Kwa hili, Kigwangalla hufai kuwa hata mbunge

Huyu Kigwangala anajua kuyakoroga...
Akianza kunywa mkorogo wake anakesha Instagram na Twitter kulia lia...
This time hachomoki...!!
 
Askari wa jeshi gani lililoko chini ya kigwangalah?

Hawa wa jeshi usu Tanapa?
Kama ni hai hahitaji kuifanya iwe kick kwa sababu anaweza kuwa hata mhasibu au dereva wa shirika.
Maana umengengeania askari....mara adui yaani kama vile hao ni polisi au JWTZ .

Hivi lini mtaanza kuandika ilani yenu ya uchaguzi?

Au nayo mtavizia CCM waongee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama angekuwa mfagia ofisi wa halmashauri, huo haukuwa utaratibu sahihi wa kumwadhibu mtu yoyote yule. What if angekuwa ni mzazi wako anawajibishwa vile mbele ya kadamnasi na makamera ungejisikiaje, au ungekuwa ni wewe unawajibishwa vile? Binafsi ndio maana sikuwai kuwa hata na ndoto ya hizo kazi maana siku moja ningemchapa mtu makofi kwa sababu za kitoto kama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigwangala yuko sawa kabisa. Na nyinyi watz msiyojua nidhamu za majeshi acheni kidomodomo kukomenti vitu msivyovijua! Watz mnapenda sana kuongea! Sisi tumepita jeshini, Mkuu akisema galagala matopeni wewe ni kutekeleza, hiyo ndiyo amri ya jeshi. Usifananishe jeshi na Raia, huyo ni boss katoa amri lazima itekelezwe. Mmenikera sana acheni ujinga basi!
 
Dr Kigwa kachemka mbaya yaani, halafu ni mmoja wa walioutaka urais mwaka 2015.

Alichokifanya mashuleni huwa kinaitwa unoko.
 
Ikiwa ni hivi kwa barabara na miundo mbinu mibovu si kuna wangekosa kazi kabisa? Mzaha number moja ni kupata dolari zote hizo na kushindwa kuhudumia miundo mbinu ya hifadhi. Hawa wazee na baba za watu umewadhalilisha tu bila msingi na inaonyesha huna ngozi ngumu ya wanasiasa inayowapasa. Siasa Tanzania bado changa sana even after 60 years of chama twawala.
 
Very sad,yaani baada ya kumaliza hio clip nimetaka hata kulia...huwezi kum harass baba mtu mzima hivyo and get away with it...KIGWANGWALA MUST GO...sijui kaona hana muda mrefu madarakani kaamua kujifanyia tu mambo..
Hajajifunza kwa Kangi huyu....
mambo hubadilika.....
vindu vichenjaga
 
View attachment 1380275

















Kwa hili Mh. RAIS anatakiwa akufukuze kazi mara 1 huwezi dhalilisha askari wanyapori hivi.

Unajua sisi Tanzania umaskini wetu siyo bahati mbaya. Umaskini unatokana na viongozi kama Kigwangalla. Na hii vetting sijui inafanyika wapi.

Msomi Professor Mkenda katibu mkuu wa Wizara ya maliasili pole sana. Kweli kwa akili za huyu Kigwangalla ndiyo anamuongoza Mkenda ndiyo maana hawawezi kupatana. Waziri huna mamlaka ya kumwadhibu mtu. Wewe siyo Mkuu wa nidhamu kwenye taasisi. Na unamwadhibu kwenye camera. Ina maana sisi bado tupo enzi za watumwa au. Haya mambo walifanya waarabu kwa babu zetu enzi za watumwa.

Eti ulikuwa unaomba urais..aisee. Nimekurate 0/10. Poor you. Ndiyo maana kutwa nzima unashinda unacomment na kupost kwa wasanii. Wewe ni kituko.
Huyu ni waziri ambaye yuko baraza la mawaziri kwa bahati mbaya sana! Siamini kama akili ya aina hii inafaa kushika wizara. Siyo hapa tu! Tangu jimboni nimemsikia akiwapa taabu watendaji na hasa wa idara ya misitu akitaka ukataji miti uendelee kwa sababu wakataji ni wapiga kura wake.

Kama kweli kulikuwa na makosa ya nidhamu sidhani kama yeye waziri anahusika na adhabu hizo anazotoa. Hawa ni askari na yeye siyo askari alistahili alifikishe kwa wanaohusika. Busara ndogo imetumika.
 
Amewaadhibu sio kwa kuwa walileta mzaha... ila ni kwa sababu wameshindwa kujua yeye anataka jibu gani akikuuliza "mzaha sio mzaha?":):)
Kiukwel sikuelewa mantiki ya hilo swali kabisa..just from nowhere unaulizwa hilo swali hujui hata anatka nn ...jamaa ana mambo ya ajabu sana
 
Mi najionea sawa tu. Hawa watu nao washenzi sana kwa raia. Hamjui masahibu wanayopata watu wa Arusha hasa vijijini. Wanahenyeshwa sana na hawa askari wa Tanapa. Ushenzi ushenzi tu!

Na kingine michango humu inaonyesha namna gani humu wengi hamfahamu mambo ya kijeshi. Mnaleta nadharia za kiraia kwenye mambo ya kijeshi.
 
Mi najionea sawa tu. Hawa watu nao washenzi sana kwa raia. Hamjui masahibu wanayopata watu wa Arusha hasa vijijini. Wanahenyeshwa sana na hawa askari wa Tanapa. Ushenzi ushenzi tu!

Na kingine michango humu inaonyesha namna gani humu wengi hamfahamu mambo ya kijeshi. Mnaleta nadharia za kiraia kwenye mambo ya kijeshi.
Hao wananchi nao wanafata nn hifadhini,treni huwa haligongi Gari
 
Daaah huu ni uzalilishaji wa kiwango cha mwisho kabisa!! Ila kwa sababu wameungana nao kutupiga na kunyanyasa wanyonge shauri yao na bado!!watakapo maliza upinzani kabisa wao watazalilishwa mara tatu ya hapo ,kutakuwa hakuna waku watetea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao askari wamependa wenyewwe kudhalilishwa kwani kanuni za adhabu za utumishi hawazijui kuhusu haki zao
Mimi nisingetii ujinga huo sababu hana mamlaka kisheria
 
blindspot,

Hawa watu wanaopewa madaraka kwa kunyooshewa vidole wanamatatizo ya kimaadili.
Lugola aliwadhalilisha wengine hivi hivi, akaambulia kutumbuliwa na wale waliokuwa chini ya ndo walikuwa wanamhoji.
Kosa la kange ni kukomba mboga hata hao wakikomba mboga watatumbuliwa
 
Back
Top Bottom