Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,913
- 7,909
Tena unakua unazipukuchua karanga, halafu unapuliza yale maganda yake "puuuuuuuuuuu". Taratibu, kwa madaha kabisa!!Ukiwa na madaraka unatakiwa uyatimize kisawasawa. Yakiisha unastarehe na kula karanga!