Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!
Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!
Hivi wewe bado unamchukulia serious huyo jamaa mimi najuta lini atamaliza miaka yake 10 iliyobaki.
Jk we chapa kazi wenye wivu wajinyonge.
Jk we chapa kazi wenye wivu wajinyonge.

Mfikishie ujumbe kuwa wakwere wenzie kule Zaraninge wanakufa na njaa asiwe juha kufikiri mambo asiyoyaweza awaokoe kwanza ndugu zake!!

Jk we chapa kazi wenye wivu wajinyonge.
Hahaha! Mchomamoto unaishi Magomeni nini ? ni muda sijaisikia kauli hii lol!.....tutajuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu.
Wazo zuri walifanyie kazi.Mzee ruksa, Al hajj, Mstaafu Rais Ali Mwinyi aliwahi kusema kuwa watanzania ni "kichwa cha mwendawazimu"....Wanasiasa wetu ni bora wanapostaafu wajiunge na "the comedy" kuliko kufanya "comedy" wakiwa na majukumu ya kuliongoza Taifa.