Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,814
- 110,067
Ndugu yangu kama ungekuwa wewe ndio mgonjwa anayehitaji kwenda kwenye matibabu nje ya nchi ungeandika huo utumbo. Kuwa na ubinadamu bhana.
Si bora mimi niliyeandika utumbo na ukaweza kuuona na kuusoma kuliko wewe unayeandika mambo kwa kuhemukwa utadhani mtu aliyepanic kwa kukosa maji au tissue ya kutawadha makalio kwenye choo cha umma...
Unapoleta mada kwenye jukwaa huru kama hili tegemea mawazo mbadala bwana mdogo sio utake kila mtu akuunge mkono kwa mambo ambayo unawaza badala ya kufikiri...