wasanii!!!

Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?

[h=5]Mpoki Mujuni
[/h][h=5]Lakini kumbuka ..... kama pesa ni makaratasi, basi benki zitaitwa maktaba.
[/h]
 
So what!
 
Safi sana jembe la Nape. Nenda Lumumba utiwe mpini ulime vizuri.
 
jifunze mambo kwanza ili ueleweke vizuri. Sasa unmlaumu nani DR. SLAA au CDM? nani masanii na nani anafanyiwa usanii? Je unafikiri kuja kwa slaa kunge badilisha nn? uwakilishi ulio fanywa na WABUNGE unatosha:kev:
 
Wewe kweli ni kihiyo maana kabla ya kulaumu kwanza uwe mwenye kumbukumbu,hivi unajua ya kuwa kila kupotokea majanga ya kugalikisha taifa mtawala wenu dhaifu jk huwa yuko nje ya nchi!!!!!!!!!!!!mbona hajawahi kuailisha safari,mara moja tu aliailisha aliposikia wamekamatwa Waarabu baada ya kulipua bomu Kanisani!?????hadi leo hii hajakamatwa mlipuaji kwa vile analindwa na chama cha magamba.
 
Kwanza ukumbuke dr Slaa yeye siyo mwenyekiti hivyo majukumu ya nani amuone nani hayatendwi na Katibu,hivyo katika cdm upo utaratibu wa kushughulikia mambo.Kama ujuhi basi leo nakusaidia hapa cdm hatukurupuki mambo yetu kunafanya kwa weredi wa hali ya juu,hivyo kunapotokea jambo gumu kama ili la kitaifa tunao viongozi wenyejukumu la kutatua kadhia hiyo,nawanachama wote tunaridhika na maamuzi yanayotekelezwa kwa niaba ya Viongozi wetu wa juu.Pia ukumbuke wakati Magamba wanalipua bomu wakilenga kuwaua Viongozi wetu dr Slaa tayari alikuwa Ujerumani takriban wiki moja,hivyo walio udhuria maziko pia ni Viongozi waandamizi wa cdm.nadhani nimekusaidia kukutoa matongotongo!!!!!!!!!!?????
 
Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?

Mbona JK hajarudi ata mlipuko wa kanisan arusha aliendelea kula kuku KUWAIT na press ikatoka fek..silaha unamuonea yeye ni katbu wa cdm kama knana alvyo ccm hvyo mwkt ni mbowe..kwa kweli kwa hili la kutengenezea viongoz wa cdm kesi za kupkwa ccm wanakosea sana sana kuna baadhi ya mambo nakosoaga ya cdm i.e maandamano ya mara kwa mara arusha lakini hili i.e kes ya kileo ya kupka na ya kna lwakatare kiukweli ccm wanaongeza hasra za wananchi dhidi yao...
 
Hii mambo ya kisitisha safari sababu ya msiba ni hoja ya watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria kama mbilikimo. Kwanza, kama ungekuwa usanii, ndio angekuja sasa mpaka alie mbele ya waandishi wa habari ili uone amewahurumia wananchi na amesikitishwa na msiba kama katili Pinda alivyojifanya analia bungeni huku akitoa maneno ya ukatili kama, anayeua alibino naye auawe. Watu wangekuwa wanalipiza jino kwa jino, ulimwengu ungekuwa ulimwengu wa mauaji kila kukicha. Lakini kwa sababu Dr. Slaa anatumia akili kufikiri akijua kuwa kama ni huduma kwa waathirika itapatikana kwa sababu CHADEMA ni taasisi, na uwepo wa ofisi ya Katibu Mkuu ipo hata kama yeye hayupo, bado akaendelea na shughuli zake huko aliko akijua wengine watahudhuria. Usanii ni wa JK aliyetuambia kuwa ameahirisha safari wakati safari ilikuwa ishaisha, na kuwadanganya watanzania milioni 45 kuwa ameahirisha safari. Huo ndio usanii kwa sababu usanii ni pamoja na kusema uongo, unamwona muigizaji anaigiza kuwa yeye ni mchungaji wakati hata mlango wa kanisa haujui.
 
Vipi kusitisha kushiriki vikao vya bunge kwa sababu ya misiba?
 
Wana-JF!

Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.

Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.

Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.

USANII UKO WAPI SASA?

Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!

Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.

Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?

Mkuu kumbe unajua yupo Ujerumani mimi nlijua yupo Dodoma?
 
Sasa ndio umeandika nini? yani mtu ukiguswa na jambo unaweza uka-regard the issue of distance kama kikwazo? especially ukiwa na pesa?
 
Vipi kusitisha kushiriki vikao vya bunge kwa sababu ya misiba?

Kwanza ningekuwa mimi mbunge wa CHADEMA nisingekuwa nashiriki mjadala kwa sababu michango yao japo ni mizuri haichukuliwa maanani na serekali. Pale bungeni kilichobaki ni kuongea siasa sio kutumikia wananchi, hivi wewe umemsikia Lowasa, Mohamed Dewji wakichangia?
 
Back
Top Bottom