Fly Emirates kwa nini mlipokea dolla za yule mgonjwa aliyezidi uzito kama nauli ya kwenda kwenye matibabu kisha mkagoma kumpeleka India siku mliokuwa mmempangia kusafiri? Na je; kama mlitumia kisingizio cha ukubwa wa umbo lake; mbona mafisadi waliiba TWIGA kutoka mbuga za Arusha na Kilimanjaro kisha wakawapandisha kwenye ndege pale KIA bila tatizo lolote na wakapelekwa uarabuni? Kwani TWIGA na binadamu mgonjwa ni nani mwenye umbo kubwa?