Kwa hili, Kigwangalla hufai kuwa hata mbunge

Pamoja na kutafuta vijana kushika nafasi za uongozi, nadhani tuangalie na aina ya hao wanaoitwa vijana. Mtu anafikisha miaka 40 anajiita kijana na bado ni mtu wa kushinda twitter akisifia mke wake, akisifia watoto wake, akipiga vijembe vya mitaani, bado anasifia matendo yake chuoni. Hakuna hata moja la kujivunia linalohusu mambo ya kitaifa. Ni mwendo wa poor judgement na kujionesha kila siku.
 
View attachment 1380275

















Kwa hili Mh. RAIS anatakiwa akufukuze kazi mara 1 huwezi dhalilisha askari wanyapori hivi.

Unajua sisi Tanzania umaskini wetu siyo bahati mbaya. Umaskini unatokana na viongozi kama Kigwangalla. Na hii vetting sijui inafanyika wapi.

Msomi Professor Mkenda katibu mkuu wa Wizara ya maliasili pole sana. Kweli kwa akili za huyu Kigwangalla ndiyo anamuongoza Mkenda ndiyo maana hawawezi kupatana. Waziri huna mamlaka ya kumwadhibu mtu. Wewe siyo Mkuu wa nidhamu kwenye taasisi. Na unamwadhibu kwenye camera. Ina maana sisi bado tupo enzi za watumwa au. Haya mambo walifanya waarabu kwa babu zetu enzi za watumwa.

Eti ulikuwa unaomba urais..aisee. Nimekurate 0/10. Poor you. Ndiyo maana kutwa nzima unashinda unacomment na kupost kwa wasanii. Wewe ni kituko.
Hebu iweken na sisi tuione wengine tulikua tunashangilia ubingwa wa bayen Munich

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kigwa amekosea sana,tena sana huwezi kumwadhibu ofisa/Askari mbele ya umati wa raia atakama wewe upo juu kiasigani.Huwezi kukuta Ofisa wa juu akimwadhibu Ofisa mwenzake au Askari mbele ya raia. Kwanza kigwa anaonekana ni mbumbumbu wa taratibu za kijeshi. Kitendo alicho kifanya Kama ingekus Drc saa izi kigwa asingekuwepo. Ofisa au Askari akikosea Kuna namna ya kumwadhibu kulingana na taratibu za kijeshi.Kwa ujumla nijambo la kuhuzunisha sana.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom