Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

Status
Not open for further replies.
USHAURI WANGU.
KWANZA CCM IKOME KUHUBIRI WAZIWAZI NA KUVIITA VYAMA VYA UPINZANI VYA UCHAGA,UKASIKAZINI,UKATOLIKI,UKRISTO,UISLAM NA UGAIDI.
kwa maana ccm ilitengeneza propaganda hizi ili ishinde LAKINI DHAHIRI NAJUA SASA CCM MMEONA MADHARA MAKUBWA ZAIDI YANAKUJA,kama msipofunga midomo yenu hasa wale waliopewa vyeo vya UENEZI WA PROPAGANDA.
maana mkiendelea kusema.WALE MNAOWATUHUMU LAZIMA WAJE KUJIBU na mtakuwa mnaendeleza mjadala wa kulipasua taifa kwa uislam na ukristo na ukabila.
NA MKIACHA HATA WAPINZANI WATAACHA KUJIBU.
kama CUF NI CHAMA CHA SIASA CHA UISLAM NA CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA CHA UKATOLIKI NA UKRISTO KWA NINI MPAKA LEO TENDWA HAJAVIFUTA?NA KAMA HANA USHAHIDI AWAOMBE CCM WANAO mana haiwekana miaka yote hii viongozi na watu wakubwa wa CCM WANAPAYUKA BILA HATA HAYA KAMA WASINGEKUWA NA USHAHIDI(mtu mzima hovyo).
VINGINEVYO TENDWA KAZI IMEKUSHINDA KAM UMESHINDWA KUZUIA PROPAGANDA ZA CCM ZA UDINI,UKABILA NA UKANDA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Dr Slaa bora ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha na kauli zako.

Ueleweki mara useme ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakaiba kura.

Kwa kukusaidia tu JK toka aingie madarakani misikiti anayokwenda ni ya Bakwata ambayo haina waumini wengi.

Huwezi kumkuta JK kwenye misikiti mikubwa hapa Dar kama Kichangani, Mtambani, Idrisa, Mtoro.

Labda tuambie misikiti gani alikuwa anafanya udini, halafu una uhakika gani kuwa Waislam wote walimpigia JK.

Nawewe unaliongelea hili hebu ficha ujinga wako kama mr dhaifu alie magogoni
 
tumeziona cd nyingi tu watu wa dini fulani wakimlaani rais, aliwapigia magoti kwenye maeneo yao ya ibaada kipindi cha kampeni wamchague yeye na wala wasimchague prof mmoja hivi, hajalipa hiyo rushwa ya udini sasa dini hiyo inaona kwamba dini fulani ndio inamzuia rais kutolipa hongo waliyompa. Ushahidi upo wazi, wewe unayaesema Dr. Slaa ni Mdini toa ushahidi unaoonekana na wala si kuhisi na kuropoka tu. No research no right to speek. Wenzako wana zungumza wana ushahidi, Lema kapeleka ushahidi kwa Speaker kuhusu nani ni mwasisi wa Udini.
 
Huku Maeneo ya igombe wakina mama waliambiwa wakamchague padri sasa ni nani huyo kama cyo dr.slaa?
 
Tanzania daima ni gazeti la UDAKU.

Kwa vile haabri hii imeandikwa na gazeti la UDAKU, Tanzania Daima, basi Dr. Slaa asilaumiwe prematurely.

Jambo linalojadiliwa ni very sensitive. Kwa vile mjadiliwa ni member wa JF, ingekuwa busara angekuja kulitolea jambo hili ufafanuzi kwa sababu namuona hapa anasoma huu uzi kwa kutumia ID yake ile nyingine ambayo haiko verified.

Swala la kumlaumu Slaa au kutokumlaumu litokane na kauli atakayotoa yeye mwenyewe lakini sio kwa kutegemea taarifa iliyoandikwa na gazeti la UDAKU, Tanzania Daima.
 
Hiyo inaitiwa political tactics!! hiyo lazima ifahamike huu ni wakati wa kudidimizana, ili kufika huko juu huwa kila mmoja anamzamisha mshindani wake kupitia mgongo ya raia wanyonge. Wao hawjali matokeo ya baadaye.
 
Tanzania waislam hawazidi 40% according to tbc je kikwete kashindaje kama waislam wachache kuliko wakristo?

Acha kumwaga povu. According to christian encyclopedia muslims 60% christian 35% others 5%
 
Huku Maeneo ya igombe wakina mama waliambiwa wakamchague padri sasa ni nani huyo kama cyo dr.slaa?
mkuu huku maeneo ya kwa mtogole na maeneo ya temeke watu wa imani yetu ya kiislamu waliambiwa wasimchague kafiri, je unafikiri alilengwa nani?
 
Ilifikia hadi kanisa katoliki eti likatoa mwongozo wa kuelekeza waumini wao na wananchi kwa ujumla jinsi ya kupata kiongozi bora...kha...!!tangu lini dini ziwe na final say ya kuwambia wananchi wa kumpigia kura.
Na mda huo wakiendelea na matamko ya kumshusha gred jk.
Kina slaa nao na gazeti lao mwanahalisi wakawa busy.
KIKWETE AWAANGUKIA MAASKOFU.

KANISA LAMWEKA PABAYA KIKWETE

KIKWETE AWALIZA MAASKOFU
 
Tatizo mnajitoa akili na kutetea ujinga nani hajui pia 2010 ccm ilitumia bakwata kupata kura za waislamu??kwa kuwaambia waislamu wasichague chadema kwa sababu ni ya wakatoliki saizi mambo yamekuwa moto hamtaki kukumbushiwa madudu yenu wacha aseme mbona julius mtatiro na prof.i.h lipumba walishalisema mara nyingi sana hi li hata mnyaa juzi kalirudia bungeni kwa msisitizo tabia ya chama cha mapinduzi kinapozidiwa nguvu na wapinzani bahati nzuri saizi watu wanaelewa ndio ugumu wa propaganda hii inapokuwa ngumu.
 
Unaweza kuyathibitisha haya?

" Mimi nakumbuka mwaka 2010 kwenye uchaguzi kwa macho na masikio yangu wewe ulitumia Kanisa kuombe kura na Maaskofu wengi wakiwa kina Pengo na wengine walikuwa mstari wa mbele kukupigia kampeni na kutoa waraka kibao kuonyesha wewe Dr. Slaa uchaguliwe ndio chaguo la wakristo. Na wewe ulipitakwa viongozi wa makanisa kawaomba wakuaidia kwa waamini wao wakuchague mkristo mwenzao".
 
Nchi zinazo ongongozwa kwa mfumo wa kidini duniani ni za Kislam tu, hizo ambazo ni za Kikrsito wala hata hayo maadili ya Kikristo sio lazima kiongozi awe nayo, nchi pia zinazo ongozwa kwa Kislam ndizo zinazoongoza kwa machafuko, kwa ufupi, huwezi kutofautisha fujo, chuki na mauaji na Uislam.

Hivi Al Asad si ni mwislam na nini anawafanya Waislamu wenzie? jumuia ya kimatifa kama Marekani ndizo ambazo zinajaribu kumshawishi Al Asad aache kufanya mauaji ya kikatili, mbaya zaidi Iran, nchi ambayo ndio mfano bora kwa Waislam duniani, ina support mauaji anayoyafanya Al Asad, narudia, huwezi kutofautisha chuki, fujo, mauaji na Uislam!
Wale mapadre wa Rwanda nao walikua waislamu!?
 
Tatizo mnajitoa akili na kutetea ujinga nani hajui pia 2010 ccm ilitumia bakwata kupata kura za waislamu??kwa kuwaambia waislamu wasichague chadema kwa sababu ni ya wakatoliki saizi mambo yamekuwa moto hamtaki kukumbushiwa madudu yenu wacha aseme mbona julius mtatiro na prof.i.h lipumba walishalisema mara nyingi sana hi li hata mnyaa juzi kalirudia bungeni kwa msisitizo tabia ya chama cha mapinduzi kinapozidiwa nguvu na wapinzani bahati nzuri saizi watu wanaelewa ndio ugumu wa propaganda hii inapokuwa ngumu.
kumbuka mkuu kauli ya mufti wetu, waislamu wasishiriki maandamano ya Chadema, na uchaguzi wa igunga, kwa kweli sisi waislamu tunatumika vibaya sana, tukipigia cuf tunaambiwa ni chama cha kiislamu, tukipigia ccm mambo safi!
 
Afadhali wewe umesema yaliyo chini ya uvungu wa moyo wako, naona hapa kila anaekuja kuchangia anavutia upande wake Ukristu na Uislamu namna hiyo hatujengi,tujisasahisheni kuna mahala tumeteleza tuachanani na hiz dini za wageni dini yetu iwe moja TANZANIA baasi! Tupunguze kushutumiana sa hiz tunafanya vita baridi ya maneno hakuna atakayeshinda hasa ikianza vita halisi bila kujalisha wapi ni wengi kuliko wengine,ushindi ktk vita si wingi! Ni hayo tu.
 
Nchi zinazo ongongozwa kwa mfumo wa kidini duniani ni za Kislam tu, hizo ambazo ni za Kikrsito wala hata hayo maadili ya Kikristo sio lazima kiongozi awe nayo, nchi pia zinazo ongozwa kwa Kislam ndizo zinazoongoza kwa machafuko, kwa ufupi, huwezi kutofautisha fujo, chuki na mauaji na Uislam.

Hivi Al Asad si ni mwislam na nini anawafanya Waislamu wenzie? jumuia ya kimatifa kama Marekani ndizo ambazo zinajaribu kumshawishi Al Asad aache kufanya mauaji ya kikatili, mbaya zaidi Iran, nchi ambayo ndio mfano bora kwa Waislam duniani, ina support mauaji anayoyafanya Al Asad, narudia, huwezi kutofautisha chuki, fujo, mauaji na Uislam!
nadhani we utakuwa umechanganikiwa na sio mwelewa wa Dunia inaendaje, kwa sababu sidhani kama kuna Inchi yeyote ya kiislam ilishawahi kwendakwa Nchi za washirika kutafuta nyuklia chokochoko zote ni za Nchi za Mgharibi kwa ulafi wao rasilimali ambazo hawana, hii ni dhambi ambayo mpaka leo hadi milele wamagharibi na wakristo wote iwatafuna mpaka kiama kwa kuwavuruga kwa Nchi zote za kiislam.
 
Hapo dokta slaa kachemka sana...
Haya maneno yangetoka kwa mzee mwanakijiji sina shaka usingeandika sentensi moja yenye maneno matano!

Politics as well as politicians are not black and white! The appearance can deceive and now, You reap what you sow.
 
While the days goes on, The REAL Dr. Slaa is starting to emerge from the politics ashes.

Since after general election 2010, he has been campaigning for 2015 presidential election. Kuna faida na hasara za kibinadamu kufanya kampeni ya urais almost kila siku kwa muda wa miaka mitano, wakati mwingine unajisahau na kuanza kuonyesha THE TRUE COLOUR.

This is the real Dr. Slaa, take it or leave it.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom