Kwa hili Fly Emirates mna kesi ya kujibu

Kwa hili Fly Emirates mna kesi ya kujibu

Familia ya Huyu kijana wakipata wakili mzuri ..Hii ni Kesi tamu Sana dhidi ya emirates

Pia ni FEDHEHA kubwa kwa emirates ..walishindwaje kuondoa viti ili AKAE Kama wafanyavyo...kitendo cha kupokea pesa na kughairisha huduma ni MKATABA tosha ..na pengine kughairisha kulitokana na uchu tu wa Kuuza siti ambazo kijana angekaa..na kukosa ubinadamu

mkuu mpaka hili shirika walifikia uamzi huu ujue wanavipengele vinavyowaruhusu kufanya hivi, ndo maana kuna term and conditions zinazo waguide, hata kama watafute wakili mzuri kiasi gani kama kwenye masharti na vigezo vinawaruhu kumshusha abiria haitasaidia kitu
 
Fly Emirates kwa nini mlipokea dolla za yule mgonjwa aliyezidi uzito kama nauli ya kwenda kwenye matibabu kisha mkagoma kumpeleka India siku mliokuwa mmempangia kusafiri? Na je; kama mlitumia kisingizio cha ukubwa wa umbo lake; mbona mafisadi waliiba TWIGA kutoka mbuga za Arusha na Kilimanjaro kisha wakawapandisha kwenye ndege pale KIA bila tatizo lolote na wakapelekwa uarabuni? Kwani TWIGA na binadamu mgonjwa ni nani mwenye umbo kubwa?

usilo lijua ni usiku wa kiza,na wala usiongele jambo kwa mapana kama unajua ilivyokua,
Emirates kama shirika la ndege lina sheria zake,sio kweli kama Emirates walikata kumchukua passenger ila passenger hakua ana fit kwenye seat wamejaribu kumueka kwenye First class Business class,mpaka Economy pia haja enea alikua mkubwa,sasa ukisema Emirates wamemkataa sio kweli..
 
Fly Emirates kwa nini mlipokea dolla za yule mgonjwa aliyezidi uzito kama nauli ya kwenda kwenye matibabu kisha mkagoma kumpeleka India siku mliokuwa mmempangia kusafiri? Na je; kama mlitumia kisingizio cha ukubwa wa umbo lake; mbona mafisadi waliiba TWIGA kutoka mbuga za Arusha na Kilimanjaro kisha wakawapandisha kwenye ndege pale KIA bila tatizo lolote na wakapelekwa uarabuni? Kwani TWIGA na binadamu mgonjwa ni nani mwenye umbo kubwa?

mkuu,mimi siyo msemaji wa emirates lakini naona una mapungufu makubwa sana katika kuelewa maswala ya usafiri wa anga,kama kuna mtu amekudokeza kuhusu usafiri huu basi kakumegea vipande vipande ndo maana hujui nini ni nini.kwanza kabisa nasikitika sana kwa kuondokewa na kijana mwenzangu akiwa bado mdogo kiasi hicho,pili naipa pole familia yake kwa msiba uliowakuta,naamini alikuwa ni mtu muhimu sana kwao.hivi kwa mawazo yako ya haraka haraka unapemda kukata tiketi ya ndege huwa unataja umbo lako?au huwa unaeleza jinsi morphology yako ilivyo.huwa unasema mahitaji muhimu kama vile abiria atahitaji wheel chair,special diet,mjamzito etc.?twiga kule kilimanjaro walipanda ndege ya kijeshi tena ya cargo.au unadhani walikatiwa siti wakakaa?.emirates walijaribu kwa uwezo wao walikini ilishindikana.kwa hali kama ya mdogo wetu marehemu (rip),ingekuwa ni nchi za wenzetu serikali ingetoa hata ndege ya kumpeleka matibabu.kwenye mambo kama haya ndipo serikali makini hupaswa kuingilia kati kunusuru maisha ya watu wake.kwani hata ndege za jeshi zipo,kijan mwenzetu na mdogo wetu angeweza kupelekwa kwa haraka sana.ndege za rais zipo,za jeshi zipo.ni nadra sana kwa mtu kutokewa na hali kama hii so serikali kuingilia kati ingekuwa ni jambo la busara sana
 
Familia ya Huyu kijana wakipata wakili mzuri ..Hii ni Kesi tamu Sana dhidi ya emirates

Pia ni FEDHEHA kubwa kwa emirates ..walishindwaje kuondoa viti ili AKAE Kama wafanyavyo...kitendo cha kupokea pesa na kughairisha huduma ni MKATABA tosha ..na pengine kughairisha kulitokana na uchu tu wa Kuuza siti ambazo kijana angekaa..na kukosa ubinadamu

Ukisema wangetoa seat kivipi? kama unazungumzia Stretcher ambazo wanatoa seat 6 kwenye Economy class cabin kile kitanda chake hakichukui zaidi ya 150kgs na huyu Marehemu alikua na Kgs ngapi?
 
Wakuu,walianza Qatar Airways wakampakia katika ndege ikashindikana..wakamshusha,Oman Air nao kupita mlangoni ilikuwa mbine nao wakamshusha,familia wakaenda Emirates nao wakamshusha tatizo kubwa la mgonjwa hawezi kukaa,ni kulala tu...poleni familia.
 
Kimsingi yule jamaa pale alipofikia serikali ilipaswa kuchukua jukumu la kumsaidia na hiyo ndiyo ilikuwa njia muafaka zaidi. Kuhusu suala la kulipa, jamaa walisema wangerudisha gharama lakini kama ujuavyo kwa kampuni kubwa, pesa ikishaingia kwenye vitabu isingeweza kurudishwa hapo hapo...

Kwenye Nchi responsible Serikali inatakiwa kujibu nashangaa Sana kwa nini waandishi hawaulizi wizara..kwa Nchi kutoa Ndege ya Jeshi ambayo tunazo Zenye uwezo wa kuingiza gari zima zima la WAGONJWA hadi ndani ya ndege ...na kwenda kumshusha India ...na gari ikashuka na Mgonjwa hadi hospital ....Huko na ikarudi kwenye ndege na Kurudi Tanzania ndani ya masaa 36 ..ingekuwa imeenda nakurudi.
Sasa tunabaki kutaka mashirika ya biashara yatufanyie kila kitu? Gharama Za kurusha ndege kubwa ya kijeshi toka DAR India DAR ..hazifiki dola 100'000 ....kwa Nchi Hiyo ni senti tu.
Nchi Za wenzetu hata raia mmoja tu Ana dhamani ...akipotea wako tayari kutoa brigade nzima ya jeshi kumtafuta ...tunaona wenzetu anaugua mtu wanatuma ndege yenye madaktari kuja kuchukua raia wao.....
Tanzania hatujali raia zetu ...wanafunzi wanakwama Huko nje Kama Ukraine ...hata kutuma ndege kuwachukua tunashundwa..wenzetu Kenya wamatuma ndge
 
mkuu,mimi siyo msemaji wa emirates lakini naona una mapungufu makubwa sana katika kuelewa maswala ya usafiri wa anga,kama kuna mtu amekudokeza kuhusu usafiri huu basi kakumegea vipande vipande ndo maana hujui nini ni nini.kwanza kabisa nasikitika sana kwa kuondokewa na kijana mwenzangu akiwa bado mdogo kiasi hicho,pili naipa pole familia yake kwa msiba uliowakuta,naamini alikuwa ni mtu muhimu sana kwao.hivi kwa mawazo yako ya haraka haraka unapemda kukata tiketi ya ndege huwa unataja umbo lako?au huwa unaeleza jinsi morphology yako ilivyo.huwa unasema mahitaji muhimu kama vile abiria atahitaji wheel chair,special diet,mjamzito etc.?twiga kule kilimanjaro walipanda ndege ya kijeshi tena ya cargo.au unadhani walikatiwa siti wakakaa?.emirates walijaribu kwa uwezo wao walikini ilishindikana.kwa hali kama ya mdogo wetu marehemu (rip),ingekuwa ni nchi za wenzetu serikali ingetoa hata ndege ya kumpeleka matibabu.kwenye mambo kama haya ndipo serikali makini hupaswa kuingilia kati kunusuru maisha ya watu wake.kwani hata ndege za jeshi zipo,kijan mwenzetu na mdogo wetu angeweza kupelekwa kwa haraka sana.ndege za rais zipo,za jeshi zipo.ni nadra sana kwa mtu kutokewa na hali kama hii so serikali kuingilia kati ingekuwa ni jambo la busara sana

Ndege ya serikali ilikuwa imempeleka mgonjwa wa tezi dume kule marekani
 
Mnaacha kuilaumu serikali yenu iliyoshindwa kuwajengea hospitali yenye kutibu magonjwa yasiyoambukiza kama hayo mnabaki kuwalaumu Wamanga wa Emirates...

KwaniEmirates imeingia mkataba na Watanzania kuwa itabeba kila mgonjwa mwenye kutakakutibiwa nje ya nchi?

Serikali hii imesababisha watu wengi kupoteza uhai kwa sababu ya huduma mbovu na nyinginezo kukosekana kabisa hapa nchini.

Hebu wafikirie ndugu wengine wanaoshindwa hata kukata tiketi za ndege kwenda huko ng'ambo kutibiwa.

Mbona hao huwaanzishii uzi wa kuwatetea na kuiomba serikali iwakumbuke walau kwa kujenga kituo cha afya mahususi kwa magonjwa ya mifumo kama moyo n.k.!!!

Ndugu yangu kama ungekuwa wewe ndio mgonjwa anayehitaji kwenda kwenye matibabu nje ya nchi ungeandika huo utumbo. Kuwa na ubinadamu bhana.
 
Hoja yako ilikuwa ya msingi lakini pumba ulizoziweka mwishoni zimeonesha uwezo wako wa kufikiri ulipofikia. Sichangiiii
Ukweli unauma hata kama hutaki. Kwani ni uongo mafisadi hawakuiba twiga na kuwakupandisha kwenye ndege? Au unatetea ujinga kwa kuwa umeshachukua buku 7 yako ya lunch hapo Lumumba.
 
Ulinganifu wako upo wapi. Emirates ilipakia Twiga lini. Na ni nani aliyekwambia mtu anavyokata tiketi anaulizwa uzito a mtu. Jipime kwanza, umekurupuka.

Ukweli unauma hata kama hutaki. Kwani ni uongo mafisadi hawakuiba twiga na kuwakupandisha kwenye ndege? Au unatetea ujinga kwa kuwa umeshachukua buku 7 yako ya lunch hapo Lumumba.
 
Kumbe twiga alikaa kwenye siti za economy! Duh na belti alifunga! Mleta mada unatisheeeerrrrrr
 
Mnaacha kuilaumu serikali yenu iliyoshindwa kuwajengea hospitali yenye kutibu magonjwa yasiyoambukiza kama hayo mnabaki kuwalaumu Wamanga wa Emirates...

Kwani Emirates imeingia mkataba na Watanzania kuwa itabeba kila mgonjwa mwenye kutaka kutibiwa nje ya nchi?

Serikali hii imesababisha watu wengi kupoteza uhai kwa sababu ya huduma mbovu na nyinginezo kukosekana kabisa hapa nchini.

Hebu wafikirie ndugu wengine wanaoshindwa hata kukata tiketi za ndege kwenda huko ng'ambo kutibiwa.

Mbona hao huwaanzishii uzi wa kuwatetea na kuiomba serikali iwakumbuke walau kwa kujenga kituo cha afya mahususi kwa magonjwa ya mifumo kama moyo n.k.!!!

Bad enough Tanzania iliyozeeka sasa kwa kuwa na umri wa mtu mkubwa tokea kupata uhuru wa weupe kushindwa kuwa na miundombinu ya kiafya hadi kusababisha tezi dume kupanda Business Class kwenda kupasuliwa Ughaibuni...
 
Hii case mbona ni rahisi sana,kumbukeni ktk kila print out ya ticket kuna kipande kilnachoambatanishwa na ticket yako hicho kipande kina state the condition of the career ukikisoma sawa sawa kuna sheria zote zinazomhusu msafiri na holder of that ticket mle kuna mambo yote yanayokulinda wewe kama abiria na mengine yanailinda career(Airline),case ya huyo jamaa kawaida kwa lugha ya kitaalam kawaida inaitwa Stretcher Case hiyo inahusiana sana na issue za medical,sifikiri ka huyo captain alikuwa na sheria kuamuru mgonjwa ateremshwe au labda nayeye sheria za AITA bado zinampiga chenga.Case hii ya STRETCHER ni makubaliano kati ya abiria na career(Arline)ya kumpatia usafiri abiria toka point A na kumfikisha point B kwa muda mliokubaliana na ndio maana case kama hii kawaida Airline huondoa baadhi ya viti ndani ya plane ili kumpatia accommodation ya kutosha mgonjwa na kitanda chake cha kusafiria,hawa jamaa kama watampata aviation lawyer mzuri hii case bado iko wazi na kuna ushindi mkubwa sana',hii case hata mtu wa kawaida mwenye mwanga wa elimu kidogo anaweza akawatesa sana hawa Amirates,nikufanya utafiti tuu na kuwaingia through AITA.M/Mpamba.
 
Hii case mbona ni rahisi sana,kumbukeni ktk kila print out ya ticket kuna kipande kilnachoambatanishwa na ticket yako hicho kipande kina state the condition of the career ukikisoma sawa sawa kuna sheria zote zinazomhusu msafiri na holdiNer of that ticket mle kuna mambo yote yanayokulinda wewe kama abiria na mengine yanailinda career(Airline),case ya huyo jamaa kawaida kwa lugha ya kitaalam kawaida inaitwa Stretcher Case hiyo inahusiana sana na issue za medical,sifikiri ka huyo captain alikuwa na sheria kuamuru mgonjwa ateremshwe au labda nayeye sheria za AITA bado zinampiga chenga.Case hii ya STRETCHER ni makubaliano kati ya abiria na career(Arline)ya kumpatia usafiri abiria toka point A na kumfikisha point B kwa muda mliokubaliana na ndio maana case kama hii kawaida Airline huondoa baadhi ya viti ndani ya plane ili kumpatia accommodation ya kutosha mgonjwa na kitanda chake cha kusafiria,hawa jamaa kama watampata aviation lawyer mzuri hii case bado iko wazi na kuna ushindi mkubwa sana',hii case hata mtu wa kawaida mwenye mwanga wa elimu kidogo anaweza akawatesa sana hawa Amirates,nikufanya utafiti tuu na kuwaingia through AITA.M/Mpamba.

Naomba nikueleweshe kidogo ndugu yangu since this is my carrier,IATA (inter carrier Agreement on passanger liability 1995)

Katika sheria za kimataifa za usafirishaji wa anga(international law of carriage) sheria mama itakayotumika katika kesi ni MONTREAL CONVENTION 1999 ambayo ilikuwa amended from WARSAW 1929 The hague protocal,Montreal protocal 123,Montreal 4 then Guadarajara,Guatamara za mwaka 1961 na 1971 then ndo ikaja hiyo Montreal ambayo inatumika hadi leo kweye hii convention passenger amelindwa kwenye mambo yafuatayo death on board,injury,delay,loss na vitu vingine vingine bt katika hizi sheria carrier anayohaiki yakujua descriptions za mzigo atakao usafirisha kabla ya safari hapa sheria zinaongelea abnormal cargo or dangerous cargo so kama carrier akupewa taarifa mapema kuwa mtu anayemsafirisha ni wa aina gani hapo hana kosa kuamkataa tatizo kubwa lilikuwa ni kama angemkubali na angefia ndani ya ndege shirika lingekuwa liable to pay more than ,113,100SDRS kama article 21 inavyoeleza so emirate walikuwa sahii kisheria japokuwa kibinadamu hawakuwa sahii.NAKARIBISHA WOTE WENYE UTATA WA KISHERIA NA HIZI INTERNATIONAL AIR LINE kwa ushauri wa kisheria bila malipo yoyote just ni pm tu.
 
Naomba tuee great thinkers. Ninafahamu usafirishaji wa abiria kwenye ndege kupeleka nchi nyingine unahusu mambo mengi sana. Ni rahisi kusafirisha twiga kuliko binadamu mgonjwa.kwanza tunapaswa kujua kuwa ndege haiendi direct toka tanzania hadi india na ndege haiendi hadi hospital. Maana ndege inapofika mwisho wake ni laxima abiria wahamie ndege nyingine na process ya kuhamia ndege nyingine inahitaji wheelchair je ingepatikana ya saiz yake na je hiyo ndege ya pili nayo ingebomolewa viti?na pia gari la kumtoa airport kwenda hospt @ so kuna mambo mengi yanayoangaliwa ksblavya kusafirisha mgonjwa. Na hapo hawaruhusiwi kumsafiridha mgonjwa serious kihivyo hadi wamewasiliana na dr wake. Huenda dr wakr aliwaambia kuwa mgonjwa hali yake dio ys kupona
 
wanasheria wenye utaalamu na hizo sheria za International Law of Carriage hapa kwetu ni wachache sana bt kwenye kesi kama hiyo bado hakuna sheria ambayo inawabana emirates,baada ya kuisikia hii case nikaamua nipitie kidogo vifungu vya sheria inayohusiana na usafiri wa anga wa kimataifa na ikimbukwe kuwa huwezi ukafanya kesi hizi kwa kutumia sheria za nchi husika pekee bali utatua internatinal convention ambayo hapa convention itakayotumika ni MONTREAL CONVENTION ambayo pia sheria hii haina kifungu chochote kinachomfunga ambacho kina mfanya carrier awe liable kwenye hii case.NB mnapochangia vitu kama hivi muwe na fact since this is the home of great thinkers

Ile habari mimi nimeisikia moja kwa moja wakati ndugu anasimulia kupitia ITV. Kwamba walinunua siti tatu... mgonjwa akaingizwa hadi ndani kwa bahati mbaya, kuna kitu kikashindikana... something like mgonjwa kushindwa kukaa au miguu kupita kati ya siti... all in all, situation ambayo ilikuwapo ni kwamba mgonjwa hakuwa na balance. Rubani akaenda hadi kwa mgonjwa na kumuuliza kama angeweza kukaa vizuri... marehemu akajibu kwamba hawezi! Now tell me, wewe ndo ungekuwa rubani ungeweza kurusha ndege wakati unafahamu kabisa kwamba kuna mgonjwa aliyeshindwa kukaa vizuri? Ungefanya nini... ungeahirisha safari moja kwa moja au kuomba mgonjwa ashushwe?

.....nice! Ufafanuzi mzuri...
 
Naomba nikueleweshe kidogo ndugu yangu since this is my carrier,IATA (inter carrier Agreement on passanger liability 1995)

Katika sheria za kimataifa za usafirishaji wa anga(international law of carriage) sheria mama itakayotumika katika kesi ni MONTREAL CONVENTION 1999 ambayo ilikuwa amended from WARSAW 1929 The hague protocal,Montreal protocal 123,Montreal 4 then Guadarajara,Guatamara za mwaka 1961 na 1971 then ndo ikaja hiyo Montreal ambayo inatumika hadi leo kweye hii convention passenger amelindwa kwenye mambo yafuatayo death on board,injury,delay,loss na vitu vingine vingine bt katika hizi sheria carrier anayohaiki yakujua descriptions za mzigo atakao usafirisha kabla ya safari hapa sheria zinaongelea abnormal cargo or dangerous cargo so kama carrier akupewa taarifa mapema kuwa mtu anayemsafirisha ni wa aina gani hapo hana kosa kuamkataa tatizo kubwa lilikuwa ni kama angemkubali na angefia ndani ya ndege shirika lingekuwa liable to pay more than ,113,100SDRS kama article 21 inavyoeleza so emirate walikuwa sahii kisheria japokuwa kibinadamu hawakuwa sahii.NAKARIBISHA WOTE WENYE UTATA WA KISHERIA NA HIZI INTERNATIONAL AIR LINE kwa ushauri wa kisheria bila malipo yoyote just ni pm tu.
Umeeleweka vizuri kabisa... na kwa jinsi ilivyo, kwavile ndugu walishaona every chance ya kumsafirisha marehemu ilikuwa ni a golden chance should never missed, basi inawezekana kabisa kwamba description ya mgonjwa haikutolewa kwa 100%... inawezekana walikuwa wanatoa taarifa za uzito peke yake but body size walikuwa hawailezei vizuri...
 
Naomba nikueleweshe kidogo ndugu yangu since this is my carrier,IATA (inter carrier Agreement on passanger liability 1995)

Katika sheria za kimataifa za usafirishaji wa anga(international law of carriage) sheria mama itakayotumika katika kesi ni MONTREAL CONVENTION 1999 ambayo ilikuwa amended from WARSAW 1929 The hague protocal,Montreal protocal 123,Montreal 4 then Guadarajara,Guatamara za mwaka 1961 na 1971 then ndo ikaja hiyo Montreal ambayo inatumika hadi leo kweye hii convention passenger amelindwa kwenye mambo yafuatayo death on board,injury,delay,loss na vitu vingine vingine bt katika hizi sheria carrier anayohaiki yakujua descriptions za mzigo atakao usafirisha kabla ya safari hapa sheria zinaongelea abnormal cargo or dangerous cargo so kama carrier akupewa taarifa mapema kuwa mtu anayemsafirisha ni wa aina gani hapo hana kosa kuamkataa tatizo kubwa lilikuwa ni kama angemkubali na angefia ndani ya ndege shirika lingekuwa liable to pay more than ,113,100SDRS kama article 21 inavyoeleza so emirate walikuwa sahii kisheria japokuwa kibinadamu hawakuwa sahii.NAKARIBISHA WOTE WENYE UTATA WA KISHERIA NA HIZI INTERNATIONAL AIR LINE kwa ushauri wa kisheria bila malipo yoyote just ni pm tu.

Umeeleweka vizuri saana mkuu.

Kwa kuongezea tu kwa upande wa utaalam wa uendeshaji wa ndege
(Technical operations), nako kuna sheria mama zinazosimamia ujenzi na matumizi ya kila kifaa au kitu unachokiona kwenye ndege.
Kabla ndege haijakuwa certified kuchukua abiria ni LAZIMA vigezo na tests zote zipitishwe chini ya mamlaka ya nchi ijengayo.... Kama FAA, kwa Marekani, CAA ya Uingereza au JAR ya nchi za ulaya etc.

Falsafa mama, ni kuhakikisha usalama wa hali ya juu kabisa wa chombo na abiria. Kiti cha abiria wa ndege kinapitia tests za kila aina kuhakikisha umadhubuti wake na usalama katika matumizi pindi inapotokea ajali. Yaani hata kile kitambaa chake, huwezi kwenda Buguruni tu ukanunua ukaweka, ni vitambaa maalum vyenye uwezo wa kuvumilia moto hadi kiwango fulani. Kiti kina uwezo unaoeleweka kutozidi kilo 110 + au - 33%.
Hiyo na tests nyingine nying tu kikipita ndio huruhusiwa kufungwa kwenye ndege za ABIRIA ..... (PUBLIC TRANSPORT AIRCRAFT)

Nadhani hadi hapo utaelewa kwa nini rubani aliona kwa usalama wa marehemu, na abiria wengine haikuwa busara kumbeba abiria ambae amezidi viwango vya kubebeka.
Nilisha andika mwanzoni, kama rubani angelazimisha tu, kama kungetokea dharura yeyote, shirika lingewajibika na Insurance labda isingelipa. Na rubani atakuwa kajiweka mashakani kikazi.

Mungu amweke pema marehemu, lakini hili liwe fundisho kwa tuliobaki. Tusi assume kuwa kwa vile una pesa ya kulipia, sio kila kitu au mtu atchukuliwa na ndege. Ziko sheria zake na si za kawaida!
 
Back
Top Bottom