Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla ndipo nikamnukuu mkuu wa kaya akisema malengo aliyonayo kabla ya kumaliza ngwe yake ya uraisi anatahakikisha Tanzania itazalisha umeme wakumwaga na Tanzania tuweze kuuza umeme nchi za jirani! Hapa ninapoandika thready hii umeme sina natumia Generator na nawatakia jioni njema!
Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!
Souce TBC 1 Saa 3 Usiku Jumapili Tarehe 18/09/2011!