Sugar Junior
Member
- May 6, 2013
- 71
- 3
safi sana msiyo yajuwa yatawasumbua ndio mahana tunawashushuaga yani mmeshindwa kununua vitambulisho vyao mmebidi muwapige mabom .mmekosa washauli kwenyechama chenu au sababu chama kinaitwa policcm pumbavu.
Hasa chadema watakopoanza kuumbuana na kuzika chama na unafik waotutaona mengi
maoni yenu ya hila yanaipaisha chadema.kwa nini usiseme Kikwete arudi kwani na yeye alikuwa safarini ina maana na yeye hakuguswa na yaliyotokea?Wana-JF!
Kama mtakumbuka, wabunge wote wa CHADEMA hawakuweza kuhudhuria vikao vya bunge kwa wiki nzima hii kwa sababu kubwa kwamba wameguswa na tukio la mlipuko Arusha, hivyo iliwalazimu waende kwenye msiba wa wahanga kwenye ajali hiyo.
Kwa kuacha kwao kujadili bajeti kuu ya serikali, kwa mtu mwenye moyo wa huruma atasema kweli hili tukio limeathiri sana wabunge wa CHADEMA, na mtu anaweza kutoa credit kwa wabunge hao kuwa ni wazalendo.
Lakini kuna mtu mmoja ambae ni mkubwa kimadaraka huko CHADEMA, nae ni Dr Slaa, huyu yupo Germany kwa ziara anayoijua mwenyewe, lakini ni ukweli usiopingika kuwa bunge ni bora kuliko ziara ya Dr Slaa huko Germany, kwani bunge ni suala la kitaifa.
USANII UKO WAPI SASA?
Hapa unaweza kuona, kama kweli Dr Slaa ameguswa na tukio hili la mlipuko basi ni wazi angesitisha mara moja ziara yake na kuja kujumuika na wenzake katika mazishi!
Kama ambavyo wabunge wa CHADEMA walivyo jenga hoja kuwa, hawawezi kukaa bungeni huku chama chao kikiwa na tatizo hilo kubwa la mlipuko wa bomu.
Dr Slaa, kweli umeguswa na mlipuko wa bomu kama ulivyo eleza kwenye taarifa ya pole? kama ni hivyo, umewezaje kubaki Ulaya huku chama chako kikiwa kwenye wakati mgumu?
Mjinga wewe walikufa wangapi mtwara, bunge likaahiliswa huna adabu kabisa kwa walokufa Arusha.
Wana-JF!

Sasa nimbunge gani aliejipa mapumziko ya wiki nzima kwenda kwenye mazishi Mtwara?
Sasa hapo usanii uko wapi? Hivi we unadhani Dr. Slaa ni Kikwete anayeishi airport?
Dr. Slaa alishawakilisha salamu.zake na yupo njiani anakuja.
Dr. Slaa akitamka neno moja wote mnatamani kuficha nyuso zenu, mara wengine mnatishia kwenda mahakamani!
Kwa taarifa yenu Dr. Slaa sasa anakuja na taarifa za kiintelijensia aliyopewa kutoka jikoni na baadhi yenu. Subirini zimwagwe humu nawaambia mtakosa pakujificha!
Baada ya kukosa umaarufu jukwaani mkaamua kuwa magaidi!!!!
Pumbavu zenu wauaji wakubwa nyie!
Tumia kanuni za bunge, omba muongozo kwa spika atakusaidia kama imekuuma makamanda kuuhudhulia msibani vinginevo wewe njaa inakusumbua
mh!! duuu!! hivi kweli na wewe MARK nikujuavyo na utu uzima wako woote ulio nao unajidhalilisha kwa kuunga mkono hoja nyepesi kama hii jamani???au ndio kusema kwamba ufahamu wako unashuka Kadri siku zinavo zid kusonga ??MARK hii ni hoja ya kipumbavu sana hukustahili kujibu chochote kwa level yako coz kuna hoja huwa unajibu kisomi coz hoja nazo huwa ni za kisomi ila kwa hii unajidowngrade mkuu.HAMY D umegonga msumar wa kichwa washaanza kulalamika.wew huon hata mimacho ya (mzee wa casino)mbowe imekaa kisanii tu
Kwani Dr Slaa sio kamanda? Mbona yeye hajahudhulia msiba?
Au yeye hajaguswa kama hao wabunge wa CHADEMA walivyoguswa? maana wabunge wameacha bunge kwa muda wa wiki nzima, ila Dr Slaa kuiacha Ulaya imemshinda!!
Muongozo wa spika unasemaje kuhusu walohudhuria msibani? unaushahidi Slaa anafanya nini huko, inamaana kama anatibiwa aache matibabu aje msibani. mbona hutumii akili wewe.
Kama wewe nae ni chadema basi chadema imejaa wehu!
Kumbe kiongozi anapokuwa ameenda nje kwa ajili ya matibabu uwa ina tangazwa ameenda ziarani?
Mwenye akili fupi hapa nani mkuu?
Dr Slaa ni kiongozi wa kitaifa wa CHADEMA, kama anafanyiwa matibabu ilipaswa taarifa itolewe kuwa kutakuwa na jambo hilo la matibabu kwa kiongozi huyo nje ya nchi, kukaa kwao kimya kunafanya watu wapate viulizo vingi juu ya nini hasa kinamuweka huko mpaka ameacha kujumuika na wenzake kwenye mazishi?