Kwa hili Fly Emirates mna kesi ya kujibu

wanasheria wenye utaalamu na hizo sheria za International Law of Carriage hapa kwetu ni wachache sana bt kwenye kesi kama hiyo bado hakuna sheria ambayo inawabana emirates,baada ya kuisikia hii case nikaamua nipitie kidogo vifungu vya sheria inayohusiana na usafiri wa anga wa kimataifa na ikimbukwe kuwa huwezi ukafanya kesi hizi kwa kutumia sheria za nchi husika pekee bali utatua internatinal convention ambayo hapa convention itakayotumika ni MONTREAL CONVENTION ambayo pia sheria hii haina kifungu chochote kinachomfunga ambacho kina mfanya carrier awe liable kwenye hii case.NB mnapochangia vitu kama hivi muwe na fact since this is the home of great thinkers
Nilitoa ushauri hapa wawafungulie kesi lakin ckuelweka. Mi nilionaga inshu kama hiyo huko marekan yule dada alifungua kesi lile shirika lilitozwa hela nyingi sana.
 
Umeshapanda ndege ukaona hivyo viti vikoje? Na kama bado ukitumia busara yako unadhani viko kama vya Hood bus au DarExpress??
Labda nikuulize wewe umeshawahi kuona seating ya daraja la tatu ilivyo na yule marehemu jinsi alivyokuwa?
 
Fly Emirates kwa nini mlipokea dolla za yule mgonjwa aliyezidi uzito kama nauli ya kwenda kwenye matibabu kisha mkagoma kumpeleka India siku mliokuwa mmempangia kusafiri? Na je; kama mlitumia kisingizio cha ukubwa wa umbo lake; mbona mafisadi waliiba TWIGA kutoka mbuga za Arusha na Kilimanjaro kisha wakawapandisha kwenye ndege pale KIA bila tatizo lolote na wakapelekwa uarabuni? Kwani TWIGA na binadamu mgonjwa ni nani mwenye umbo kubwa?

Twiga nao wanakaa kwenye seat??
 
Utumbo mwingine unasikitisha sana, hata ukimtupia paka hauli.
 
Wewe una gari ya tani moja jamaa kakuambia ana mzigo na akakukatia pesa ya trip moja na inapofika siku ya kusafirisha mzigo ukakuta kumbe ni tani tano, je utapakia au utarudisha hela? Uzito wA mwanadamu in average ni kilo 70. Sasa kama wewe ni kilo 250 Hilo ni tatizo lako. Kiti cha ndege wanakaa watu watatu au wanne na wote wanalipia. Je kama hicho kiti kinatosha watu wawili au watatu na wewe mmoja hakikutoshi, je ni busara kuchukua abiria mmoja uache wawili au watatu? Binafsi ningeacha mmoja nichukue wengi. Otherwise you have to buy 3 or 4 tickets to take the whole raw. Emirates hawana kesi.
Mkuu, punguza munkari. Hebu fuatilia ujue nini kilitokea na uone series of event kabla ya ndugu wa marehemu hawajalipa ile pesa.

1. Taarifa za uzito wa abiria walipelekewa in advance

2. Ndugu wa kijana mgonjwa waliridhia kulipa pesa zaidi ya normal rates kutokana na hali ya mgonjwa wao na conditions walizopewa na emirates

3. Emirates baada ya kukubaliana na mteja, walilipwa pesa yote.

4. Baada ya kushindwa kumsafirisha mgonjwa, Emirates HAWAKURUDISHA PESA walizochukua.
 
Fly Emirates kwa nini mlipokea dolla za yule mgonjwa aliyezidi uzito kama nauli ya kwenda kwenye matibabu kisha mkagoma kumpeleka India siku mliokuwa mmempangia kusafiri? Na je; kama mlitumia kisingizio cha ukubwa wa umbo lake; mbona mafisadi waliiba TWIGA kutoka mbuga za Arusha na Kilimanjaro kisha wakawapandisha kwenye ndege pale KIA bila tatizo lolote na wakapelekwa uarabuni? Kwani TWIGA na binadamu mgonjwa ni nani mwenye umbo kubwa?
Mungu ni mwema kwa kila jambo, hivi ndivyo mtanzania mwenzetu alivyopoteza uhai kwa jambo ambalo, lingeweza kuamuliwa kwa muda mfupi.

Badala yake shirika la ndege lilipoteza muda mwingi katika uamuzi juu ya nini kifanyike katika mumsafirisha mwezetu aliyekuwa anaenda India kwa matibabu, na hatimaye umauti ukamkuta. Huku family yake ikiwa ktk mzozo kuhusiana na uzito wa marehemu.
 
Attachments

  • kazii.jpg
    kazii.jpg
    36.6 KB · Views: 328
Mungu ni mwema kwa kila jambo, hivi ndivyo mtanzania mwenzetu alivyopoteza uhai kwa jambo ambalo, lingeweza kuamuliwa kwa muda mfupi.

Badala yake shirika la ndege lilipoteza muda mwingi katika uamuzi juu ya nini kifanyike katika mumsafirisha mwezetu aliyekuwa anaenda India kwa matibabu, na hatimaye umauti ukamkuta. Huku family yake ikiwa ktk mzozo kuhusiana na uzito wa marehemu.

Ingekuwa ni mashirika ya nchi za magharibi hususani Marekani kelele zingekuwa kubwa kwa watu fulani lakini sababu waliofanya unyama huu wanachangia nao imani wako kimya sababu si vyema kumsema mtu mliyenaye imani moja kwa mujibu wa imani fulani
 
Ni ubaguzi wa rangi angekuwa mwarabu wangeng'oa viti vyote fasta nyambaff sana emirates
 
Ingekuwa ni mashirika ya nchi za magharibi hususani Marekani kelele zingekuwa kubwa kwa watu fulani lakini sababu waliofanya unyama huu wanachangia nao imani wako kimya sababu si vyema kumsema mtu mliyenaye imani moja kwa mujibu wa imani fulani
Ukisikia pumba ndo hizi! Yule bwana alishaingia kwenye ndege! Kabla ndege haijaruka, Rubani akaenda kumuuliza kama angeweza kukaa vizuri na kuwa na balance lakini akasema haiwezi! Ikumbukwe kwamba third class ina sehemu finyu sana kwa ajili ya kuweka miguu! Kwavile marehemu alishindwa, rubani akaamuru ateremshwe! Sasa suala dini hapa linatoka wapi? Ina maana wewe ungekuwa ndo huyo rubani ungerusha ndege wakati unafahamu abiria mmoja (hata kama asingekuwa mgonjwa) ameshindwa kukaa sawasawa? Watu wanapotosha na kuhusisha na suala la uzito.... ndege inabeba tani kadhaa za mafuta itakuwa uzito wa kilo 270?
 
Mikael... kaba ya kusema unatakiwa kwanza kuwa na uhakika na unachoongea. Emirates waliondoa viti vitatu (ndiyo ambayo vililipiwa) lakini bado kwa mgonjwa ikawa taabu kwake! Kabla ya kuruka, rubani alimwendea mgonjwa kama angeweza kukaa vizuri... mgonjwa mwenyewe akasema hawezi ndipo rubani akaamuru ateremshwe unless kama unataka kusema angepaa tu hivyo hivyo! Bila shaka wewe sio mgeni kwenye ndege na huenda ulibahatika kumuona yule marehemu hata kwenye TV! Kwa vile alivyo kukaa sawa sawa labda ingetakiwa kuondolewa na siti za mbele yake lakini ukiondoa siti just horizontally, bado isingesaidia!!

Kama Kuna Juhudi Walifanya Mimi kwa kuwa ni frequent flyer naweza kuelewa....nakumbuka kuna Siku tukiwa ndani ya ndege kuna Mgonjwa alishushwa ..walikuwa wametoa viti akapanda na Kitanda ..lakini Wakati ndege iPo run way inakaribia kuruka pressure yake ikawa Juu ..wakampima ndege ikajeuzwa...Kurudi tena watu wa paramedics wakaja kumshusha...tulicheleea kuruka one hour ...

Hili jambo Kibiashara linahitaji damage control ni lazima uongozi wa emirates wakae na familia ili kufikia muafaka ikiwemo kuwarudishia pesa na fidia kidogo...
Kuna matukio mengi ya WAGONJWA kufia angani hasa wanaotoka Tanzania kwa Ajili ya huduma zetu mbovu ..watu wanasafirishwa tayari wapo critical ....
Mimi naona kwa uzito wa Yule kijana ..Njia rahisi ya kumfikisha India ilikuwa kutumia Air Evacuation ...japo ni ghali Sana ....
Majuzi uingereza kuna Tukio Kama Hilo mtu alinenepa hadi ikafikia mahala Mlangoni mwa nyumba yake akawa hapiti ..akawa hawezi kuibua kiungo chake CHOCHOTE ....wenzetu Ikifika hapo Serikali huchukua jukumu la kuhudumia because its an extra ordinary case ...hata Huyu kijana hakuna namna Serikali inajitoa kuhudumia.....hasa kitengo cha magonjwa yasiyoambukiza( yasiyopewa umuhimu ) ....Ile ni extreme obesity ...
Sasa Huyo wa uingereza Siku ya kumpeleka hosp Serikali ikaweka winch ya kumbeba na wakavunja nyumba kupanua mlango ....Pamoja na kuwa alikufa hakuna aliyelalamika kwa sababu kila mmoja alifanya juhudi .
HAIKUWA sawa kuwaachia Ndugu wahangaike bila msaada .....Leo tunawalaumu emirates ..yes lakini hakuna anayeuliza Kama Serikali IMETOA msaada gani ...
 
Labda nikuulize wewe umeshawahi kuona seating ya daraja la tatu ilivyo na yule marehemu jinsi alivyokuwa?

Daraja la tatu kwenye ndege???
Unadhani ni treni la Kigoma?
Usichokijua bro usikivalie njuga!

Kwa ufahamu wako tu:-
Ndege zinazokuja TZ za Emirates zina Business Class na Economy class.
Abiria anakadiriwa kuwa kilo 75 kwa viwango vya kimataifa.
Kiti cha abiria kina vipimo na umadhubuti maalum usiozidi kiwango fulani. Kwa unene wa marehemu, asingeweza kufit kwenye kiti, na cha muhimu zaidi, mkanda (seat belt) usingemtosha. Haiwezekani ... HAIWEZEKANI ... kuunganisha viti viwili au vitatu katika row moja akalie mtu mmoja, kwa usalama!
Ikitokea abiria amepata madhara yeyote yale na amezidi viwango basi sakata lote litamwangukia rubani, kwa vile insurance haitolipa!!!

Umeipata mkuu?? Usibishe kama uko kijiweni, sema ambacho una uhakika nacho.
 
Hahahah hata me nimechangua nimeshapanda, kumbe hata uso wake siujui.
 
Kama Kuna Juhudi Walifanya Mimi kwa kuwa ni frequent flyer naweza kuelewa....nakumbuka kuna Siku tukiwa ndani ya ndege kuna Mgonjwa alishushwa ..walikuwa wametoa viti akapanda na Kitanda ..lakini Wakati ndege iPo run way inakaribia kuruka pressure yake ikawa Juu ..wakampima ndege ikajeuzwa...Kurudi tena watu wa paramedics wakaja kumshusha...tulicheleea kuruka one hour ...

Hili jambo Kibiashara linahitaji damage control ni lazima uongozi wa emirates wakae na familia ili kufikia muafaka ikiwemo kuwarudishia pesa na fidia kidogo...
Kuna matukio mengi ya WAGONJWA kufia angani hasa wanaotoka Tanzania kwa Ajili ya huduma zetu mbovu ..watu wanasafirishwa tayari wapo critical ....
Mimi naona kwa uzito wa Yule kijana ..Njia rahisi ya kumfikisha India ilikuwa kutumia Air Evacuation ...japo ni ghali Sana ....
Majuzi uingereza kuna Tukio Kama Hilo mtu alinenepa hadi ikafikia mahala Mlangoni mwa nyumba yake akawa hapiti ..akawa hawezi kuibua kiungo chake CHOCHOTE ....wenzetu Ikifika hapo Serikali huchukua jukumu la kuhudumia because its an extra ordinary case ...hata Huyu kijana hakuna namna Serikali inajitoa kuhudumia.....hasa kitengo cha magonjwa yasiyoambukiza( yasiyopewa umuhimu ) ....Ile ni extreme obesity ...
Sasa Huyo wa uingereza Siku ya kumpeleka hosp Serikali ikaweka winch ya kumbeba na wakavunja nyumba kupanua mlango ....Pamoja na kuwa alikufa hakuna aliyelalamika kwa sababu kila mmoja alifanya juhudi .
HAIKUWA sawa kuwaachia Ndugu wahangaike bila msaada .....Leo tunawalaumu emirates ..yes lakini hakuna anayeuliza Kama Serikali IMETOA msaada gani ...
Kimsingi yule jamaa pale alipofikia serikali ilipaswa kuchukua jukumu la kumsaidia na hiyo ndiyo ilikuwa njia muafaka zaidi. Kuhusu suala la kulipa, jamaa walisema wangerudisha gharama lakini kama ujuavyo kwa kampuni kubwa, pesa ikishaingia kwenye vitabu isingeweza kurudishwa hapo hapo...
 
Fly Emirates kwa nini mlipokea dolla za yule mgonjwa aliyezidi uzito kama nauli ya kwenda kwenye matibabu kisha mkagoma kumpeleka India siku mliokuwa mmempangia kusafiri? Na je; kama mlitumia kisingizio cha ukubwa wa umbo lake; mbona mafisadi waliiba TWIGA kutoka mbuga za Arusha na Kilimanjaro kisha wakawapandisha kwenye ndege pale KIA bila tatizo lolote na wakapelekwa uarabuni? Kwani TWIGA na binadamu mgonjwa ni nani mwenye umbo kubwa?

twiga walisafirishwa kwa EMIRATES?
 
Nilitoa ushauri hapa wawafungulie kesi lakin ckuelweka. Mi nilionaga inshu kama hiyo huko marekan yule dada alifungua kesi lile shirika lilitozwa hela nyingi sana.

uko sahii kitali bt kuna tufauti ya sheria kwenye masuala ya anga kati ya domestic route na international route na kuna sheria nyingi sana kwenye hizi convention ambazo watu wengi sana hawazijui ambazo zinamlinda passangers bt kwa kesi kama hii carrier hawezi kuwa liable so labda sasa kutokana na issue hii sheria zitungwe ili kumlinda abiria kukitokea tena kesi kama hii kwenye usafiri wa anga wa kimataifa na local.
 
Daraja la tatu kwenye ndege???
Unadhani ni treni la Kigoma?
Usichokijua bro usikivalie njuga!

Kwa ufahamu wako tu:-
Ndege zinazokuja TZ za Emirates zina Business Class na Economy class.
Abiria anakadiriwa kuwa kilo 75 kwa viwango vya kimataifa.
Kiti cha abiria kina vipimo na umadhubuti maalum usiozidi kiwango fulani. Kwa unene wa marehemu, asingeweza kufit kwenye kiti, na cha muhimu zaidi, mkanda (seat belt) usingemtosha. Haiwezekani ... HAIWEZEKANI ... kuunganisha viti viwili au vitatu katika row moja akalie mtu mmoja, kwa usalama!
Ikitokea abiria amepata madhara yeyote yale na amezidi viwango basi sakata lote litamwangukia rubani, kwa vile insurance haitolipa!!!

Umeipata mkuu?? Usibishe kama uko kijiweni, sema ambacho una uhakika nacho.
We nawe inaelekea limbukeni wa ndege. Usafiri wa ndege una madaraja matatu... First Class, Business Class... hapahitaji shahada ya chuo kikuu kufahamu ukitoka first kinachofuata ni second kwahiyo hiyo Business Class ni Second Class. Beside Business Class, inafuata Economy Class... hapa napo wala hapahitaji usomi kufahamu kwamba hiyo Economy Class ni Third Class! Kuita Business na Economy Class is all about business... na ndio maana hata kwenye hiyo treni, ukipanda daraja la tatu utakanyaga makalio hadi unafika kama ilivyo economy class ya ndege... the same applies for daraja la kwanza na la pili upande wa treni na daraja la kwanza na business class kwa upande wa ndege!

By the way, nani amesema kwamba ziliunganishwa siti? Unaunganishaje siti? Yaani kunja siti ili mtu apate nafasi ndo kuunga siti? Habari ambazo hazisemwi ni kwamba, hata baada ya yule bwana kupakiwa, rubani kabla hajaondoka akende kumuuliza kama angeweza kuwa na balance lakini akasema hawezi ndipo akaamuru ashushwe! Je, wewe ndo ungekuwa rubani ungerusha ndege wakati unafahamu kwamba kuna abiria hawezi kukaa vizuri?

Mistake ambayo ilifanywa ni kung'oa siti tatu... pale ambacho labda kingefaa ni kungon'goa siti sita kisha wanatumia kitanda kwa sababu vile alivyokuwa asingeweza kukaa vizuri kwenye siti tena umbali mrefu!
 
Kwa tabia ja JF basi kila mtu hapa ataonyesha kapanda ndege.

Mi nakumbuka nlipanda business class ya emirates wakati naenda vacation CANADA, ckuona km ingesindikana kwa viti kutolewa ili mgonjwa asafiri.
 
Back
Top Bottom