Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Ndugu zangu wana JF toka jana nina faraja sana ya nafsi kuona angalau tunakaribia kwenye "nuru ya mafanikio". Jana nilikuwa na m/kiti wa CUF wilaya ya Tunduru kwenye mgahawa mmoja mjini Tunduru, ghafla akaingia mzee mmoja kikongwe akawa anamuuliza yule m/kiti "eti wale watetezi wetu wengine wa korosho kadema(akimaanisha CHADEMA)? Vipi watakuja lini tena".
M/kiti yule wa CUF kabla ya kujibu akaninitazama hakika nilishangaa kuona mzee kama yule anafahamu mfumo wa vyama vingi, tofauti na wazee wa umri wake. Binafsi ni kiongozi wa CHADEMA mkoa fulani lakini sio huku niliko wiki hii(Ruvuma).
Lakini kwa msisimko wa yule mzee hakika ameamini kuwa CHADEMA ni mwokozi wake na ni CCM YA NYERERE. Wanamapinduzi safari yetu ina mafanikio njiani. Au kuna anayebisha? Napenda kuwasilisha!!!!