Kwa Hili Kikwete Umenena

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!

Hivi wewe bado unamchukulia serious huyo jamaa mimi najuta lini atamaliza miaka yake 10 iliyobaki.

Haina haja ya kubisha... Tusubiri tuone itatimiza iyo ahadi? Yangu macho.. o_O

Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!

JK anapaswa kujiunga COMEDY ORIGINAL watauza sana

Hivi wewe bado unamchukulia serious huyo jamaa mimi najuta lini atamaliza miaka yake 10 iliyobaki.

Kweli mkubwa kama anakotoka tu Bagamoyo hali ya maisha ni mbaya kupitiliza kwa wakwere wenzie ataweza kuleta umeme wa kuwagawia wengine!!yeye aeendelee kununuliwa suti muda ukiisha asepe, tulifanya kosa kubwa sana mwaka 2005 litatugharimu mnoooooooooooo tutajuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu.

Mzee ruksa, Al hajj, Mstaafu Rais Ali Mwinyi aliwahi kusema kuwa watanzania ni "kichwa cha mwendawazimu".

Hivi Rais Kikwete ameshatimiza zile ahadi za uchaguzi alizozitoa wakati wa kampeni?

Kuandika Katiba mpya, kitu ambacho kingetakiwa kuchukua mwaka mzima kwa kuchelewa au kuchelewesha/ kucheleweshwa hakiwezekani. Hili wala halihitaji mamilioni ya fedha kama miradi ya umeme. Je hayo ya kuzalisha umeme kukidhi mahitaji na pia wa ziada fedha zitatoka wapi? Hela za EPA na "vijisenti vya rada" vimerudishwa? Kwa hiyo sasa tuna uwezo ?

Wanasiasa wetu ni bora wanapostaafu wajiunge na "the comedy" kuliko kufanya "comedy" wakiwa na majukumu ya kuliongoza Taifa.

Jk we chapa kazi wenye wivu wajinyonge.

Tunamtakia kila la heri na afya njema ili tuone matunda ya kazi anayoifanya. Hivi mkulu anafanya kazi ipi?

Kigumu chama cha Mapinduzi, "maisha bora kwa kila mtanzania".

Hivi kila siku wanatudanganya kuwa "kauchumi chetu kanapaa" sijui lini kitarudi chini ili kitufikie na sisi tulio huku chini!

Jk we chapa kazi wenye wivu wajinyonge.

Mfikishie ujumbe kuwa wakwere wenzie kule Zaraninge wanakufa na njaa asiwe juha kufikiri mambo asiyoyaweza awaokoe kwanza ndugu zake!!

.....tutajuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu.
Hahaha! Mchomamoto unaishi Magomeni nini ? ni muda sijaisikia kauli hii lol!

Mzee ruksa, Al hajj, Mstaafu Rais Ali Mwinyi aliwahi kusema kuwa watanzania ni "kichwa cha mwendawazimu"....Wanasiasa wetu ni bora wanapostaafu wajiunge na "the comedy" kuliko kufanya "comedy" wakiwa na majukumu ya kuliongoza Taifa.
Wazo zuri walifanyie kazi.

Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!

Kikweteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee uuuuuuuuuuuwwwwwwiiiiiii

Wimbo wa umeme wa kumwaga aliuanza mheshimiwa wa umachingani Ben mtoto wa Mkaahapa. Mtoto kutoka kwa wakwere anatia Chorus tu, "Beat" itatiwa Hussein Mwinyi miongo ya karibuni na huenda single hii wakaitoa kina Januari au Ridhwani sijui itakuwa mwaka gani kabla rap haijatoka hewani bro tunza Generator yako safari ni ndefu

Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!

Kwani kamaliza awamu yake ya uongozi? Kwa hiyo tufanyaje kama umeme umekatika kwa sababu ya technical fault?

Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!

Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!

Huyo Rais aliulizwa tatizo la umeme ameligundua lini akasema 2006 kweli JK was serious ??? kusema tatizo la umeme kagundua 2006?? Serikalini amekuwepo muda gani? leo hii aseme by 2015 umeme utakuwa bwelele na kuuza nchi jirani khaaa sijui tungojee sasa twatunza kumbukumbu za maneno yao yatakuja wasuta hawato amini

vitendo zaidi ndiyo vitasaidia maana huyu rais wetu anajua kuongea sana lakini mwisho wake hutuoni matendo

Angelisema nina mpango wa kuongeza nchi za kwenda kubembea kabla cjamaliza kipindi changu ikiwepo nchi za jirani ningesema atatimiza bembea.jpg
lakin kwa umeme bado au sio kikwete huyu aliyesema kuwa hajui kwanini watanzania ni masikini?

Tusisahau kuwa aliahidi computer kwa kila mwanafunzi na laptop kwa kila mwalimu; huenda ameanza na umeme ili computer zipate power !!

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom